Hayati Magufuli alikuwa na maono juu ya mpango wa Magereza kuwa na shughuli za uzalishaji. DPP ndiye kikwazo

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali.

Kwanini nasema DPP ndiye hukwamisha mpango huu ni kwa sababu mahabusu wa kesi za kubambika wapo wengi lupqngo kuliko ambao mashauri yao yameshaamuliwa na kupatikana na kesi . Mrundikqno wa kesi zinazochukua muda mrefununadhoofisha kwanza watu wanapoteza afya yao na akili zao zinagubikwa na mawazo lakini kama wangefungwa mapema basi kwa magereza ni faida kwa kuwa wanaenda kuimalisha kilimo ufugqji na viwanda vidogo vidogo. Serikali isijenge magereza holela kusiko na uzalishaji kama ukonga na segerea bali ijenge magereza kwenye sehemu za kilimo na usindikaji. DPP kesi zisizo na ushahidi kamili bora akazifukuza na zenye ushahidi kamili zisipoteze muda ili watu wawahi uzalishaji.
 
Wewe huna akili kama huyo Magufuli, wafungwa ni watu wa kubadilishwa tabia na siyo manamba.

Wanapaswa kusomeshwa na kufundishwa skills mbalimbali ili wakitoka wawe watu tofauti.
 
Ndio maana nimesisitiza wawe na viwanda na wasio na ujuzi wajifunze kilimo au wewe akil imeishia kwenye komoni!!!
 
Magufuli alitaka kufanya Magereza yetu kuwa Auschwitz Concentration camps.

Angeua maelfu.
 
Wana JF

Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali.

Kwanini nasema DPP ndiye hukwamisha mpango huu ni kwa sababu mahabusu wa kesi za kubambika wapo wengi lupqngo kuliko ambao mashauri yao yameshaamuliwa na kupatikana na kesi . Mrundikqno wa kesi zinazochukua muda mrefununadhoofisha kwanza watu wanapoteza afya yao na akili zao zinagubikwa na mawazo lakini kama wangefungwa mapema basi kwa magereza ni faida kwa kuwa wanaenda kuimalisha kilimo ufugqji na viwanda vidogo vidogo. Serikali isijenge magereza holela kusiko na uzalishaji kama ukonga na segerea bali ijenge magereza kwenye sehemu za kilimo na usindikaji. DPP kesi zisizo na ushahidi kamili bora akazifukuza na zenye ushahidi kamili zisipoteze muda ili watu wawahi uzalishaji.
Bora Magereza,Mambo,Scout na JKT ndio wajikite kwenye shughuli za uzalishaji mali ila sio polisi,JWTZ na wengine.
 
Wana JF

Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali.

Kwanini nasema DPP ndiye hukwamisha mpango huu ni kwa sababu mahabusu wa kesi za kubambika wapo wengi lupqngo kuliko ambao mashauri yao yameshaamuliwa na kupatikana na kesi . Mrundikqno wa kesi zinazochukua muda mrefununadhoofisha kwanza watu wanapoteza afya yao na akili zao zinagubikwa na mawazo lakini kama wangefungwa mapema basi kwa magereza ni faida kwa kuwa wanaenda kuimalisha kilimo ufugqji na viwanda vidogo vidogo. Serikali isijenge magereza holela kusiko na uzalishaji kama ukonga na segerea bali ijenge magereza kwenye sehemu za kilimo na usindikaji. DPP kesi zisizo na ushahidi kamili bora akazifukuza na zenye ushahidi kamili zisipoteze muda ili watu wawahi uzalishaji.

Muhimu kuwaendeleza Wafungwa, kuwapa skills, uwezo wa kujiajiri wakitoka. Watu 30,000 unalipia 3 milioni 30 kila mmoja kwa miaka kibao bila kufanya kazi.

Ni akili timamu hiyo?
 
Sheria za kimataifa zinazuia wafungwa kutumikishwa.

Magufuli hakuwa sahihi.
Kwahiyo ambao si wafungwa huku uraiani tunapofanya kazi na tunajitegemea chakula, mavazi, malazi nk tunatumikishwa na Nani? Sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu sisi ambao si wafungwa "kutumikishwa" halafu tuwapelekee wafungwa chakula?
Magufuli alikuwa sahihi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom