MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUJITEGEMEE, Jan 21, 2011.

 1. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kutokana na kitendo walichokifanya UVCCM jana..cha kukemea na kukosoa viongozi wa serikali inayoongozwa na CCM, kuhusu kuilipa deni la DOWANS, bila kufuata taratibu kama kanuni zinazoongoza "jumuia" hiyo zinavyoelekeza, basi ni halali wahusika wote walioshiriki mpango huo watimuliwe katika nafasi za uongozi wanazozishikilia katika "jumuia" hiyo. Mimi binafsi sikubaliani na uamuzi wa kulipa deni la DOWANS, kilichonisukuma kutoa hoja hii ni ukiukwaji wa kanuni za UVCCM.Nawasilisha hoja kwenu WanaJF.
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sina uhakika kama watu wameelewa tamko la UVCCM kuhusu malipo ya Dowans. WAo wanawalaumu Mwakyembe na Sita kwa kusababisha kuvunjwa kwa mkataba na kupelekea kuilipa Dowans. Someni hilo tamko kwa umakini mkubwa nanyi mtagundua wanachomaanisha. Na ndio maana wanasema wanakemea mawaziri kutokuwa kitu kimoja. LAkini pia ukiliona tamko lenyewe limeandaliwa na watu kama wanaotoka usingizini na kuchapisha kitu kisichoeleweka. NAdhani CCM hakuna kwa sasa mtu mwelewa.
   
 3. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna hoja hapo. Lete nyingine.
  Wewe unadhani UVCCM wao sio watanzania au wao wanaishi nje ya TZ? Wana haki ya kusema mambo ya kipuuzi yanayofanywa na chama chao. Japo wanajikosha usoni pa watanzania ila wamefanya vizuri kusema.
   
 4. G

  Gmandago Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kilamtu anajua kanuni za UVCCM na wengine ni vyama vingine. tafadhari toa kanuni inayotakiwa ili wana-JF waweze kuchangia.
   
 5. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kanuni zipi hizo? kwani Tanzania kuna kanuni. Wewe hujawasikia Mawaziri wakitoa misimamo taofauti na bosi wao? Mbona hawajaambiwa hata kwa mdomo kuwa wamekiuka taratibu sembuse hili genge la wahuni
   
 6. d

  dotto JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Uvccm wamekemea Mwakyembe na Sita na sio viongozi wao wezi!!
   
 7. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndugu Mpigakelele, unapiga kelele na makelele watu hawayapendi hivyo hakuna atakayekusikia.
   
 8. k

  kakoko Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda mpiga kelele ungejieleza kama ww ni mkereketwa au la?maana hii ni matokeo ya udhaifu wa baba wa familia,kinachotokea watoto wanajaribu kuokoa au kaharibu jahazi.Tz sasa haina mwenyewe,kwasababu hata wao UVCCM HAWANA TOFAUTI SAAANA,NA MWAKYE, SITTA kwa siku hz CCM HAINA VIKAO?
   
 9. n

  notradamme JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,015
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mwana CDM anayeumizwa na mambo yasiyomuhusu.......................................
  CRAP
  :banplease:
   
 10. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wale vijana waliotoa tamko lile unawajua? or ngoja ni-rephrase swali langu, kufikia kwenye level ya uongozi wa UVCCM kwa CCM ya sasa ,mchakato wake unaufahamu? in other words, what does it take? Mkulu wale hawaishi Buguruni kwa mnyamani

  HII SIYO ILE UVCCM YA LAWRENCE GAMA, YESTEREVENING YOU COULD SEE A BIG DIFFERENCE
   
 11. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  cha kushangaza eti na wao wanakemea mawaziri kukurupuka na kutoa matamko, wao wamemuomba au wamepewa kibali na nani cha kuzungumzia dowans? hivyo na wao wamekurupuka, nadhani huu ndio mfumo wa sasa hivyo hakuna wa kumlaumu mwingine hapa, wote tu wamekurupuka, na hii ni dhahiri kuwa kuna ombwe la uongozi...
   
