Kwahiyo sasa Chadema na CCM wako juu ya Kamati ya Prof Mkanda?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,433
Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda

Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini

Naomba ufafanuzi!
 
Hukuwepo kweli au unatupotezea baada ya uliokuwa ukiwapigia debe kushushiwa kitu kizito kichwani.Au ni mmoja wa mlioamini ripoti ya uchafuzi was mto mara🏃
 
Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda

Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini

Naomba ufafanuzi!
Tulikuonya wewe na wachumia tumbo wenzako kwamba Chadema haiburuzwi

FB_IMG_1589397986327.jpg
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram%3A_%E2%80%9CMwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana...jpg
 
Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda

Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini

Naomba ufafanuzi!
Vyama vikuu kwa Tanzania ni viwili tu, tuwaache waongee kwa hatma ya nchi yetu.

Toka mwaka 2016 hadi majuzi nchi iliongozwa kihuni humi sana. Hongera mama Samia upande wa demokrasia so far umeupiga.

Kuna jamaa alikuwa anatuma maPolice hadi kushusha bendera za chama pinzani ...very low political approach.
 
Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda

Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini

Naomba ufafanuzi!
Huyu Prof. Mkanda ndiye nani?

Anaongoza kamati gani ambayo CHADEMA na CCM wanataka kwa juu yake...?
 
Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda

Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini

Naomba ufafanuzi!

Chadema inabidi wakae macho na Ayatollah Mbowe. Kuna kila dalili kwamba Ayatollah ameshafika bei. Hardliners wa aina ya Lissu wataachwa kwenye mataa before they know it!
 
Back
Top Bottom