Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Muju4

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
5,319
7,153
Nawasalimu wanajukwaa.

Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.

Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.

Pongezi kwako Zitto Kabwe.

Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
 
Chichiemu/fisiem De
 
Hata wenzake walivyomsusia Magufuli bungeni yeye alijifanya akili kubwa akabaki akijua uenyekiti wa PAC atapewa Kama kawa,Kilichofuata alinyimwa huo uenyekiti na hapo ndipo akili ilimkaa kichwani akaanza kupiga mayowe Sasa.

Opportunist.
Sawa lakini katika hili ni bora amewasaidia CDM maana wamezidiwa na hisia wakakosa maarifa lakini Zitto amewaokoa.
 
Zitto ni mjinga kama wajinga wengine,anashiriki uchaguzi huku akijua wazi sheria na kanuni za uchaguzi ni mbovu.

Sijawahi kumwamini Zitto hata siku moja ni mwanasiasa wa hovyo na ni hasara kubwa taifa kuendelea kuwa na aina hii ya wanasiasa.

Mbona miaka yote CDM na vyama vingine walikuwa wakishiriki uchaguzi huku wakijua kabisa tume sio huru na kanuni ni mbovu na kura zinaenda kuibiwa....TL alishiriki uchaguzi 2025 huku akijua kabisa anakwenda kuibiwa kura na tume sio huru..
 
Yaani hawa CDM wakati mwengine ni ngumu kuwaelewa.
 
Back
Top Bottom