CCM huo Mshahara mnaomsifia Rais Samia Kuupandisha Mei Mosi juzi ni Kwenu tu au kwa Wafanyakazi wote wa Tanzania?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Kimempongeza Mwenyekiti wao Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa Kupandisha Mishahara kwa Wafanyakazi katika Siku ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma.

Taarifa: mwananchi_official

Binafsi kama MINOCYCLINE nilisikiliza Hotuba nzima na Sikusikia Tangazo la Mishahara Kuongezwa au yawezekana Masikio yangu ni Mabovu, Macho hayaoni na pengine labda Nilisinzia hivyo nawaomba wana CCM wote walioko hapa JamiiForums waniwekee hivyo Video / Audio Clip ya Rais akitangaza Nyongeza ya Mishahara kwa Wafanyakazi wote kama Wao Wanavyoshadadia, Jipendekeza Kulikopitiliza na Kutudanganya wenye Akili kuwazidi.
 
Kujipendekeza, unafiki, uzandiki, ushakunaku
Kila aina ya pepo mchafu hao viongozi wanalo
Pepo awatoke
Pepo tokaaaa
Toka
Toka
Tokaaaaaa
Pepooooo tokaaaaaaaa
 
Tucta wenyewe wameshasema hawana mashaka yoyote na Rais, sasa wewe jobless mwenzangu haya yanakuwashia nini?

Sisi tusiokuwa na kazi ndio tujihurumie tunapambana vipi na hali zetu na hali hii ya mfumuko wa bei.
 
Jobless bado.....

1. Anaweza Kujilisha
2. Anaweza kuwa na Hela ya Bando
3. Anaweza kuwa na Hela ya Kuhonga
4. Anaweza Kujilipia Kodi
5. Anaweza Kusomesha Wadogo zake
6. Anaweza Kusafiri kwa Bolt
7. Anaweza Kusaidia Nduguze Kijijini

Yawezekana Mimi sijui tafsiri na neno Jobless hivyo nakuomba Mwenzangu Tajiri na Mwenge Kazi unisaidie Kunidadavulia kiundani dhana halisi ya Jobless.

Huwa natamani mno Siku moja itokee tu Maisha yetu wana JamiiForums Wote yawekwe wazi ili tujuane vyema kwani yawezekana kuna wengine pamoja na Kujimwambafai Kwao kote hapa JamiiForums kumbe wanalala Sebuleni au Stoo.

Na tafadhali msio Jobless kumbukeni kulipa Madeni ya Watu wanaowadai na acheni Kuwazimia Simu na Kuwakwepa. Na acheni pia Kulimbikiza Madeni ya Kodi za wenye Nyumba wenu na epukeni mno kuishi Kitapeli hapa Mjini kwani kwa Ugumu wa Maisha mliyonayo huku Wake zenu Wakiwasaliti kuna uwezekano mkubwa mkaanza kuwa Wendawazimu au mkaanza kuwa Mashoga.

Naimani Message Sent and Delivered!!!
 
Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Kimempongeza Mwenyekiti wao Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa Kupandisha Mishahara kwa Wafanyakazi katika Siku ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma.

Taarifa: mwananchi_official

Binafsi kama MINOCYCLINE nilisikiliza Hotuba nzima na Sikusikia Tangazo la Mishahara Kuongezwa au yawezekana Masikio yangu ni Mabovu, Macho hayaoni na pengine labda Nilisinzia hivyo nawaomba wana CCM wote walioko hapa JamiiForums waniwekee hivyo Video / Audio Clip ya Rais akitangaza Nyongeza ya Mishahara kwa Wafanyakazi wote kama Wao Wanavyoshadadia, Jipendekeza Kulikopitiliza na Kutudanganya wenye Akili kuwazidi.
Alisema itaongezwa (akitumia msamiati wa JAMBO LETU) baada ya kufanya mahesabu na kuona itaongezwa kiasi gani ila sio kilicho pendekezwa na TUCTA.
Cha kusikitisha sana ni kwamba hii inahusu asilimia ndogo ya wafanyakazi ambao ni wa serikali tuu.
Sioni njia gani waajiri wakuu nao ni private sector wataongeza mishahara.
 
Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Kimempongeza Mwenyekiti wao Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa Kupandisha Mishahara kwa Wafanyakazi katika Siku ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma.

Taarifa: mwananchi_official

Binafsi kama MINOCYCLINE nilisikiliza Hotuba nzima na Sikusikia Tangazo la Mishahara Kuongezwa au yawezekana Masikio yangu ni Mabovu, Macho hayaoni na pengine labda Nilisinzia hivyo nawaomba wana CCM wote walioko hapa JamiiForums waniwekee hivyo Video / Audio Clip ya Rais akitangaza Nyongeza ya Mishahara kwa Wafanyakazi wote kama Wao Wanavyoshadadia, Jipendekeza Kulikopitiliza na Kutudanganya wenye Akili kuwazidi.
Watuambie kapandisha kwa Asilimia Ngapi au ndio zile SIFA za KUJIPENDEKEZA?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Tucta wenyewe wameshasema hawana mashaka yoyote na Rais, sasa wewe jobless mwenzangu haya yanakuwashia nini?

Sisi tusiokuwa na kazi ndio tujihurumie tunapambana vipi na hali zetu na hali hii ya mfumuko wa bei.
UNGESEMA BASI AMEONGEZA KWA ASILIMIA NGAPI
 
SISI wafanyakazi tumeelewa..
Ukishaona Kitu hujaelewa basi ujue halikuhusu..
Endelea kuchambua mipira
 
Nimemueleza pale juu jobless mwenzangu kaja na gazeti zima.
Umeshakubuka kuwalipa Wanaokudai? Mwenye Nyumba wako utamlipa lini kwani amekuchoka. Sasa kama Mwenzetu una Kazi na Pesa inakuwaje Mkeo anagongwa ( analalwa ) Kutwa tu na Bodaboda mwenye Jina linaloanza na Herufi H?

Ninasubiria Majibu yako nije na lingine.

Cc: Allan Clement
 
Ndugu yangu mimi siyo mfanyakazi, sifuatilii mambo yasiyonihusu, sina ajira wala hata wazo lenyewe la kuajiriwa sina.

Back
Top Bottom