 12. M

  Mzalendoo Member

  #12
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mh UVCCM watimuliwe? Et wamevunja kanun? Zipi? Are they not tanzanians? To hell you may go.
   
 13. N

  Nanu JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hao wametumwa tu kuja kusoma!
   
 14. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #14
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  UVCCM ni genge la wahuni. CCM ilikufa tangu BABA wa TAIFA alipotutoka. Msiliona privitazation ilivyokuja kwa kasi baada ya kifo cha Mwl.? Tunisian experience is coming. Get prepared.:frusty::frusty:
   
 15. M

  Mchili JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jana kulikua na kikao cha CC ya CCM huku nyuma wao wanatoa tamko. Wametumwa hao na lengo sio kwamba wana uchungu na mapesa ya dowans, walitaka kuleta chokochoko ili Sita na Mwakyembe wawajibishwe, eti hawafuati kanuni za collective responsibility. Ipi???
   
 16. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  UVCCM wamepata wapi nguvu ya kukemea uovu wakati wanakula sahani moja na waovu? Yule mshirika wa ununuzi wa Rada, Tani Somaiya, aliwapa million 800 shillingi kufadhili uchaguzi wao wakapokea! Na hizi kelele za DOWANS si ajabu wanataka "kuongwa" kabla ili wanyamaze lakini baada ya kuchukua chao. UVCCM can not be tristed labda kama wangekupo kina Nape Mnauye sio hawa wavuvuzela.
   
 17. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  UVCCM!Ni mambo mangapi vijana hapa Tz wanakumbana nayo lakn wao wapo kimya!Wenzao wanapiga kelele za katiba wao kimyaa!Mafisadi wanasaini mikataba hotelini wapo kimyaa?Wanafunja Sheria na sio vkanuni ambavyo hata vikundi vya kinamama wanavyo!Wapo kimya!Waache unafiki kuna viongozi wanahisi wanafanya mambo sivyo wamwambie huyo mwenyekiti wao,sio kupiga mikwara na kuuza sura!Eti tamko!Tamko hata halistua!Eti hao ndio vijana wa chama tawala na mbadala wa kina Kikwete na Makamba!Endeleeni kuuza sura waacheni wenzenu kina Mnyika na Mtatiro watetee vijana na nchi yetu,nyie wateteeni tu mafisadi wenu.
   
 18. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #18
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii coincidence ya CC na tamko la kwanza UVCCM Mara kisha UVCCM Taifa inaashiria kuna mpango wa kazi tayari ulishaandaliwa...nshakosa imani nalo....
   
 19. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Nadhani wasiwafukuze mapema kwa vile ni sample na kiashiria kizuri kupimoa mambo na mwelekeo.

  Kama si UVCCM ungejua extent ya tatizo la akili na maadili ndani ya CCM na Serikalini?.

  Waachwe ni proxy element katika ukombozi wa Tz. Hivi mama au shangazi wa wale vijana waliohariri lile tamko wana usalama kweli?..... Ukiona mtoto anatukana mtu mzima wa rika la Dr. Slaa maana yake nini? Majbu yatatupa ufumbuzi katika nyanja nyingine so wasifukuzwe muda huu.

  Ni sample tutaifanyia kazi then tutai-bin.
   
 20. S

  Seacliff Senior Member

  #20
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Watimuliwe na nani? Wamechaguliwa kidemokrasia kwa hiyo kuondoka kwao lazima kufanyike kidemokrasia. Hii culture ya wenzetu wengine ya fikra za udikteta zitaisha lini? Lazima tuelewe kuwa kufukuza watu kazi au kufungia magazeti au kutia watu ndani kwa sababu mawazo yao hatukubaliani nayo sio solution ya matatizo yetu. Viongozi wa juu wawajibishwe kwanza ndio tupige kelele kuhusu vitu vingine. UVCCM imechagua viongozi wao kwa sababu wameridhishwa kuwa wanawafaa. Ni wajibu wa umoja huo kuwaondoa kwa kura ifikapo wakati wa uchaguzi ujao.
   
Loading...