Ushauri kwa Rais Samia kuhusu mradi wa mji wa Kawe

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Mh.RAIS wangu MAMA SAMIA Pole na MAJUKUMU ya Kuliongoza TAIFA
Naomba nikukumbuke kidogo kuwa Mwaka 2013 kulikuwa na MRADI wa UJENZI wa MJI wa KAWE Dar salaam Mradi ambao ungekamilika MJI wa KAWE ungekuwa MJI MZURI kwa UKUBWA ktk JIJI la DAR ES SALAAM Mradi huu ulisimama Mara baada ya SERIKALI YA AWAMU ya 5 ilipoingia MADARAKANI Chini ya Rais MAGUFULI.Mradi huu tayari UMETUMIA Mabilioni ya Fedha za MASIKINI WALIPA KODI.

Kutoukamisha MRADI huu ni HASARA KUBWA kwa TAIFA na KUCHELEWA KUUKAMILISHA kutasababisha GHARAMA za UJENZI kuwa KUBWA hivyo basi TUNAKUOMBA UUKAMILISHE ili MJI WA KAWE uwe MJI Kama ULIVYOPANGWA KUWA.

1649483848821.jpg
 
Hakuna haja ya serikali kujiingiza kwenye miradi kama hii, acha private sector wahangaike hapa
 
Back
Top Bottom