Hivi kazi ya CCM ni kuipongeza tu Serikali?

hamumwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
754
664
Ndg wana JamiiForums

Nipo nafikiri hapa CCM Kupitia Yule jamaa white kama mpemba hawachelewi kutoa taarifa za pongezi kwa serikali hata kwa mambo ambayo sio nchi kama uigizaji wa filamu.

Lakini kama chama kinashindwa kukaa na kuja na njia mbadala katika utatuzi wa changamoto zinazoikabili nchi kwa serikali kama upandaji wa bei ya:

1. Chakula
2. Bidhaa za unending
3. Pamoja na ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo ya nchi kama DAR

Chama pamoja na Yule white wao CHAKA Zulu hasemi chochote.

Ushauri wangu msaidieni mwenyekiti wenu kutatua changamoto sio mnalamba tu asali.

Na hao wanaojiita UVCCM Ndo wako kimya ila kwenye kazi za uchawa wako very active.

Kipindi cha matatizo ya kidunia kama haya Ndo ukuu na uongozi wa chama unaonekana msimwachie rais mzigo wote maana mnalamba wote iyo ASALI.
 
Only kupongeza!! Kukosoa ni upinzan tu, Wakati wa kula asali haitakiw upige kelele 😂😂😂😂
 
Mama Hapa Sijui Kasemaje
 
hata hapa JF inabidi upongeze tu.tukikosoa wanafuta hayo ya kukosoa hawa taki kwa sababu yatawafanya wawe wezi wa kula
 
Back
Top Bottom