Shirika la Masoko ya Kariakoo (SMK) chini ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI kutofanyiwa ukaguzi na CAG ni mzaha

Apr 24, 2011
29
542
Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake hakukagua. Je, ni kweli Rais hajui lolote kuhusu Ofisi yake kutofanyiwa ukaguzi na CAG?

Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) ni taasisi iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Masoko ya Kariakoo, Na. 36 ya mwaka 1974 (ikafanyiwa marejeo na Sheria Na. 16 ya mwaka 1985) ili kuratibu na kudhibiti soko la Kariakoo, linalopatikana mkoa wa Dar es Salaam.

Shirika la Maendeleo la Jiji la DSM (DDC) na Shirika la Masoko Kariakoo ni mashirika ya Umma yanayoongozwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Jiji la DSM chini ya Sheria za Makampuni ya mwaka 1971 na Sheria ya Bunge Na. 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act, 1974.

Uongozi wa shirika la Masoko ya Kariakoo unatoa Taarifa zake na kuwajibika kwa Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI). Hivyo, hapa tunajadili udhaifu wa Serikali Kwa Kuhusianisha Muunganiko wa uongozi wa shirika, wizara na Ofisi ya Rais. Tunataka Majibu.

Shirika la Masoko ya Kariakoo kama ilivyo kwa taasisi nyingine za serikali linayo mipango ya Uwekezaji kwa ajili ya maendeleo yake. Katika kipindi chote ambapo limekuwepo kutekeleza shughuli zake kwa mujibu wa Sheria yake, limefanikiwa kutekeleza shughuli kadhaa za kimaendeleo.

Mfano, Usimamizi wa Soko Kuu na Soko Dogo katika Soko la Kariakoo kwamba Masoko haya yote yameendelea kuwepo tangu yalipojengwa na kuanza kutumika katika uingizaji wa mapato. kujenga nyumba saba (7) za kawaida na Ghorofa moja katika maeneo ya Mbezi Beach- Makonde na Tabata Bima.

Pia, Shirika la masoko ya Kariakoo (SMK) limenunua rasilimali ardhi (Viwanja) na kumiliki katika maeneo ya Mbezi Beach Makonde na Tabata Bima, kwa ajili ya kufanya uwekezaji. Ukubwa wa maeneo yote kwa pamoja ni hekta kadhaa. Zote hizi ni mali ya shirika, hazijafanyiwa ukaguzi na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG).

Pia tulielezwa, Shirika la Masoko ya Kariakoo linamiliki eneo la Soko Dogo ambalo linahitaji Uwekezaji mkubwa kwa kujenga Jengo jipya la Kisasa ambalo litaweza kutoa nafasi nyingi za maeneo ya kufanya biashara, Maegesho ya magari na huduma nyingine za kibiashara. Eneo hili lina eneo lina Mita za Mraba 3,598.

Eneo la Mbezi Beach Makonde kuna Mita za Mraba 6,119 na Tabata Bima ni mita za mraba 10,117.14. Tangu Mwaka 2019/2020 tulielezwa na bodo kwamba hatua za awali zimeanza kwa ajili ya kupata Wawekezaji kupitia njia mbalimbali za kiuwekezaji. Hakuna Taarifa iliyotolewa tena shirika la Masoko ya Kariakoo kwa umma na Hakuna Taarifa za ukaguzi.

Kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na.36 ya Mwaka 1974, Shirika la Masoko ya Kariakoo ambalo linayo dhamana ya kupokea mazao yote ya chakula yanayoingia katika mkoa wa Dar Es Salaam, na kwamba ndiyo husimamia shughuli zote zinazoendeshwa katika Soko Kuu la Kariakoo kila siku.

Pamoja na usimamizi wa shughuli za kibiashara ambazo hufanywa na Wafanya biashara wa kada mbalimbali. Wafanya biashara wanaofanya shughuli zao sokoni Kariakoo ni wa aina mbili ambao ni Wafanyabiashara wa Jumla (Whole Salers ) na wale Wafanyabiashara wa rejareja (Retail Salers).

Biashara ya mazao ya jumla hufanyika eneo la Shimoni “Basement Floor”. Sehemu hii ya soko la Kariakoo inazo sehemu maalumu za kushushia mazao mbalimbali ambayo huingia Sokoni kila siku kwa ishirini na nne (24). Kariakoo ni soko la kimkakati. Shirika kutofanyiwa ukaguzi ni mzaha.

