Mwambieni Colorado kima cha chini cha mshahara ni 15.87$ kwa saa Inamaanisha kwa 8hrs mtu wa chini analipwa 126.96$ kwa Mwezi mtu wa Washington dc analipwa 3,808.8$ ambayo ni sawa na...
Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetanabaisha wazi kuwa mamlaka ya kutawala taifa hili yatatoka kwa wananchi. Na mamlaka hayo yatawekwa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Hii inamaanisha kuwa kumbe...
Mpaka hapa tulipo kama nchi, werevu tunajiuliza Rais Samia Ikulu anafanya nini hasa? Anajua dhima ya kukalia kiti cha URAISI kweli? Mambo hayako sawa.
Kwa mujibu wa katiba yetu ya JMT 1977, Rais...
Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme, na kwenye gesi ya kupikia.
Ukitaka kucontrol mfumko wa bei inatakiwa ucheze na bei za mafuta, gesi ya...
Kesho tarehe 5/04/2022 mahakama kuu ya ardhi saa 3.00 asubuhi kesi namba 56/2022 itatajwa kwa mara ya kwanza. Kesi imefunguliwa na Mtumwa Jumanne na wenzake mbele ya jaji Arufani kupinga hatua ya...
Tokea usiku wa kuamkia leo Watanzania wamevalia njuga suala la kupanda kwa bei za mafuta huku lawama zote wakizielekeza kwa Rais Samia.
Binafsi nawasihii ndugu zangu tupunguze lawama kwa Rais...
Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.
Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?
Nini...
Nadhani changamoto ya SERIKALI NI KIASI AU UKUBWA WA TAX BASE.
Serikali ingeangalia hiyo tax base ya mafuta kwa Hizo tozo tunaingiza TZS NGAPI?
Then tuje na solution ya KUONGEZA tax base kwamba...
AWAMU YA NNE CHANZO CHA KUIMARIKA SEKTA YA NISHATI, MADINI
Kuanzishwa mfumo wa ununuzi mafuta kwa wingi (BPS) katika biashara ya mafuta ya petroli nchini, kwa kiwango kikubwa kumerahisisha...
Katika majukwa ya kimataifa kuna masuala mengi huwa hayapaswi kuzungumzwa au kauli tata kutolewa hadharani.
Majukwaa ya kimataifa ni pamoja na majadiliano na waandishi wa habari wa kimataifa...
Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine...
Ukitaka kumtambua kiongozi mzuri, ni wakati wa matatizo. Ukitaka kumtambua dereva mzuri, angalia atafanya nini pale ambapo ajali ni dhahiri.
Kuna.mambo, kama nchi, huna uwezo wa kuyabadilisha...
Nimesikiliza hotuba ya Rais wetu leo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani
Kwenye hotuba hiyo ambayo rais alikuwa katika mood ya kitofauti alisikika akiwaambia waandishi wa...
MBOLEA zinazotumika Katika kilimo ni moja ya kemikali zinazozalishwa kwa kuibadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA katika nchi zilizo endelea. Hivyo kilimo cha Tanzania kinaweza kufaidika sana kama...
Zanzibari inaonekana hawana makato mengi kwenye mafuta na ndio maana bei iko chini kuliko Bara. Lakini Bara makato inaonekana ni mengi sana.
Swali langu ni je makato ya Bara haya kuna % inatumwa...
Ukiingalia katiba ya Tanzania, ni kama vile ilifikiriwa kuwa wakati wote Rais atakuwa Mtanganyika.
Tanganyika iliungana na Zanzibar kwenye mambo machache, nadhani wakati ule yalikuwa 17 tu.
Hayo...
Nadhani mambo yamekuwa magumu kwa CCM naona ujanja wa kupandisha makodi na utitiri wa matozo matokeo yake ndio haya
Bidhaa zote zimepanda toka za mazao mpaka za viwandani
Mafuta hayashikiki...
Mbunge wa Kyerwa mkoani Kagera amesema mafuta yamepanda bei juzi tu lakini bei za bidhaa zimekuwa zikipanda kuanzia mwezi October mwaka jana.
Mbunge huyo amesema tusisingizie mafuta bali serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.