Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani mambo yamekuwa magumu kwa CCM naona ujanja wa kupandisha makodi na utitiri wa matozo matokeo yake ndio haya Bidhaa zote zimepanda toka za mazao mpaka za viwandani Mafuta hayashikiki...
1 Reactions
2 Replies
524 Views
Mbunge wa Kyerwa mkoani Kagera amesema mafuta yamepanda bei juzi tu lakini bei za bidhaa zimekuwa zikipanda kuanzia mwezi October mwaka jana. Mbunge huyo amesema tusisingizie mafuta bali serikali...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali baada ya kuwashughulikia machinga naomba tuwashughulikie wauza simu feki wa Kariakoo, Makumbusho na maeneo mengine. Saivi kuna sumsung, iphones na nyingine nyingi, zote hizo ni feki...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii. ---- Hilda Newton kupitia akaunti yake ya Twitter...
10 Reactions
170 Replies
17K Views
Alizuia Uholela. Uholela wa wafanyabiashara kujiuzia watakavyo baadhi ya vitu. Na ulanguzi. Alifanikiwa kwa kiasi flani. Nakumbuka zamani hata Fuel ambayo walikuwa wakiuza TOTAL ilikuwa bei ya juu...
2 Reactions
4 Replies
675 Views
Wakuu hongereni kwa Sikukuu ya Eid El fitri , na pia poleni kwa Bei mpya ya Mafuta iliyotangazwa na EWURA , ambazo hata hivyo tunaambiwa ni ndogo sana kuliko zile za Marekani . Hata hivyo pamoja...
19 Reactions
71 Replies
4K Views
Wakati nikiwa katika harakati mjini hapa kwenye bandari ya salama. Nikakutana na kundi kubwa la abiria , konda na dereva wa gari la abiria wakiwa wamemzunguka ofisa mmoja wa polisi. Kutaka kujua...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Raisi Samia alikua akihojiwa na mtangazaji Sudi mnete kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na muelekeo wake. Mama Samia ameongea vizuri tu, Ila amesema Tanzania imejiunga na Umoja wa Ulaya...
2 Reactions
62 Replies
4K Views
Serikali iondoe kodi kwa angalau shs 500 kwa lita na iweke mkakati wa kuziba hilo pengo kwa kutoa maamuzi ya kupunguza gharama za matumizi serikalini kwa kuwa ni ukweli usiopingika fedha ya kodi...
1 Reactions
4 Replies
901 Views
Hatua zinazochukuliwa na EWURA kupandisha bei ya mafuta kila wiki kwa sh. 300 hadi 500 zaweza kuwa ni baraka tusiyoitarajia Hatua kama hizi ziliweza kuleta mabadiliko ya fikra na uongozi katika...
25 Reactions
49 Replies
4K Views
Balozi Malamula hivi karibuni ametoa kauli kwamba serikali inaandaa sera ili Tanzania inufaike na Diaspora. Mimi nadhani huku ni kupotezeana muda tu. Nilishalisema sana jambo la Diaspora humu...
23 Reactions
288 Replies
23K Views
Nina swali kwa wale anti 5th Regime ambao baada tu ya kumpoteza raisi wa aina yake,turufu ya kweli kupata kutokea toka kuasisiwa kwa taifa hili. Lile kundi ambalo mlikuwa mkishabikia kuwa mama...
20 Reactions
59 Replies
4K Views
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shyrose Bhanji ameonesha kutamani kupata uteuzi kwenye Serikali ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli. Kupitia ujumbe...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini? Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha...
13 Reactions
59 Replies
6K Views
Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni video imeandaliwa na mabeberu kwa hiari yao na kwa gharama zao wakielezea namna Hayati Magufuli alivyobadilisha uchumi wa Tanzania kufikia kumi bora Afrika na kuwa na hadhi ya uchumi wa...
17 Reactions
59 Replies
4K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka amesema katika bajeti ya mwaka 2022/23 Wizara imetenga fedha Shilingi bilioni 5.5 kwa ajili ya kuweka mazingira wezeshi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Juzi LATRA wametoa chati za nauli za mabasi ya mikoani na daladala ambazo zilipaswa kuanza tarehe 14/05/2022. Cha kushangaza nauli ya Dodoma mjini kwenda Bahi imepanda na kufikia shilingi 3000...
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Back
Top Bottom