Siyo mimi ni KALAMU

Siyo mimi ni KALAMU

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,287
Reaction score
49,246
Habari zenu bwana !!

KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!

Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,

Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .

Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane

Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.

KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!

Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,

Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni

Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU

SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA

0BC7909F-9323-4CA0-B286-44DD8C9D2E7B.jpeg

Britanicca
 
View attachment 2221865

Britanicca
Uzalendo umekushinda! Tulijua umepotelea mbali na akina Mzee Mdee 😂😂😂
 
We na mdee TOFAUTI yenu ni MIGUU tu!!.
 
Ulisema utaondoka jf vipi tena kusingizia kalamu?

Ondoka au badili id

Unaboa.

Simamia maamuzi
 
Usiwe mtu asiye na misimamo kama wana CCM ambao leo wana hubiri kutovaa barakoa kesho wana hubiri kuvaa , Hiyo kalamu imeshikwa na Mti ? ULIAHIDI NINI ????
 
Uachane na zile mbwembwe zako za "insider" story zako humu zimethibitisha huna "insider", au kama unao basi ni makanjanja tu, ujifunze kukaa kwa kutulia kama wenzio
 
Habari zenu bwana !!

KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!

Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,

Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .

Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane

Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.

KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!

Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,

Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni

Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU

SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA

View attachment 2221865

Britanicca
Unafanya nini humu JF?

Thread 'CHADEMA wakiwafukuza Mdee na Wenzake 18 naachana na JF (Niko sure 100%) nimetonywa na insider' https://www.jamiiforums.com/threads...-niko-sure-100-nimetonywa-na-insider.1981271/
 
Habari zenu bwana !!

KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!

Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,

Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .

Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane

Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.

KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!

Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,

Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni

Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU

SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA

View attachment 2221865

Britanicca
Vipi mkuu ukraine wamefunga bomba la gas kwenda ulaya tunaomba uchambuzi wako.
 
Uachane na zile mbwembwe zako za "insider" story zako humu zimethibitisha huna "insider", au kama unao basi ni makanjanja tu, ujifunze kukaa kwa kutulia kama wenzio

Ana ma insider wa michongo.
 
Ulisema utaondoka jf vipi tena kusingizia kalamu?

Ondoka au badili id

Unaboa.

Simamia maamuzi
Hana pakwenda huyo, yale yale mwanasiasa anapiga kelele watu walipe kodi akiambiwa na yeye alipe kodi anazima mic.

Wanafiki sana hawa watu
 
Ndugu
Habari zenu bwana !!

KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!

Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,

Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .

Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane

Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.

KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!

Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,

Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni

Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU

SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA

View attachment 2221865

Britanicca
Ndugu zangu Britannica mbona unalalama,au ni Ile ahadi Yako yakujitoa,Ilhali ulikuwa haimaanishi🤔
 
Mkuu sikutegemea kukuona tena huku.Mzee Halima Mdee anakusalimia !.
Huyu jamaa huwa anajifanya ana info nyingi za system kumbe boya tupu, hana tofauti na misheni town wanaojifanya wao ni TISS wanakutisha unanijua mimi.
 
Back
Top Bottom