Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo. Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana. Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye...
51 Reactions
456 Replies
30K Views
Naibu Waziri: Msaidieni Rais Samia Utekelezaji Anwani za Makazi Immaculate Makilika – MAELEZO, Songwe Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi, Kundo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Samia alipokea nchi katika hali hii •Kenya ilikuwa inaongoza katika mauzo ya madini ya Tanzanite. •Watalii wengi walikuwa wanashukia Kenya •Mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya •Shirika letu la...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Wahenga walisema usiku wa deni haukawii kukucha. Leo wafanyakazi wa Tanzania wanaungana na wafanyakazi kutoka pembe zote za dunia kuadhimisha siku ya wafanyakazi, maarufu kama Mei Mosi. Mtakumbuka...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya...
18 Reactions
54 Replies
3K Views
Mbeya. Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema suluhisho la umasikini wa Tanzania ni kupatikana kwa Katiba mpya. Lissu anayeishi nchini Ubeligiji ameyasema haya alipokuwa akihutubia la...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Wengi wetu tunajua harakati za kila aina zinazofanywa na baadhi ya watu kumdhihaki JPM. Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali. Ebu fikiri, watu wazima walio hai wanaunda...
45 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani. Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kumponda JPM ndio njia pekee ya majizi yote sasa kuitumia ili kuhalalisha wizi na ufisadi! Bahati mbaya kabisa, yanalazimisha nchi na wananchi iwasikilize na kuwaunga mkono kwenye biti zao za...
20 Reactions
72 Replies
4K Views
Asalaam Alleykhum , baada ya Salamu hii, Taarifa ikufikie Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatangaza kufanyika kwa kongamano kubwa la Katiba Mpya Mkoani Mbeya. Kongamano hilo...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Haiingii akilini kabisa kwa miaka 7 sasa hatujaongezewa angalau senti kumi wakati tunazidi kuvuja jasho. Halafu bado tunaambiwa tuzidi kufunga mkanda. Kwani shida ipo wapi jamani? Je ni...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda. Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Vyama vyote vya siasa vina waajiriwa Kwa nini wafanyakazi waajiriwa vyama vya siasa CCM,CHADEMA nk huwa hawashiriki maandamano mei mosi? Sijawaona na mabango yao kulikoni? Sikukuu ya...
0 Reactions
4 Replies
528 Views
Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Tupate Katiba Mpya ambayo itaweka wazi kuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wawe watu huru wasiofungamana na upande wowote na wasiwe na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020. Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake...
43 Reactions
201 Replies
16K Views
Back
Top Bottom