Watumishi wa Shirika hufanya kazi yao ya kupokea mazao ya Wafanyabiashara. Watumishi wa Shirika wanalo jukumu kubwa la kutoza ushuru wa mazao yote ambayo yanafikishwa hapa Sokoni Kariakoo kulingana na viwango ambavyo vimepangwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Shirika.

Mazao mbalimbali yakiwemo ya Matunda, Mbogamboga, Nafaka na Mazao ya uvuvi yaani Samaki Wakavu na wabichi huingia Sokoni. Mazao hutoka pande zote za nchi, yaani Tanzania Bara na Visiwani (Zanzibar na Pemba), na hata katika nchi jirani ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya na Uganda.

Soko Kuu la Kariakoo wapo Wafanyabiashara wa rejareja ambao hufanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali ya Soko. Eneo la Soko Dogo, Soko la wazi na eneo la mzunguko la Soko Dogo wamepangwa Wafanyabiashara wa rejareja. Aidha eneo la Shimoni pia wapo wafanyabiashara wa rejareja.

Ndani ya Soko kuna maeneo ya maduka ambayo wamepangishwa Wafanyabiashara, Vizimba (Stalls) na Meza, ambapo Wafanyabiashara wote wanaofanya biashara katika Soko hili hutozwa ada mbalimbali ikiwemo Kodi ya pango kwa watu wote wanaofanya biashara kwenye maduka na Vizimba (Stalls).

Eneo la Soko Dogo kuna vizimba vingi ambavyo asilimia kubwa ya wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao huuza aina mbalimbali za Viungo (Spices). Viungo hivi vinazalishwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Visiwani Zanzibar na Tanzania Bara.

Wafanyabiashara huwauzia wateja katika mkoa wa DSM, wafanyabiashara kutoka Visiwa vya Commoro, Zambia, Malawi hununua na kupeleka katika nchi zao. Wanaofanya biashara kwenye meza hutozwa ada ya kutumia Soko kila siku kwa mujibu wa viwango vilivyopangwa na uongozi wa Shirika.

Yote hayo hayajafanyiwa ukaguzi. CAG anasema ameshindwa kutolea maoni. Rais, kwa kuwa Ofisi ya TAMISEMI ipo katika Ofisi ya, Rais, ni wajibu wako sasa kuwauliza watendaji wako sababu zilizowafanya washindwe kutoa Ushirikiano kwa CAG. Walipa kodi tunataka kuona uwajibikaji.

Sheria ya Bunge namba 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act, 1974, kifungu cha 21 hadi 23 kinazungumza kwa upana wake uwajibikaji wa shirika katika ukaguzi chini ya the Tanzania Audit Corporation Act, 1968. Itakuwa ni hatari kama Ofisi ya Rais haiheshimu Sheria

Sheria ya Bunge namba 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act no 36, 1974 Kifungu cha 20 kimetoa Utaratibu unaopaswa kufuatwa na shirika kuandaa vitabu vya Taarifa za mahesabu. Risiti za matumizi, miamala yote ya kifedha ya shirika. Miradi na madeni ya shirika.

Taarifa pia zizingatie mapato na matumizi ya shirika. Pia, ndani ya miezi sita ya Kufunga Mwaka wa fedha, taarifa ya mahesabu ya kifedha ya shirika itakaguliwa na Tanzania Audit Corporation, iliyoanzishwa na Tanzania Audit Corporation Act, 1968

Baada ya taarifa ya kifedha ya shirika Kufanyiwa ukaguzi huo, ndani ya miezi isiyozidi saba, inapaswa Nakala ya Taarifa ya ukaguzi huo na mapendekezo ya wakaguzi inabidhiwa kwa waziri anayehusika na usimamizi wa shirika la Masoko ya Kariakoo ambaye kwa sasa ni waziri wa TAMISEMI

Mtendaji mkuu wa shirika kila baada ya Mwisho wa mwaka wa fedha anapaswa Kuandaa Taarifa ua ukaguzi huo wa shirika na kuwasilisha kwa waziri wa TAMISEMI, Kisha waziri ndani ya miezi 12 anatakiwa kuzisoma Taarifa hizo zote zilizotajwa katika mkutano mkuu. Hayajafanyika!

Rais, utakuwa na nguvu ya kukemea Rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma kwa taasisi nyingine ambazo zipo nje ya Ofisi yako ikiwa taasisi ambazo zipo ndani ya Ofisi yako hazitoi ushirikiano kwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali? Haiwezi kuwa sawa.

Zipo mali na miradi inayomilikiwa na shirika la Masoko ya Kariakoo, zitajwe, zijulikane, hesabu zake ziwekwe wazi. Shirika hili tangu kuanzishwa mwaka 1974 limefanya kazi zake bila tija. Mwaka 2017 shirika lilikuwa na madeni ya zaidi ya Shs. 1.3bn. Zimelipwa au zimeongezeka?

MMM, Martin Maranja Masese
 
Ayo mashirika yote yako na wakurugenzi ambao wanavuna pesa pasipo kuleta maendeleo au kipato kwa serikali.

Nchii inaitaji kuwekwa chini tukaanza kuanzia sheria ndogo. Mfano sheria ya 1985 kuhusu masoko haiwezi fanana na uhalisia wa 2022
 
Si mnasema kuna C.P.A huko CDM.

Kwanini usingewauliza kwanza au ata we mwenyewe kufanya research kidogo aina ya audit opinions, kabla ya kuandika story ndefu.

‘Kushindwa kutoa maoni’ aina maana taasisi husika aijakaguliwa.

Hiyo ni audit opinion pia, moja ya sababu inaweza kuwa vielelezo vyote vipo ila kuna ‘inconsistencies kwenye accounting procedure’. Ndio maana akashindwa kutoa maoni.
 
Hizo "inconsistencies" kwenye accounting procedure zinakuwa zimesababishwa na nani?
 
Mambo mengi ya kihasibu

How you treat items kama impairments (hasa kwenye goodwill), provision for bad debts set, date you pay off long terms debts, inclusion of disallowed expenditures, how you depreciate items and so forth as required by IFRS on what needs to be consistent.

Moreover you can’t just change how you record and treat items each different year that also constitute inconsistent.

Soko la Kariakoo kwa haraka haraka litakuwa linafanya consolidated or other intra accounting mwisho wa mwaka (all those institutions need to treat items the same) huko nako kuna rules zake and it’s easy to manipulate the accounts.

Mambo yote hayo yanaweza distort the final accounting kiasi kwamba mkaguzi ashindwe kuamua kutokana na inconsistent.
 
Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake hakukagua. Je, ni kweli Rais hajui lolote kuhusu Ofisi yake kutofanyiwa ukaguzi na CAG?

Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) ni taasisi iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Masoko ya Kariakoo, Na. 36 ya mwaka 1974 (ikafanyiwa marejeo na Sheria Na. 16 ya mwaka 1985) ili kuratibu na kudhibiti soko la Kariakoo, linalopatikana mkoa wa Dar es Salaam.

Shirika la Maendeleo la Jiji la DSM (DDC) na Shirika la Masoko Kariakoo ni mashirika ya Umma yanayoongozwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Jiji la DSM chini ya Sheria za Makampuni ya mwaka 1971 na Sheria ya Bunge Na. 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act, 1974.

Uongozi wa shirika la Masoko ya Kariakoo unatoa Taarifa zake na kuwajibika kwa Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI). Hivyo, hapa tunajadili udhaifu wa Serikali Kwa Kuhusianisha Muunganiko wa uongozi wa shirika, wizara na Ofisi ya Rais. Tunataka Majibu.

Shirika la Masoko ya Kariakoo kama ilivyo kwa taasisi nyingine za serikali linayo mipango ya Uwekezaji kwa ajili ya maendeleo yake. Katika kipindi chote ambapo limekuwepo kutekeleza shughuli zake kwa mujibu wa Sheria yake, limefanikiwa kutekeleza shughuli kadhaa za kimaendeleo.

Mfano, Usimamizi wa Soko Kuu na Soko Dogo katika Soko la Kariakoo kwamba Masoko haya yote yameendelea kuwepo tangu yalipojengwa na kuanza kutumika katika uingizaji wa mapato. kujenga nyumba saba (7) za kawaida na Ghorofa moja katika maeneo ya Mbezi Beach- Makonde na Tabata Bima.

Pia, Shirika la masoko ya Kariakoo (SMK) limenunua rasilimali ardhi (Viwanja) na kumiliki katika maeneo ya Mbezi Beach Makonde na Tabata Bima, kwa ajili ya kufanya uwekezaji. Ukubwa wa maeneo yote kwa pamoja ni hekta kadhaa. Zote hizi ni mali ya shirika, hazijafanyiwa ukaguzi na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG).

