WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,426
- 1,431
Jamani, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kurugenzi ya habari ya awamu hii iko active sana kuliko awamu iliyopita.
Kila kinachofanywa na rais tunakipata "immediately" kwenye social media/networks zote ikiwemo na JF.
Kaimu mkurugenzi anafanya kazi nzuri sana na pia anaandaa vizuri sana vipindi vya hotuba za rais.
Anatoka press release kwa haraka sana kuliko kipindi kilichopita, kwa sasa shughuli za rais kuzijua haihitaji usikilize radio au uangalie tv, tunaziona WhatsApp, Fb, twitter, Instagram and blog mbalimbali.
Jana Rais kaongea na wakuu wa polisi na mawakili wa serikali taarifa ikatolewa muda huo huo.
Basi nakuomba rais wangu mpendwa mu-idhinishe Gerson Msigwa awe mkurugenzi kamili...kama ni majaribio ashafuzu na amefaulu kwa kiwango cha juu sana.
Naamini huwa unasoma humu rais wangu,ujumbe wangu umekufikia