Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,525
17,434
Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM.

Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu Mama Samia suluhu Hasani.

Kitendo HIKI litazuia hasira na nongwa za wapenzi wa utawala wa hayati JPM na kitafanya wajiunge chama kipya ili kuonyesha hasira zao na kisasi kwa chama tawala na Zitto Kabwe! Hii itasaidia chama kipya kupata wanachama wengi Sana kwa kipindi cha muda mfupi kuelekea uchaguzi mkuu.

Lengo kuu la watawala ni kuzigawa kura za kanda ya ziwa zisiende Chadema na kwenda chama kipya HIKI ili ccm na ACT wapate ahueni kwa Chadema kupoteza kura nyingi za ukanda huo ambao una sonona la kuondokewa na kipenzi chao!!

Kumbukwe Hadi Sasa Mama hajapata uungwaji mkono wa kutosha kutoka kanda hii ya ziwa! na muathirika mkubwa Sana wa propaganda hii ni Chadema na SIO CCM na ACT wazalendo kama wengi wanavodhani!

Chadema ijiandae kwa kura zisizotosha za uraisi na idadi chache ya wabunge ambao chama kipya kitawachukua kwa kuungwa mkono na wapenzi wa JPM! CCM na ACT imeshajipatia chama kitakachowaletea ahueni kwenye uchaguzi wa 2025.

CCM Haiwezi kubali Chadema ikashinda uraisi hapo 2025 hata kama kura hazitotosha WAO kushinda uchaguzi itatafutwa Namna ya chama kidogo kupewa ushindi kama kutakua na tishio la kiusalama iwapo CCM ikilazimisha kubaki madarakani.

Zito na Mama wamezichanga karata zao VIZURI Sana tusubiri mafuriko ya wapenzi wa jpm kujiunga chama kipya cha umoja party!

Yale ya Felix Tshesekedi na Joseph KABILA Kule Congo DRC yatatokea huku kwetu kwa chama kidogo kupewa nchi baada ya vita vya vyama tembo.
 
Naiona Chadema ikipoteza kura nyingi Sana 2025 kwa chama kipya cha umoja na kukosa wabunge wengi tofauti na matazamio ya wengi!
 
Mbona chadema tu na sio chama kingine. Yani mnaanzisha chama kipya kupambana na chadema?. ACT walikuja kwa style hi lakini mwishoni walisalimu amri. Baadala kuwaza chama kitapataje usajili, mnawaza chadema kukosa Kura 2025. Kumbuka hata CCM yenyewe imeshindwa kuizima chadema sembuse nyie ambao mna mzigo wa kubeba kwanza

Fikirieni kujenga chama chenu sio kupambana na chadema. Chadema alipamabana nayo mwendazake akaishindwa Hadi kuiacha , sembuse chama kipya kutoka CCM ?.
 
Chama chenye nembo ya hayati jpm kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa,kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati jpm.
Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandanaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo zito kabwe na Raisi wetu Mama Samia suluhu Hasani.kitendo HIKI litazuia hasira na nongwa za wapenzi wa utawala wa hayati jpm na kitafanya wajiunge chama kipya ili kuonyesha hasira zao na kisasi kwa chama tawala na zito kabwe!Hii itasaidia chama kipya kupata wanachama wengi Sana kwa kipindi cha muda mfupi kuelekea uchaguzi mkuu.
Lengo kuu la watawala ni kuzigawa kura za kanda ya ziwa zisiende Chadema na kwenda chama kipya HIKI ili ccm na ACT wapate ahueni kwa Chadema kupoteza kura nyingi za ukanda huo ambao una sonona la kuondokewa na kipenzi chao!!ikumbukwe Hadi Sasa Mama hajapata uungwaji mkono wa kutosha kutoka kanda hii ya ziwa!na muathirika mkubwa Sana wa propaganda hii ni Chadema na SIO CCM na ACT wazalendo kama wengi wanavodhani!!!
Chadema ijiandae kwa kura zisizotosha za uraisi na idadi chache ya wabunge ambao chama kipya kitawachukua kwa kuungwa mkono na wapenzi wa jpm!! CCM na ACT imeshajipatia chama kitakachowaletea ahueni kwenye uchaguzi wa 2025.
CCM Haiwezi kubali Chadema ikashinda uraisi hapo 2025 hata kama kura hazitotosha WAO kushinda uchaguzi itatafutwa Namna ya chama kidogo kupewa ushindi kama kutakua na tishio la kiusalama iwapo CCM ikilazimisha kubaki madarakani.
Zito na Mama wamezichanga karata zao VIZURI Sana tusubiri mafuriko ya wapenzi wa jpm kujiunga chama kipya cha umoja party!!

JPM mwenyewe alikuwa anategemea kunajisi box la kura ili kutangazwa mshindi, sasa hicho chama cha kanda ya ziwa ndio kitafanya nini? Ccm haitegemei kura za kwenye mabox, wao wana bond na vyombo vya dola kubaki madarakani kwa shuruti.
 
Naiona Chadema ikipoteza kura nyingi Sana 2025 kwa chama kipya cha umoja na kukosa wabunge wengi tofauti na matazamio ya wengi!

Haya ndioa matamanio ya kila mwanaccm. Kwa bahati mbaya kizazi kimeshabadilika. Hicho chama kipya mtaishia kupoteza fedha za umma lakini uwezo wa hicho cha kupata wafuasi ni mdogo kwelikweli.
 
