Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,761
- 36,350
Habari!
Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni?
Tatizo nini hasa?
Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi
yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi?
Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa bei?. Mbona kila mwaka bidhaa hasa za ujenzi zinapanda bei, zimepanda kutokana na gharama za uzalishaji kupanda au zimepanda kutokana na kauli za Marais Mei Mosi?
Anakuja mtu anazungumzia mambo ya bodi ya kuratibu.
MISHAHARA. Je, miaka ya nyuma enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete kilitumika chombo gani kuratibu MISHAHARA?
Niseme sasa bila kupepesa macho kuwa kauli ya "Lile jambo letu bado lipo " ni miongoni mwa kauli zinazopaswa kutamkwa na kinywa kilichojaa upumbavu.