Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,206
12,907
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.

Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.

Pia soma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo
20220502_080504.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!

JPM umenipa somo kubwa sana,

Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia kwa mikataba ya kipumbavu na mezani kwa watia sain kumewekwa dollar za rushwa, na sasa tunawalipa tena waizi wetu!

Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka

Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
 
Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!

JPM umenipa somo kubwa sana,

Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!

Hapo watawala wameweka za kwao kama 100B
 
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 mara baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.

Kampuni ya Symbion ni Kampuni ya iliyokuwa ya kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifungukiwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati uo Mh Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.

Pia soma

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada bana. Yani wee mwenyewe unaona iyo billion 356 ni nyiiingiiiiiiiiiiiiii.
 
Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!

JPM umenipa somo kubwa sana,

Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!

Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka

Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Yaan wabongo bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzungu gan ataufyata kwa muafrika? Mzungu ambae unategemea hela za ili ukidhi mahitaj yako kwa zaid ya nusu? Misaada chungu nzima tunawategemea weupe. Udhamini wa kisiasa tunawategemea weupe, kibaya zaid bado tupo under surveillance yao kiutawala!!
 
Hichi kitu watu uwa hawajui, Bajeti zetu zote zinamtegemea mzungu.
 
Back
Top Bottom