Pia tulielezwa, Shirika la Masoko ya Kariakoo linamiliki eneo la Soko Dogo ambalo linahitaji Uwekezaji mkubwa kwa kujenga Jengo jipya la Kisasa ambalo litaweza kutoa nafasi nyingi za maeneo ya kufanya biashara, Maegesho ya magari na huduma nyingine za kibiashara. Eneo hili lina eneo lina Mita za Mraba 3,598.

Eneo la Mbezi Beach Makonde kuna Mita za Mraba 6,119 na Tabata Bima ni mita za mraba 10,117.14. Tangu Mwaka 2019/2020 tulielezwa na bodo kwamba hatua za awali zimeanza kwa ajili ya kupata Wawekezaji kupitia njia mbalimbali za kiuwekezaji. Hakuna Taarifa iliyotolewa tena shirika la Masoko ya Kariakoo kwa umma na Hakuna Taarifa za ukaguzi.

Kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na.36 ya Mwaka 1974, Shirika la Masoko ya Kariakoo ambalo linayo dhamana ya kupokea mazao yote ya chakula yanayoingia katika mkoa wa Dar Es Salaam, na kwamba ndiyo husimamia shughuli zote zinazoendeshwa katika Soko Kuu la Kariakoo kila siku.

Pamoja na usimamizi wa shughuli za kibiashara ambazo hufanywa na Wafanya biashara wa kada mbalimbali. Wafanya biashara wanaofanya shughuli zao sokoni Kariakoo ni wa aina mbili ambao ni Wafanyabiashara wa Jumla (Whole Salers ) na wale Wafanyabiashara wa rejareja (Retail Salers).

Biashara ya mazao ya jumla hufanyika eneo la Shimoni “Basement Floor”. Sehemu hii ya soko la Kariakoo inazo sehemu maalumu za kushushia mazao mbalimbali ambayo huingia Sokoni kila siku kwa ishirini na nne (24). Kariakoo ni soko la kimkakati. Shirika kutofanyiwa ukaguzi ni mzaha.

Watumishi wa Shirika hufanya kazi yao ya kupokea mazao ya Wafanyabiashara. Watumishi wa Shirika wanalo jukumu kubwa la kutoza ushuru wa mazao yote ambayo yanafikishwa hapa Sokoni Kariakoo kulingana na viwango ambavyo vimepangwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Shirika.

Mazao mbalimbali yakiwemo ya Matunda, Mbogamboga, Nafaka na Mazao ya uvuvi yaani Samaki Wakavu na wabichi huingia Sokoni. Mazao hutoka pande zote za nchi, yaani Tanzania Bara na Visiwani (Zanzibar na Pemba), na hata katika nchi jirani ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya na Uganda.

Soko Kuu la Kariakoo wapo Wafanyabiashara wa rejareja ambao hufanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali ya Soko. Eneo la Soko Dogo, Soko la wazi na eneo la mzunguko la Soko Dogo wamepangwa Wafanyabiashara wa rejareja. Aidha eneo la Shimoni pia wapo wafanyabiashara wa rejareja.

Ndani ya Soko kuna maeneo ya maduka ambayo wamepangishwa Wafanyabiashara, Vizimba (Stalls) na Meza, ambapo Wafanyabiashara wote wanaofanya biashara katika Soko hili hutozwa ada mbalimbali ikiwemo Kodi ya pango kwa watu wote wanaofanya biashara kwenye maduka na Vizimba (Stalls).

Eneo la Soko Dogo kuna vizimba vingi ambavyo asilimia kubwa ya wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao huuza aina mbalimbali za Viungo (Spices). Viungo hivi vinazalishwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Visiwani Zanzibar na Tanzania Bara.

Wafanyabiashara huwauzia wateja katika mkoa wa DSM, wafanyabiashara kutoka Visiwa vya Commoro, Zambia, Malawi hununua na kupeleka katika nchi zao. Wanaofanya biashara kwenye meza hutozwa ada ya kutumia Soko kila siku kwa mujibu wa viwango vilivyopangwa na uongozi wa Shirika.

Yote hayo hayajafanyiwa ukaguzi. CAG anasema ameshindwa kutolea maoni. Rais, kwa kuwa Ofisi ya TAMISEMI ipo katika Ofisi ya, Rais, ni wajibu wako sasa kuwauliza watendaji wako sababu zilizowafanya washindwe kutoa Ushirikiano kwa CAG. Walipa kodi tunataka kuona uwajibikaji.

