Kitendo cha akina ‘Mdee’ kukubali teuzi za Bunge kwa jina la CHADEMA kitaathiri rufaa yao

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,422
2,000
Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.

Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.

Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,422
2,000
Magazeti nayo yanazidi kuwaponza.

4E880090-D1C0-4844-8D16-9573DCF9D610.jpeg
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,055
2,000
Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.

Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.

Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Hao kina Mdee ni watu hatari sana kwa mustakabali wa mageuzi hapa nchini.

Wapo tayari kukiuza chama ili wanufaike wao.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,055
2,000
Mwenyekiti na watendaji wake hawapaswi kubadilisha maamuzi.

Hao 19 nikufukuzwa na wahamie hukohuko CCM

Vinginevo hakutakuwepo tofauti na ACT. Watakuwa walewale
Haiwezekani na hatowahi kutokea
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,055
2,000
Watu hawajui,
Yupo shetani
Yapo majini na mapepo ya Aina mbalimbali
Wapo mawakala wa shetani( hao ni binaadam)
Wakala anafanyakazi ya shetani wanaadam hatumwoni
Upo sahihi sana lkn naye pia ajue kuwa kila mtenda mabaya kwa mwenzake malipo yake yapo kwa muumba wetu.

Maaana mbele ya Mungu sisi binadamu wote haki yetu ipo sawa kabisa.
 
Katashekadm

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
568
500
Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.

Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.

Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Mbona chadema inachukua ruzuku!
Kama mchakato wa uchaguzi mliukataa, na matokeo ya uchaguzi huo mnaukataa, basi kataeni na hiyo ruzuku!

Otherwise akina Mdee wapo sahihi
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
21,734
2,000
Hawa COVID-19 hawana chao CDM. Mwanamke anapofikia hatua ya usaliti ni hatari sana ...huyu anaweza kuiuza hata familia yake wakati baba mwenye nyumba kaenda safari.

Hawa ni kiepuka nao mapemaa!!
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
4,956
2,000
Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.

Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.

Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Ukute wamekwishapatana, maana naona CHADEMA iko kimya mpaka bunge limeanza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom