DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Nkerejiwa

Member
Feb 25, 2014
98
225
Akizungumza Na Wazee 300 wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki.

Ole Sabaya Ametoa Onyo ilo la mwisho dhidi ya Wahalifu,Hili linawadia Siku chache baada ya Kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini Lema ambae alikutwa akipanga uhalifu katika nyumba moja uko Dorcas Bomang'ombe Hai Kisha kuruka ukuta baada ya kuona polisi,

Tayari Ole Sabaya alishawashikilia Wahalifu wa kisiasa wakiwemo Mashinji,Owenya na wengine wengi ambao walijaribu kuleta taharuki wilayani humo.
 
kirumbiu

JF-Expert Member
Feb 23, 2016
325
500
Akizungumza Na Wazee wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki.

Huyu anajifariji wananchi wakiamuwa hana lolote sema watu wanapiga kazi ila huwa wanabadilika kama kinyonga lema pale ni kwao mzaliwa Wa kijiji cha Mronga na Bomangombe ni wilayani anakuwaje mhalifu?
 
Nkerejiwa

Member
Feb 25, 2014
98
225
Huyu anajifariji wananchi wakiamuwa hana lolote sema watu wanapiga kazi ila huwa wanabadilika kama kinyonga lema pale ni kwao mzaliwa Wa kijiji cha Mronga na Bomangombe ni wilayani anakuwaje mhalifu?
Nronga ndio unaenda na kamati tendaji ya chadema?
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,234
2,000
Akizungumza Na Wazee wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki.

Ole Sabaya Ametoa Onyo ilo la mwisho dhidi ya Wahalifu,Hili linawadia Siku chache baada ya Kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini Lema ambae alikutwa akipanga uhalifu katika nyumba moja uko Dorcas Bomang'ombe Hai Kisha kuruka ukuta baada ya kuona polisi,

Tayari Ole Sabaya alishawashikilia Wahalifu wa kisiasa wakiwemo Mashinji,Owenya na wengine wengi ambao walijaribu kuleta taharuki wilayani humo.

Taifa la wajinga hilo hata ukiwatia dole watachekelea

Wabongo ni mang'ombe siku zote
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,953
2,000
DC namba moja kwa ujinga Tanzania kuwahi kutokea. Anahitaji elimu ya msingi kujua Katiba ya Jam ya Muungano wa Tanzania.
Na tapeli namba moja eti undercover?
IMG_20191114_184538.jpeg
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,301
2,000
Akizungumza Na Wazee wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki.

Ole Sabaya Ametoa Onyo ilo la mwisho dhidi ya Wahalifu,Hili linawadia Siku chache baada ya Kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini Lema ambae alikutwa akipanga uhalifu katika nyumba moja uko Dorcas Bomang'ombe Hai Kisha kuruka ukuta baada ya kuona polisi,

Tayari Ole Sabaya alishawashikilia Wahalifu wa kisiasa wakiwemo Mashinji,Owenya na wengine wengi ambao walijaribu kuleta taharuki wilayani humo.And this is spoken and cheered in a country of democratic system kwa zaidi ya 25years?

Tumerudi nyuma mno,and thanks to mawe and his group of lunatics!
 
The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,318
2,000
Kinachotu.cost watanzania tunaishi maisha ya kiki,tuishi maisha yetu huyu mkuu wa wilaya hana lolote kazi kutafuta kiki kwa baba take aliyemuajiri,angalia nchi zote zilizoendelea alafu uangalie viongozi wao hizo nchi wanafanya kile kinachofanyika HAI...

itatuchukua 50 miaka mingine kupiga hatua 1 kutokea hapa kama tutaishi maisha haya ya praise team
 
Mkendo

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
2,845
2,000
Sabaya wewe Mwenyewe umesahau kesi yako kujifanya Usalama wa Taifa.

Ulifaa uwe Jela ukitumikia kifungo ,dhidi ya jinai ulizotenda kwa kujifanya Usalama wa Taifa.
Kumbuka usitukane Mamba kabla hujavuka Mto,

Bado nakuona wewe ni Mfungwa wa Kesho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom