Mjadala huu unaoneshwa live wabunge wakichangia.
Ninachoona ni siasa tupu ukweli mdogo sana.Tusiopacha siasa hii nchi haiwezi kwenda.
Kuna ujinga mwingi sana inaonekana utaendelea kuwepo kwenye...
Taifa linawatafuta akina Jaji Samata wa Leo Lakini awaonekani, tunatafuta wakina Waryoba no where to be seen. Nadhani makosa yanatokana na mfumo wa kupata majaji, mfumo wa kupandisha vyeo mahakimu...
Mafao ya Tshs 240m kwa utumishi wa miaka 5 ni kufuru kwa nchi inayomlipa Katibu Mkuu wa ikulu mstaafu au jenerali wa jeshi mstaafu tzs 50,000 pension kwa mwezi kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40...
Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa...
Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.
Kuna watu...
Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika...
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.
Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar.
Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi...
WABUNGE WA JMT WANATAKIWA KUIVA KWELI KWELI HASA KWENYE TAARIFA SAHIHI(RIGHT INFORMATION) KATIKA MICHANGO YAO WANAPOKUWA BUNGENI:
Ni wakati sasa Wabunge wetu waache kufikiri kupata KATIBU ndiyo...
Ningependa kutoa wito kwa watu wote wenye nia njema na wazalendo kuacha kukaa pembeni na kulalamika na badala yake kujihusisha moja kwa moja katika kuibadili CCM na uongozi wake, kuweza kutoa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Mei 31, 2022 kutoa hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita.
Katika kesi hiyo...
Habari za Mchana.
Mimi pia naona makosa mengi ya Sabaya ni ya #kisiasa japo mashitaka ni ya #kisheria.
Makosa haya ya kisiasa yanasameheka. Sabaya hatakuwa wa kwanza kusamehewa na mama kwa...
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, leo inatarajia kutoa hukumu ya rufani namba 129, katika kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na...
Wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili.
Lakini kuna huyu...
Wanatanuru nawasalimu
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu post zinazowekwa fb na kijana mwanasiasa machachari Ben wa saanane tangu kulipoanza tetesi za kutangazwa kwa uchaguzi wa bavicha ndani ya...
Hii ni moja ya ofisi au Taasisi nyeti Sana lakini inayoitia serikali aibu kubwa Sana. Ukiangalia kesi nyingi zinazoendeshwa na waendesha mashtaka wetu utaona yafutayo:-
- nyingi serikali au...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022
RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa...
Nimekuwa nikijiuliza Katika mazingira ya nchi yetu, iliyobarikiwa na Mungu, rasilimali za kila aina, kama vile, gesi, madini ya kila aina, ardhi yenye rutuba, inayoweza kustawisha mazao ya...
Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio...
Haiingii akilini TUCTA kuacha majukumu yake na badala yake kufanya siasa.
Kitendo cha TUCTA siku za Mei mosi kuandaa Mabango, Risala na Nyimbo mbalimbali ambavyo hadi kwa 90% hubeba ujumbe wa...
Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.