Sheria ya Bunge namba 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act, 1974, kifungu cha 21 hadi 23 kinazungumza kwa upana wake uwajibikaji wa shirika katika ukaguzi chini ya the Tanzania Audit Corporation Act, 1968. Itakuwa ni hatari kama Ofisi ya Rais haiheshimu Sheria

Sheria ya Bunge namba 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act no 36, 1974 Kifungu cha 20 kimetoa Utaratibu unaopaswa kufuatwa na shirika kuandaa vitabu vya Taarifa za mahesabu. Risiti za matumizi, miamala yote ya kifedha ya shirika. Miradi na madeni ya shirika.

Taarifa pia zizingatie mapato na matumizi ya shirika. Pia, ndani ya miezi sita ya Kufunga Mwaka wa fedha, taarifa ya mahesabu ya kifedha ya shirika itakaguliwa na Tanzania Audit Corporation, iliyoanzishwa na Tanzania Audit Corporation Act, 1968

Baada ya taarifa ya kifedha ya shirika Kufanyiwa ukaguzi huo, ndani ya miezi isiyozidi saba, inapaswa Nakala ya Taarifa ya ukaguzi huo na mapendekezo ya wakaguzi inabidhiwa kwa waziri anayehusika na usimamizi wa shirika la Masoko ya Kariakoo ambaye kwa sasa ni waziri wa TAMISEMI

Mtendaji mkuu wa shirika kila baada ya Mwisho wa mwaka wa fedha anapaswa Kuandaa Taarifa ua ukaguzi huo wa shirika na kuwasilisha kwa waziri wa TAMISEMI, Kisha waziri ndani ya miezi 12 anatakiwa kuzisoma Taarifa hizo zote zilizotajwa katika mkutano mkuu. Hayajafanyika!

Rais, utakuwa na nguvu ya kukemea Rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma kwa taasisi nyingine ambazo zipo nje ya Ofisi yako ikiwa taasisi ambazo zipo ndani ya Ofisi yako hazitoi ushirikiano kwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali? Haiwezi kuwa sawa.

Zipo mali na miradi inayomilikiwa na shirika la Masoko ya Kariakoo, zitajwe, zijulikane, hesabu zake ziwekwe wazi. Shirika hili tangu kuanzishwa mwaka 1974 limefanya kazi zake bila tija. Mwaka 2017 shirika lilikuwa na madeni ya zaidi ya Shs. 1.3bn. Zimelipwa au zimeongezeka?

MMM, Martin Maranja Masese
Kuungua soko Ile ripoti ya kamati ilikuja?
 
Mambo mengi ya kihasibu

How you treat items kama impairments (hasa kwenye goodwill), provision for bad debts set, date you pay off long terms debts, inclusion of disallowed expenditures, how you depreciate items and so forth as required by IFRS on what needs to be consistent.

Moreover you can’t just change how you record and treat items each different year that also constitute inconsistent.

Soko la Kariakoo kwa haraka haraka litakuwa linafanya consolidated or other intra accounting mwisho wa mwaka (all those institutions need to treat items same) huko nako kuna rules zake it’s easy to manipulate the accounts.

Mambo yote hayo yanaweza distort the final accounting kiasi kwamba mkaguzi ashindwe kuamua kutokana na inconsistent.
Kama mambo ndio yako hivi huu hauwezi kuwa kama mchezo wahusika kufanya hivi kwa makusudi ili wamvuruge CAG asijue upigaji waliofanya?

Naona hapa kama serikali ipo makini iwaadhibu hao wahasibu wanaohusika na hesabu za hilo soko, huu mchezo unaosema kama kweli ndio umetokea basi naona kuna uzembe wa makusudi uliosababishwa na wahusika.
 
Ni accounting procedures tu kuna zingine zinakubalika na zingine azikubaliki eitherway zozote kati yao zinaweza mfanya auditor kushindwa kutoa hati inayoridhisha au hata yenye mashaka; ndio maana anakosa opinion.

Muhimu ni kusoma report ametoa sababu gani, humo ataelezea kwanini hakutoa opinion inaweza kuwa chochote (even nothing to do with inconsistent).

Mfano soko la Kariakoo naona kuna mtu amekumbushia hapo liliungua na hela imetumika kulikarabati.

Hiyo hela kwenye kukarabati inaweza kuwa treated as an expense (itakayo punguza faida) au investment itakayo add value kwenye (PPE, ukifanya imparment and thus adding final income after adjustments) this too is allowed if its justifiable ni sehemu ya development inayoongeza thamani ya soko na future income.

