Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti...
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani...
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za...
Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri?
Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji?
Au...
Penye ukweli uwongo hujitenga.
Kama ni kweli hayati Magufuli alifanya ufisadi mkubwa huku kila mtu akiogopa kumwambia labda yule kidume Tundu Lisu tu, maana yake ni kuwa Katiba yetu ni mbovu...
Leo nimeona mjadala mkubwa umekuwa ukiendelea kuhusiana na utofauti wa bei ya lita moja ya mafuta kati ya Zanzibar na Tanganyika.
Na picha zikisambaa mitandaoni kuonesha Zanzibar lita moja ni...
Akizungumza Na Wazee 300 wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama...
Imekuwa ni muendelezo wa uchapaji kazi usiotetereka wa DC Ole Sabaya huko Hai Kilimanjaro,
Nimeona Hii clip ya bibi wa miaka 78 kutapeliwa eneo lake na mfanyabiashara mwenye fedha.Hakika Ole...
"Mke wangu ni Mwalimu lakini ananizidi mshahara, Sijui tuna laana hapa" - Askari mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Baadhi ya askari wamepata nafasi ya kuzungumzia vitu mbalimbali...
Jamani, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kurugenzi ya habari ya awamu hii iko active sana kuliko awamu iliyopita.
Kila kinachofanywa na rais tunakipata "immediately" kwenye social...
Mtangazaji wa TBC aliyekuwa anatoa taarifa za TBC kutokea Songea ndugu Gerson Msigwa amepewa rasmi jukumu la kuwa mkurugenzi wa muda wa mawasiliano ya ikulu.
Mtangazaji huyo ambaye alikuwa...
Serikali ya awamu ya pili ilifanya kitu ambacho mpaka kesho naona ni cha kijinga sana.
Sijui kama ilikuwa ni shinikizo la wafanya biashara au ushauri wa World Bank, sijui.
Wenzetu kama Zambia...
Shalom, Kuna umuhimu sana wa Rais Samia kuchuja baadhi ya kauli zake, nimesikia kauli mbili zenye madhara Yale Yale huku kauli Moja ikikosa nguvu.
Anasema kwamba, ukitaja hadharani kuwa...
Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya...
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo.
Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18...
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.
Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na...
URUSI IMEWEZA,CHINA IMEWEZA,KOREA KASKAZINI WAMEWEZA,TANZANIA TUNAWEZA KUACHANA NA MABEBERU.
Leo 12:15pm, 02/02/2020.
Tanzania ni nchi huru katika Mataifa huru duniani,Tanzania tuna uhuru wa...
Nina rafiki msomi na yuko Chadema kufa na kupona, amekuwa sana akiniambia kuhusu Club house inayoendeshwa na Maria Sarungi. Leo nikaamuwa nami nisikilize mjadala wa Royal Tour ambapo Mary Sarungi...
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?
Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?
Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?
Ohhh...
Taifa la Tanzania liliendesha zoezi la Sensa ya watu na makazi kwa mara ya mwisho mwaka 2012. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ili kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.