Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka...
Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo.
Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa...
Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa watu ninaotatizwa sana na ukiukwaji wa haki unaofanyika popote ndani ya JMT na ni miongoni mwa watu wa mwanzo mwanzo kabisa kumuita rais wetu Dr.John Pombe Magufuli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho kwa Naibu Makatibu Wakuu kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu...
Awamu ya 5 Chini ya Mwendazake Magufuli CCM iliona ni Ushujaa kununua kuhonga Vyeo Wapinzani kutoka Chadema Mwendazake aliamini ni kuiua Chadema lakini pamoja na yote aliyoifanyia Chadema...
TBS YAKABIDHIWA CHETI CHA ITHIBATI YA UTOAJI HUDUMA ZA UTHIBITISHAJI MIFUMO YA KIMENEJIMENTI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb), akikabidhiwa cheti na Mratibu...
Historia Ni Mwalimu mzuri. Hakuna aliyeisaliti CHADEMA akapona anguko la kisiasa. Mifano ni mingi.
Ushauri wangu kwenu, omba msamaha na hilo nina hakika mtasamehewa, muanze Ukurasa mpya, maana...
Huu ni Ujumbe kwa yeyote ambaye amekerwa ama aliyepigwa na butwaa / Mshangao , aliyepata Presha au ambaye kisukari chake kimepanda Kutokana na na uamuzi Muruwa wa Baraza Kuu la Chadema wa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ametoa wito wananchi kuacha kuvamia maeneo ya jeshi na kuweka makazi kwa kuwa ni hatari kwa usalama kwao na nchi kwa...
Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...
Waziri mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini bei za vyakula zinapanda wakati vinazalishwa hapa nchini?
Mh Majaliwa amesema muhogo unalimwa nchini kwanini bei ipande?
Mchele unalimwa kwa wingi sana...
Wabunge 19 wa Chadema waliofukuzwa Uanachama wao TUME ya UCHAGUZI na BUNGE kwa Pamoja vinaficha UKWELI
Tuanze na TUME, Mchakato wa Wanachama kuomba Ubunge wa Viti Maalum hufanyika kwenye Chama...
Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda
Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini
Naomba ufafanuzi!
Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Unapokata rufaa...
Wabunge 19 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema,wanaosubiri hatma yao kwenye kikao Cha baraza kuu,wameingia katika mateso makubwa baada ya kutopatiwa Chakula tokea walipoingia Ukumbini...
Nalipongeza jeshi la polisi nchini Kenya kwa ustaarabu wa aina hii, kuna lakujifunza kutoka kwenu sisi tukiwa kama majirani zenu.
Picha inaeleza kila kitu hapo chini 👇🏾!.
Habari zenu bwana !!
KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!
Kalamu ipo ituoneshe njia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.