Wabunge 19 CHADEMA kwenye mateso makali

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
322
255
Wabunge 19 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema,wanaosubiri hatma yao kwenye kikao Cha baraza kuu,wameingia katika mateso makubwa baada ya kutopatiwa Chakula tokea walipoingia Ukumbini humu,huku wakitakiwa wasioende popote Bila ya Ulinzi wa vijana wa Chama.

Hata wakati wa Mapumziko ya Chakula wabunge hao hawakupewa nafasi ya kushiriki mezani na wenzao kwa maelezo kuwa Bajeti yao haijawekwa.

Hata baadhi yao walipotaka kuinuka kwenda kujitafutia rizki walizuiwa kwa maelezo kuwa hawaruhusiwi kutoka katika eneo hilo mpaka uamuzi ufanyike.

Kwa mujibu wa viongozi tangazo la kubariki uamuzi wa Kamati kuu ya Chama utatolewa ifikapo saa nane usiku.

Tayari mmoja wa vijana wa Chama mwenye wafuasi na wengi mitandaoni,amepewa jukumu la kuuandaa umma juu ya uamuzi huo ikiwa ni pamoja na kueleza kuwa wabunge hao wamefika na vijana kutoka Bunda Mkoani Mara kwa ajili ya kufanya vurugu.
 
Kama ni kweli unachosema kimefanyika walitakiwa wapige simu Polisi hilo kusanyiko litawanywe kwa mabomu, ikiwa tu mbakaji na muuaji awapo gerezani anatakiwa kupata haki ya kula sembuse waheshimiwa wabunge.

Kwa nafasi aliyonayo Mdee mpaka sasa Mbowe anatakiwa kukaa kwa kutulia. MDEE NA WENZAKE SIO WATUHUMIWA WA UHAINI WAACHIWE HURU NA CHADEMA
 
Walivamia kikao ambacho siyo Chao. Tena wafungiwe stoo wamwagiwe maji nguruwe hao. Nimeona wakiingia kwa Mbwembwe YouTube. Nikajisemea hawa mamluki hawakijui Chadema vizuri. Chadema inajielewa. Hata ingekuwa kwetu CCM Kwanza wasingekanyaga hapo na aakikanyaga polisi wangebeba juu juu. Ulizia akina Membe wakupe mambo yetu. Hatuna mchezo na wasaliti.
 
Hamna Kitu hapo... Hiyo ni Sakosi na hao ni Wenzao...! Ngojeni mpigwe na Kitu Kizito Usawa Utosi...ndo mtajua hamjui.
 
Yaani mwandishi wa hii habari kwanza unajuwa huo ulioandika Tena kwa ushabiki mkubwa ni ukatili wa kiwango kikubwa sana ambao unaionyesha chadema ilivyo chama Cha wauaji na makatili wakubwa hata huyo mwamba maviwenu mbowe Hana akili utawawekaje watu binadamu na njaa kwaajili ya upumbavu wake aliioufanya ya kuchanganya watu kwapeleka majina kwa Siri mwambie I mbowe aache upumbavu wake awatendee haki hao watu siyo wanyama ilaaniwe chadema nawatu wake wote wanyama nyie mnataka kuwauanna njaa dada za watu
 
Wabunge 19 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema,wanaosubiri hatma yao kwenye kikao Cha baraza kuu,wameingia katika mateso makubwa baada ya kutopatiwa Chakula tokea walipoingia Ukumbini humu,huku wakitakiwa wasioende popote Bila ya Ulinzi wa vijana wa Chama.

Hata wakati wa Mapumziko ya Chakula wabunge hao hawakupewa nafasi ya kushiriki mezani na wenzao kwa maelezo kuwa Bajeti yao haijawekwa.

Hata baadhi yao walipotaka kuinuka kwenda kujitafutia rizki walizuiwa kwa maelezo kuwa hawaruhusiwi kutoka katika eneo hilo mpaka uamuzi ufanyike.

Kwa mujibu wa viongozi tangazo la kubariki uamuzi wa Kamati kuu ya Chama utatolewa ifikapo saa nane usiku.

Tayari mmoja wa vijana wa Chama mwenye wafuasi na wengi mitandaoni,amepewa jukumu la kuuandaa umma juu ya uamuzi huo ikiwa ni pamoja na kueleza kuwa wabunge hao wamefika na vijana kutoka Bunda Mkoani Mara kwa ajili ya kufanya vurugu.

Na ww mke wa Bananga unapenda siasa za uzushi wa kijinga.
 
Yaani mwandishi wa hii habari kwanza unajuwa huo ulioandika Tena kwa ushabiki mkubwa ni ukatili wa kiwango kikubwa sana ambao unaionyesha chadema ilivyo chama Cha wauaji na makatili wakubwa hata huyo mwamba maviwenu mbowe Hana akili utawawekaje watu binadamu na njaa kwaajili ya upumbavu wake aliioufanya ya kuchanganya watu kwapeleka majina kwa Siri mwambie I mbowe aache upumbavu wake awatendee haki hao watu siyo wanyama ilaaniwe chadema nawatu wake wote wanyama nyie mnataka kuwauanna njaa dada za watu

Umeshaleweshwa vibia na mabasha wa mwananyala, sasa unatapika matusi ya kipuuzi tu hapa jukwaani.
 
Wabunge 19 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema,wanaosubiri hatma yao kwenye kikao Cha baraza kuu,wameingia katika mateso makubwa baada ya kutopatiwa Chakula tokea walipoingia Ukumbini humu,huku wakitakiwa wasioende popote Bila ya Ulinzi wa vijana wa Chama.

Hata wakati wa Mapumziko ya Chakula wabunge hao hawakupewa nafasi ya kushiriki mezani na wenzao kwa maelezo kuwa Bajeti yao haijawekwa.

Hata baadhi yao walipotaka kuinuka kwenda kujitafutia rizki walizuiwa kwa maelezo kuwa hawaruhusiwi kutoka katika eneo hilo mpaka uamuzi ufanyike.

Kwa mujibu wa viongozi tangazo la kubariki uamuzi wa Kamati kuu ya Chama utatolewa ifikapo saa nane usiku.

Tayari mmoja wa vijana wa Chama mwenye wafuasi na wengi mitandaoni,amepewa jukumu la kuuandaa umma juu ya uamuzi huo ikiwa ni pamoja na kueleza kuwa wabunge hao wamefika na vijana kutoka Bunda Mkoani Mara kwa ajili ya kufanya vurugu.
WAO WANALISHWA NA BUNGE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ulitakiwa kwenda kuwapa msaada badala ya kumwaga uharo wako hapa ambao hauwezi kuwasaidia chochote just in case uharo wako unaweza kutumika kama samadi.
 
Yaani mwandishi wa hii habari kwanza unajuwa huo ulioandika Tena kwa ushabiki mkubwa ni ukatili wa kiwango kikubwa sana ambao unaionyesha chadema ilivyo chama Cha wauaji na makatili wakubwa hata huyo mwamba maviwenu mbowe Hana akili utawawekaje watu binadamu na njaa kwaajili ya upumbavu wake aliioufanya ya kuchanganya watu kwapeleka majina kwa Siri mwambie I mbowe aache upumbavu wake awatendee haki hao watu siyo wanyama ilaaniwe chadema nawatu wake wote wanyama nyie mnataka kuwauanna njaa dada za watu
Wewe ndiyo mpumbavu
 
Back
Top Bottom