Mbona chadema tu na sio chama kingine. Yani mnaanzisha chama kipya kupambana na chadema?. ACT walikuja kwa style hi lakini mwishoni walisalimu amri. Baadala kuwaza chama kitapataje usajili, mnawaza chadema kukosa Kura 2025. Kumbuka hata CCM yenyewe imeshindwa kuizima chadema sembuse nyie ambao mna mzigo wa kubeba kwanza

Fikirieni kujenga chama chenu sio kupambana na chadema. Chadema alipamabana nayo mwendazake akaishindwa Hadi kuiacha , sembuse chama kipya kutoka CCM ?.
Mnafikiri kanda ya ziwa itaacha kuunga mkono chama kipya! Subirini mtaona! Chadema haitopewa nchi hata WENYEWE wanajua LABDA waambulie uwaziri mkuu wa Mbowe kwenye serikali mseto!! subirini mtaona!!
 
Mfumo wetu wa siasa unaharibiwa na wanasiasa wenyewe, kivipi?.

Wanasiasa wetu hawataki na hawakubari kuwa maisha ya juzi siyo ya leo, kijana aliyemaliza la saba huwezi mlinganisha na yule wa elimu ya juu hata kama wanalingana umri.

Wanaelewa tunaomkumbuka legendary John inasemwa wametengwa kwa mantiki ya 'Anaupiga mwingi' hii inaleta ukengeufu miongoni mwa wananchi na inaleta sintofaham mpaka mtu atakapoondoka.

Hiki kinachosemwa Umoja Party kinaweza kuwa kiini macho ili kuwaziba macho na kupewa upofu, mbaya sana hii!.
 
Nimesema kitagawa kura ambazo zilipaswa ziende Chadema tena zile za kanda ya ziwa!!!Mbona Wazito kuelewa!!?sijasema UP kitashinda dhidi ya Chadema!!!Mbona bandiko ni fupi SIO refu!!!?
Hivi Kanda ya ziwa Gani? Mbona Mara, Kigoma huko na Bukoba kwa miaka sasa zinasupport CHADEMA? Ni wizi tu wa 2015 ila basically Shinyanga na Mwanza zilitoa wabunge wengi sana wa CHADEMA 2010!!

Ni rahisi zaidi kwa CHADEMA kubeba kura za Kanda ya ziwa kuliko chama kipya kupata hata kura 100!! Muda utaongea
 
Watanzania nani kawaroga

Muamerika aliyeleta democracy na mfumo wa vyama yeye anavyo viwili tu

Tumechezewa sana ndugu
 
Nimesema kitagawa kura ambazo zilipaswa ziende Chadema tena zile za kanda ya ziwa!!!Mbona Wazito kuelewa!!?sijasema UP kitashinda dhidi ya Chadema!!!Mbona bandiko ni fupi SIO refu!!!?

Mbona Magufuli mwenye hiyo picha kwenye hizo fulana za hicho chama aliishia kunajisi uchaguzi, na hakukitumia hicho chama kugawa kira za cdm? Au picha ya Magufuli kwenye T-Shirt ndio ina ushawishi kuko yeye alipokuwa hai? Na bado unajiona una hoja za maana?
 
Chama chenye nembo ya hayati jpm kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa,kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati jpm.
Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandanaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo zito kabwe na Raisi wetu Mama Samia suluhu Hasani.kitendo HIKI litazuia hasira na nongwa za wapenzi wa utawala wa hayati jpm na kitafanya wajiunge chama kipya ili kuonyesha hasira zao na kisasi kwa chama tawala na zito kabwe!Hii itasaidia chama kipya kupata wanachama wengi Sana kwa kipindi cha muda mfupi kuelekea uchaguzi mkuu.
Lengo kuu la watawala ni kuzigawa kura za kanda ya ziwa zisiende Chadema na kwenda chama kipya HIKI ili ccm na ACT wapate ahueni kwa Chadema kupoteza kura nyingi za ukanda huo ambao una sonona la kuondokewa na kipenzi chao!!ikumbukwe Hadi Sasa Mama hajapata uungwaji mkono wa kutosha kutoka kanda hii ya ziwa!na muathirika mkubwa Sana wa propaganda hii ni Chadema na SIO CCM na ACT wazalendo kama wengi wanavodhani!!!
Chadema ijiandae kwa kura zisizotosha za uraisi na idadi chache ya wabunge ambao chama kipya kitawachukua kwa kuungwa mkono na wapenzi wa jpm!! CCM na ACT imeshajipatia chama kitakachowaletea ahueni kwenye uchaguzi wa 2025.
CCM Haiwezi kubali Chadema ikashinda uraisi hapo 2025 hata kama kura hazitotosha WAO kushinda uchaguzi itatafutwa Namna ya chama kidogo kupewa ushindi kama kutakua na tishio la kiusalama iwapo CCM ikilazimisha kubaki madarakani.
Zito na Mama wamezichanga karata zao VIZURI Sana tusubiri mafuriko ya wapenzi wa jpm kujiunga chama kipya cha umoja party!!
Yale ya Felix Tshesekedi na Joseph KABILA Kule Congo DRC yatatokea huku kwetu kwa chama kidogo kupewa nchi baada ya vita vya vyama tembo.
Umoja Party is like love in the air, hawana jipya,japo hawana mvuto,wala hatujui kama wanaungwana mkono na umma wa Tanzania kuijenga au already compromised ?
 
Mtaabudi Ile maiti mpaka mkome Nani aliwayuma mumchukulie kuwa Ni kamungu fulani hivi kwenu.
 
Kauli za kizembe toka kwa wanaodhani nchi na chama ni mali yao zimetugharimu na hakuna wa kukemea hili toka uongozi wa juu wa Chama na serikali.

Sasa CCM haipambani na Chadema na ACT tu bali Imeongezeka chama kingine Umoja party.

Nguvu zinazidi kupungua tu. Hii ni hatari. Mdogo mdogo chama kina bomoka.
 
Back
Top Bottom