Mkaguzi awezi bisha hilo hayo matumizi ni sehemu ya development maana kuna future economic benefits kweli (how much) he can’t verify nor argue against their projections. At the same time soko liliungua kwanini hiyo hela isiwe sehemu ya ukarabati tu ambao auta ongeza value ya soko kama wanavyodai so iwe ni expense tu.

Point hapo ni kwamba accountants wana mbinu given the scenario and can justify their treatment of accounts. Ndio maana kuna wasaa wakaguzi wanashindwa hitimisha. Kama ni swala la inconstancy atashauri procedures to adapt akija next time.

Sio Tanzania tu kote duniani watu wana mbinu kwenye kufanya final accounts ziwe wanavyotaka au kupunguza kodi wanazotakiwa kulipa. Ndio maana Donald Trump mwenye vyanzo luluki vya mapato pays less ‘income tax’ kushinda watu wengi wasio na income kubwa kushinda yeye and it’s all legal depending on the wit of your accountant in understanding the rules.

As yet mimi na wewe hatujui sababu za CAG kutoa hiyo opinion maana atujasoma hiyo report.
 
Hapa nimekuelewa, asante.

My problem ilikuwa ni kwenye hizo "inconsistencies" kumbe ni jambo lililokuwa recognised worldwide, no problem, ila next time CAG hapo lazima ajiongeze akija na kisingizio chochote kingine ataanza kutengeneza mashaka.
 
Something like that, hila muhimu kuelewa kuna conceptual frameworks za accounting ambazo lazima uzizingatie kwenye kutengeneza hesabu zako ‘consistency’ ni moja tu zipo nyingi.

Conceptual frameworks za IFRS zipo kama kumi hivi (more or less) ambazo kama ujafuata zinaweza mpa mashaka mkaguzi.

Halafu kuna IAS pia na zenyewe zinatoa mwongozo ya treatments kwenye mambo fulani ambayo tata. Mfano utata wa soko la Kariakoo ni expense au investment it has nothing to do with inconsistency nor IFRS; that’s just IAS 36 lakini inaweza mfanyamkaguzi kukosa opinion kama wameona hiyo hela ni expense in their opinion rather than an expense.

So it’s important kusoma report ya CAG kwanini ajatoa opinion there are range of things. Ndio maana niliposema incostitent accounting niliweka na neno sababu moja wapo lakini aina maana sababu pekee ya kutotoa opinion.

Na ndio sababu pia nikasema some reasons might be legal others not. Muhimu ni kusoma what the auditor says.
 
Mkuu inaonekana wewe ni msomi na mtaalamu wa haya mambo..
kulikua na haja gani ya ww kuanza kumhusisha na chadema mtoa mada, kwa nini usingejibu hoja zake tu.

je katika hoja alizozitoa hakuna kitu hapo chenye maslahi ya umma?
 
Nimeshaeleza CAG kusema ‘kashindwa kutoa maoni’ aina maana ajakagua; ni kwamba kwenye ukaguzi wake kashindwa kutoa opinion ya hati yenye kuridhisha au yenye mashaka. Na sababu za kufanya ivyo nimeelezea.

Halafu soko la Kariakoo ni biashara inayokodisha/pangisha tu maeneo ya kazi; labda na kukusanya kodi za halmashauri wanazotakiwa watoze wafanyabiashara au watu wanaobandika matangazo kwenye maeneo yao.

Lakini nini kinaingia au kinatoka, au kodi za mfanyabiashara mmoja kwa mujibu wa sheria zipo chini ya TRA sio uongozi wa soko; wao wana deal na bylaws tu.

Hesabu za soko zinakaguliwa kutokana na wao wanacho trade only ambayo ni rental na tozo zingine wanazo charge watu kutumia soko. Mengine aliyoyaongelea ni ya mfanya biashara mmoja mmoja na TRA and it has nothing to with auditing.
 
Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake hakukagua. Je, ni kweli Rais hajui lolote kuhusu Ofisi yake kutofanyiwa ukaguzi na CAG?

Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) ni taasisi iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Masoko ya Kariakoo, Na. 36 ya mwaka 1974 (ikafanyiwa marejeo na Sheria Na. 16 ya mwaka 1985) ili kuratibu na kudhibiti soko la Kariakoo, linalopatikana mkoa wa Dar es Salaam.

