Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha. Ili unyang'anyi wa...
23 Reactions
223 Replies
16K Views
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA NISHATI KUHUSU ZIARA YA WAZIRI JANUARY MAKAMBA Kama inavyofahamika, bei ya mafuta ghafi duniani imeendelea kupanda kwa kasi na kwa kiwango kikubwa, kutoka dola...
23 Reactions
147 Replies
13K Views
Wadau, tayari Serikali kupitia Latra imetangaza bei mpya ya nauli nchini ikipanda kwa asilimia karibia 20-22 tukio linalokwenda sambamba na ongezeko la bei ya mafuta iliyotangazwa na Ewura...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole. Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake! Rais Samia...
5 Reactions
108 Replies
10K Views
Mh Lema ambaye ni Mbunge wa Zamani wa Arusha Mjini amenukuliwa akielezea Maisha ya sasa ya Paulo Makonda , aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Kuwa ni Maisha Magumu yasiyotabirika . Lema...
42 Reactions
145 Replies
14K Views
05 May 2022 SIKU YA KUADHIMISHA URITHI WA DUNIA AFRIKA, WIZARA KUBOMOA MAJENGO YA URITHI KILWA Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia mamlaka ya usimamizi wanyama-pori TAWA ikiadhimisha siku ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hotuba ya Msemaji wa sekta ya Mambo ya Ndani ACT Wazalendo Ndg. Mbarala Abdallah Maharagande kuhusu bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2022/23. Utangulizi: Jana Alhamisi tarehe...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Badala ya kuwaambia wananchi wajiandae na ongezeko la bei ya mafuta ni vema mh Makamba kama waziri ajiandae kulishawishi Baraza la mawaziri lipunguze kodi ya Nishati. Kama Waziri wa UK ameweza...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI. Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni. Hatimaye mwaka...
37 Reactions
62 Replies
4K Views
Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa...
1 Reactions
4 Replies
989 Views
Wanabodi, Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Nawasalimu waungwana wa JF, Jana ilisomwa hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake. Sasa inajulikana kuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka...
13 Reactions
22 Replies
4K Views
Juzi tuliambiwa gharama za safari za rais za kitaifa na kimataifa zinagharamiwa na wafanyabishara ambao hawatajwi majina. Katika akili ya kawaida, kama wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu...
19 Reactions
72 Replies
4K Views
Wakati Waziri Mkuu anapoenda kuwawajibisha maafisa manunuzi waliopandisha bei za bidhaa za tiba asisahau kiini cha tatizo yaani wafanyabiashara walioonesha bei za bidhaa hizo kuwa juu. Mfano...
2 Reactions
4 Replies
632 Views
Nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa kwa hatua aliyochukua kuhusu kero ya maegesho ya gari toka Tarura walipojikita na mfumo wao. Ni kweli Tarura walifikia hatua ya...
1 Reactions
2 Replies
953 Views
Kupanda kwa bei ya dhahabu, tanzanite na vyote made in Tanzania hakujawahi kuakisiwa popote positively katika nchi hii. Kote upigaji ndiyo ulio kipaumbele. Serikali kupitia LATRA ilitangaza bei...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu. Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya...
44 Reactions
129 Replies
6K Views
Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5. Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani...
4 Reactions
239 Replies
16K Views
Back
Top Bottom