Zanzibar ZAFICO hongera kusaini mkataba kiwanda cha kuchakata Samaki na nchi ya Sri Lanka Tanzania bara mifisadi imeua TAFICO

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,903
Kwa mujibu wa ITV habari Zanzibar Fisheries Company(ZAFICO ) hongera kusaini mkataba kiwanda cha kuchakata Samaki na nchi ya Sri Lanka Tanzania bara mifisadi imeua TAFICO

Zanzibar Fisheries Company (ZAFICO) leo wamesaini mkataba na Sri Lanka wa kujenga kiwanda cha kuchakata samaki kwenye mradi wa uchumi wa Blue Zanzibar

Tanzania bara mifisadi imeua Tanzania Fisheries Company (TAFICO) iko hopeless
 
Sri Lanka unaijua lakini?

Amandla...
 
Wapinzani wanatuchelewesha sana.
 
Back
Top Bottom