Shirika la Maendeleo la Jiji la DSM (DDC) na Shirika la Masoko Kariakoo ni mashirika ya Umma yanayoongozwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Jiji la DSM chini ya Sheria za Makampuni ya mwaka 1971 na Sheria ya Bunge Na. 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act, 1974.

Uongozi wa shirika la Masoko ya Kariakoo unatoa Taarifa zake na kuwajibika kwa Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI). Hivyo, hapa tunajadili udhaifu wa Serikali Kwa Kuhusianisha Muunganiko wa uongozi wa shirika, wizara na Ofisi ya Rais. Tunataka Majibu.

Shirika la Masoko ya Kariakoo kama ilivyo kwa taasisi nyingine za serikali linayo mipango ya Uwekezaji kwa ajili ya maendeleo yake. Katika kipindi chote ambapo limekuwepo kutekeleza shughuli zake kwa mujibu wa Sheria yake, limefanikiwa kutekeleza shughuli kadhaa za kimaendeleo.

Mfano, Usimamizi wa Soko Kuu na Soko Dogo katika Soko la Kariakoo kwamba Masoko haya yote yameendelea kuwepo tangu yalipojengwa na kuanza kutumika katika uingizaji wa mapato. kujenga nyumba saba (7) za kawaida na Ghorofa moja katika maeneo ya Mbezi Beach- Makonde na Tabata Bima.

Pia, Shirika la masoko ya Kariakoo (SMK) limenunua rasilimali ardhi (Viwanja) na kumiliki katika maeneo ya Mbezi Beach Makonde na Tabata Bima, kwa ajili ya kufanya uwekezaji. Ukubwa wa maeneo yote kwa pamoja ni hekta kadhaa. Zote hizi ni mali ya shirika, hazijafanyiwa ukaguzi na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG).

Pia tulielezwa, Shirika la Masoko ya Kariakoo linamiliki eneo la Soko Dogo ambalo linahitaji Uwekezaji mkubwa kwa kujenga Jengo jipya la Kisasa ambalo litaweza kutoa nafasi nyingi za maeneo ya kufanya biashara, Maegesho ya magari na huduma nyingine za kibiashara. Eneo hili lina eneo lina Mita za Mraba 3,598.

Eneo la Mbezi Beach Makonde kuna Mita za Mraba 6,119 na Tabata Bima ni mita za mraba 10,117.14. Tangu Mwaka 2019/2020 tulielezwa na bodo kwamba hatua za awali zimeanza kwa ajili ya kupata Wawekezaji kupitia njia mbalimbali za kiuwekezaji. Hakuna Taarifa iliyotolewa tena shirika la Masoko ya Kariakoo kwa umma na Hakuna Taarifa za ukaguzi.

Kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na.36 ya Mwaka 1974, Shirika la Masoko ya Kariakoo ambalo linayo dhamana ya kupokea mazao yote ya chakula yanayoingia katika mkoa wa Dar Es Salaam, na kwamba ndiyo husimamia shughuli zote zinazoendeshwa katika Soko Kuu la Kariakoo kila siku.

Pamoja na usimamizi wa shughuli za kibiashara ambazo hufanywa na Wafanya biashara wa kada mbalimbali. Wafanya biashara wanaofanya shughuli zao sokoni Kariakoo ni wa aina mbili ambao ni Wafanyabiashara wa Jumla (Whole Salers ) na wale Wafanyabiashara wa rejareja (Retail Salers).

Biashara ya mazao ya jumla hufanyika eneo la Shimoni “Basement Floor”. Sehemu hii ya soko la Kariakoo inazo sehemu maalumu za kushushia mazao mbalimbali ambayo huingia Sokoni kila siku kwa ishirini na nne (24). Kariakoo ni soko la kimkakati. Shirika kutofanyiwa ukaguzi ni mzaha.

Watumishi wa Shirika hufanya kazi yao ya kupokea mazao ya Wafanyabiashara. Watumishi wa Shirika wanalo jukumu kubwa la kutoza ushuru wa mazao yote ambayo yanafikishwa hapa Sokoni Kariakoo kulingana na viwango ambavyo vimepangwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Shirika.

Mazao mbalimbali yakiwemo ya Matunda, Mbogamboga, Nafaka na Mazao ya uvuvi yaani Samaki Wakavu na wabichi huingia Sokoni. Mazao hutoka pande zote za nchi, yaani Tanzania Bara na Visiwani (Zanzibar na Pemba), na hata katika nchi jirani ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya na Uganda.

