Mbona hatusikii kelele za Demokrasia?

Mbona hatusikii kelele za Demokrasia?

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
1,370
Reaction score
3,165
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
 
Wapo kwenye malipo ya kutosha kipa mwezi. Mtu anakufunga miezi minane. Unatoka kitu cha kwanza anaenda kuongea, kuomba msamaha kwa Rais. Badala ya Rais kukuomba msamaha yeye hadharani.

Haongelei tena katiba mpya, mfumuko wa bei, mafuta. Baada ya kikao cha ikulu.

Upinzani karibu wote wako kimya kwa issue muhimu, zinazoathiri maisha ya watu, ajira vipato vyao.
 
Hata mimi najiuliza nini kilitokea pale Ikulu! Katiba mpya naisikia tu kwenye mitandao kwa watu wadogo wadogo kama BAVICHA. Yule kiongozi wao yuko kimya kabisa!!
Wapo kwenye malipo ya kutosha kipa mwezi. Mtu anakufunga miezi minane. Unatoka kitu cha kwanza anaenda kuongea, kuomba msamaha kwa Rais. Badala ya Rais kumuomba msamaha yeye.

Haongelei tena katiba mpya, mfumuko wa bei, mafuta. Baada ya kila kikao ikulu. Upinzani karibu wote wako kimya kwa issue muhimu.
 
Wakati kafungwa mlipiga kelele??
Au mnataka alufi ndani tena? Utawateteaje watu wasiojielewa. Watulie kimya hiv hiv mpaka akili iwakae sawa
 
Useless opposition leaders.

Hakuna hata mmoja anaona namna wananchi wanavyoteseka na ukali wa maisha.

Wote wapo kimya wamebariki wananchi kupata kichapo cha nguvu.
Wananchi gani wanateseka. Si mlikuwa mnakata mauno mnasema wataisoma namba? Mnakuja kulialia nini humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Useful ccm leaders wanawapiga mkuyenge tu. Kama inawaka moto ipepee, umbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wale wazee wa demokrasia kulikoni? mbona mmejificha uvunguni?

Katiba mpya imeishia wapi? Na maandamano je?

Mama kafungulia DEMOGRASIA, mbona hatuoni mbwembwe za kubwata majukwaani?

Ohhh tunaonewa, tunabinywa hatuwezi kuongeaa sijui nini!

Samia kafungulia majukwaa ya kubwata mbona hambwati?

Siku hizi hata GESHI RA PORISHI halihangaiki na hawa wanasiasa uchwara. Sijasikia mtu kukamatwa wala nini.

Laiti ingekuwa wakati wa Magufuli, tayari yule Yuda wa Kigoma angeshainuka na kulaani vikali bei ya mafuta huku akimuita Rais Dikteta na manjonjo kibao.

Sasa watanzania watajifunza zaidi kuhusu hawa wapigania DEMOGHASIA.

Lipo jambo ambalo huwa wanalitafuta tofauti na tunavyofikiri.
Kwenye njaa na shida kuna cha demokrasia?

Utakula demokrasia?
 
Wananchi gani wanateseka. Si mlikuwa mnakata mauno mnasema wataisoma namba? Mnakuja kulialia nini humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Useful ccm leaders wanawapiga mkuyenge tu. Kama inawaka moto ipepee, umbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawahi waamini hao jamaa wanaonunulika hata kidogo na sitawahi waamini wala kuwategemea wanisemee kwa lolote.
 
Hao lao moja. Ni kundi moja lililojigawanya ili kuwazuga watu.

Hiyo inaitwa changa la macho. Tunapigwa kanzu za kata-funua.

Ati DEMOKRASIA! Demokrasia ya konyo!

Demokrasia ni nini? Kazi ya serikali ni. Usalama, ajira, kodi, mazingira ya biashara bei za chakula, mbolea, mafuta haziwahusu. Matamko ya maana huyasikii kabisa kutoka kiongozi wa nchi, upinzani.

Vitu muhimu kwa wananchi wengi, Demokrasia ya ukweli hawaijali kabisa.
 
Back
Top Bottom