TBS: Yakabidhiwa Cheti cha ithibati ya utoaji huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
658
821
TBS YAKABIDHIWA CHETI CHA ITHIBATI YA UTOAJI HUDUMA ZA UTHIBITISHAJI MIFUMO YA KIMENEJIMENTI

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb), akikabidhiwa cheti na Mratibu kutoka taasisi ya Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCAS), Bw. Victor R. Mundembe (kushoto), katika hafla ya kukabidhiwa cheti cha ithibati ya utoaji huduma za uthibitishaji mifumo ya kimenejimenti cha TBS iliyofanyika tarehe 12 Mei, 2022 jijini Dodoma.

20220513_064212.jpg


20220513_064209.jpg


20220513_064205.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom