Gharama za maisha nchini ni himilivu

Gharama za maisha nchini ni himilivu

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
372
Reaction score
315
Gharama za maisha katika nchi yetu ni himilivu sana ukilinganisha na mataifa makubwa kama Marekani, Ujerumani, Uingereza, Canada na Japan.

Fanya tafiti katika mataifa hayo naamini utarudi hapa kukiri haya nisemayo. Sisi kwa hatua tunayokwenda nayo hatuwezi jilinganisha na mataifa yenye uchumi mdogo.

Ukishindwa kufanya utafiti katika nchi hizo basi njoo ulinganishe na nchi za Afrika mashariki utaniambia hapa Tanzania ni namba moja.

Asante, fanyeni utafiti kabla ya blabla nyingi.
 
Gharama za maisha katika nchi yetu ni himilivu sana ukilinganisha na mataifa makubwa kama Marekani, Ujerumani, Uingereza, Canada na Japan. Fanya tafiti katika mataifa hayo naamini utarudi hapa kukiri haya nisemayo. Sisi kwa hatua tunayokwenda nayo hatuwezi jilinganisha na mataifa yenye uchumi mdogo. Ukishindwa kufanya utafiti katika nchi hizo basi njoo ulinganishe na nchi za Afrika mashariki utaniambia hapa Tanzania ni namba moja.
Asante, fanyeni utafiti kabla ya blabla nyingi.
Hapa kwetu kazi hamna na bei ya vitu imepanda kule kazi zipo hata bei ipande, bado wanaweza kumdu naisha, savings zao ndo zinashuka, ila kikumbwa zaidi wana caring government sio kama kwetu ya survival for the fittest
 
Tanzania namba wani, so much money in the bank man 🐒
 
Gharama za maisha katika nchi yetu ni himilivu sana ukilinganisha na mataifa makubwa kama Marekani, Ujerumani, Uingereza, Canada na Japan. Fanya tafiti katika mataifa hayo naamini utarudi hapa kukiri haya nisemayo. Sisi kwa hatua tunayokwenda nayo hatuwezi jilinganisha na mataifa yenye uchumi mdogo. Ukishindwa kufanya utafiti katika nchi hizo basi njoo ulinganishe na nchi za Afrika mashariki utaniambia hapa Tanzania ni namba moja.
Asante, fanyeni utafiti kabla ya blabla nyingi.
Nipe nauli niende nikafanye utafiti Japan.
 
Back
Top Bottom