VIDEO: Askari Polisi alalamikia mishahara midogo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872

"Mke wangu ni Mwalimu lakini ananizidi mshahara, Sijui tuna laana hapa" - Askari mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

Baadhi ya askari wamepata nafasi ya kuzungumzia vitu mbalimbali ikiwemo stahiki zao katika mkutano wa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo uliouhusisha askari wapambanaji wanaotoka kwenye Idara zilizopo chini ya wizara hiyo uliofanyika mkoani Singida
 
Huyo askari mwanaume wangemstaafisha tu yaani miaka 27 ya kufanya kazi bado hana hata nyota ni sergent tu looo uvivu wa kusoma .Huyu anatakiwa aondolewe cheo hicho ni cha vijana wadogo tu zee zima sergent !!! Haoni aibu?
 
Polisi sijui mifumo yao ya vyeo upoje
 
Polisi sijui mifumo yao ya vyeo upoje
Elimu ni moja ya vigezo vikubwa .Huyo Askari kafanya kazi miaka 27 bado sergent ni unptoffessional soldier huyo alikuwa hataki shule huyo.Labda alikuwa vitengo vya kula rushwa sana akaona kusoma ujinga. Ndio.maana unaona ni mzee sana lakini ana kacheo kadogo na mshahara mdogo
 
Naisi polis mifumo yao ya kupanda cheo ni migum Sana tofaut na jwtz wao jwtz kwa mfano form six wakisha pata ajira baada ya kipind kifup wanaenda koz ukiitim vzur unapata nyota ndiyo maana Rais ana wavalishaga vyeo vijana, Sasa polis mpaka upate nyota moja umesha kuwa mtu mzima, huwez kimkuta polis mwenye nyota kijana wa miaka 25.
 
JWTZ mfumo ndio mgumu sasa maana kutokea askari kupata nyota lazima uende Chuo cha uafisa wakati Polisi,Magereza,Uhamiaji kutokea uaskari unaweza ukapewa tu nyota na mkuu wa jeshi eg IGP au CGP etc
 
Hamna kitu kama hicho mimi kuna jamaa ni askari fire nae yupo zaidi ya miaka 15,kabla ya kupewa nyota yake ya kwanza alienda kozi ndio akapewa nyota.

Nahisi huu ni utaratibu wa vyombo vyote vya usalama,kabla ya kupewa nyota lazima ukapige kozi.
 
Back
Top Bottom