Soko Kuu la Kariakoo wapo Wafanyabiashara wa rejareja ambao hufanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali ya Soko. Eneo la Soko Dogo, Soko la wazi na eneo la mzunguko la Soko Dogo wamepangwa Wafanyabiashara wa rejareja. Aidha eneo la Shimoni pia wapo wafanyabiashara wa rejareja.

Ndani ya Soko kuna maeneo ya maduka ambayo wamepangishwa Wafanyabiashara, Vizimba (Stalls) na Meza, ambapo Wafanyabiashara wote wanaofanya biashara katika Soko hili hutozwa ada mbalimbali ikiwemo Kodi ya pango kwa watu wote wanaofanya biashara kwenye maduka na Vizimba (Stalls).

Eneo la Soko Dogo kuna vizimba vingi ambavyo asilimia kubwa ya wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao huuza aina mbalimbali za Viungo (Spices). Viungo hivi vinazalishwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Visiwani Zanzibar na Tanzania Bara.

Wafanyabiashara huwauzia wateja katika mkoa wa DSM, wafanyabiashara kutoka Visiwa vya Commoro, Zambia, Malawi hununua na kupeleka katika nchi zao. Wanaofanya biashara kwenye meza hutozwa ada ya kutumia Soko kila siku kwa mujibu wa viwango vilivyopangwa na uongozi wa Shirika.

Yote hayo hayajafanyiwa ukaguzi. CAG anasema ameshindwa kutolea maoni. Rais, kwa kuwa Ofisi ya TAMISEMI ipo katika Ofisi ya, Rais, ni wajibu wako sasa kuwauliza watendaji wako sababu zilizowafanya washindwe kutoa Ushirikiano kwa CAG. Walipa kodi tunataka kuona uwajibikaji.

Sheria ya Bunge namba 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act, 1974, kifungu cha 21 hadi 23 kinazungumza kwa upana wake uwajibikaji wa shirika katika ukaguzi chini ya the Tanzania Audit Corporation Act, 1968. Itakuwa ni hatari kama Ofisi ya Rais haiheshimu Sheria

Sheria ya Bunge namba 36 ya mwaka 1974, The Kariakoo Market Corporation Act no 36, 1974 Kifungu cha 20 kimetoa Utaratibu unaopaswa kufuatwa na shirika kuandaa vitabu vya Taarifa za mahesabu. Risiti za matumizi, miamala yote ya kifedha ya shirika. Miradi na madeni ya shirika.

Taarifa pia zizingatie mapato na matumizi ya shirika. Pia, ndani ya miezi sita ya Kufunga Mwaka wa fedha, taarifa ya mahesabu ya kifedha ya shirika itakaguliwa na Tanzania Audit Corporation, iliyoanzishwa na Tanzania Audit Corporation Act, 1968

Baada ya taarifa ya kifedha ya shirika Kufanyiwa ukaguzi huo, ndani ya miezi isiyozidi saba, inapaswa Nakala ya Taarifa ya ukaguzi huo na mapendekezo ya wakaguzi inabidhiwa kwa waziri anayehusika na usimamizi wa shirika la Masoko ya Kariakoo ambaye kwa sasa ni waziri wa TAMISEMI

Mtendaji mkuu wa shirika kila baada ya Mwisho wa mwaka wa fedha anapaswa Kuandaa Taarifa ua ukaguzi huo wa shirika na kuwasilisha kwa waziri wa TAMISEMI, Kisha waziri ndani ya miezi 12 anatakiwa kuzisoma Taarifa hizo zote zilizotajwa katika mkutano mkuu. Hayajafanyika!

Rais, utakuwa na nguvu ya kukemea Rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma kwa taasisi nyingine ambazo zipo nje ya Ofisi yako ikiwa taasisi ambazo zipo ndani ya Ofisi yako hazitoi ushirikiano kwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali? Haiwezi kuwa sawa.

Zipo mali na miradi inayomilikiwa na shirika la Masoko ya Kariakoo, zitajwe, zijulikane, hesabu zake ziwekwe wazi. Shirika hili tangu kuanzishwa mwaka 1974 limefanya kazi zake bila tija. Mwaka 2017 shirika lilikuwa na madeni ya zaidi ya Shs. 1.3bn. Zimelipwa au zimeongezeka?

MMM, Martin Maranja Masese
Hivi ofisi za Shirika hazikuungua wakati soko limeungua kweli? Labda vitabu vya hesabu viliungua ndio maana CAG hakukagua.
 
Back
Top Bottom