Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Baada ya kuenea kwa uvumi wa timua timua nyingine Chadema, ambapo inasemekana kikao cha Bavicha, kimewavua uanachama wa Bavicha, wanachama wake watatu ambako kuvuliwa huko uanachama wa...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
1 Reactions
2 Replies
733 Views
Wana JF Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni. Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia. Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
7 Reactions
27 Replies
2K Views
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu. Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama...
15 Reactions
33 Replies
4K Views
Kufuatia Baraza Kuu la CHADEMA kutupilia mbali rufaa ya Wabunge 19 wakiongozwa na Halima Mdee, kauli za majibizano baina ya pande mbili zimeendelea kutolewa, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman...
7 Reactions
91 Replies
7K Views
Leo 11:25hrs 05/13/2022 Guru la Sheria nchini Tanzania,na Mwanasiasa nguli wa karne hii, Halima Mdee na magalacha wenzake 19 sasa wamefikia Phase IV ya "the art of political war" kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
UVCCM-TAIFA KARIBUNI WOTE TUKATALII KATIKA VIJANA NGORONGORO ROYAL TOUR Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa umeandaa VIJANA ROYAL TOUR itakayoanza Tarehe 03 - 05/06/2022. na...
1 Reactions
4 Replies
814 Views
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion) Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea? Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani...
2 Reactions
115 Replies
11K Views
Na Mwandishi Wetu, Ethiopia Mawaziri wa Ulinzi, Amani na Usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wameazimia kuanzisha jeshi la pamoja na kituo ili kupambana na changamoto ya ugaidi...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo napenda kuwaambia kuwa unafiki huwa haudumu watu walitumia kila aina ya uchafu kumchafua Hayati Dkt. Magufuli juu ya mambo mengi likiwemo la akina Halima...
10 Reactions
72 Replies
4K Views
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka...
10 Reactions
116 Replies
14K Views
Siku moja nilibahatika kukutana na waziri fulani (jina kapuni). Nikamuuliza kwanini Wazanzibari wanachukua ardhi yetu hapa bara wakati Wabara hatuna haki ya kupata ardhi Zanzibar? Akanipa jibu...
1 Reactions
0 Replies
550 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imetumia Sh78 millioni kwa ajili ya shughuli za mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022. Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Ericka Yegela amesema leo Jumapili April 24...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ile ya kutushauri twendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini... Wananchi wameanza kukataa. Wananchi wengi wamekuja gundua wao wanasiasa WANAKULA NYAMA MTORI WANAUACHA JUU. Wananchi wengi...
0 Reactions
3 Replies
469 Views
Wakuu Kulingana na taarifa za Ewura, Mwaka 2020 tulitulimia mafuta ya wasitani wa lita bilioni 3,500,000,000 . Ripoti ya matumizi ya mafuta mwaka 2021 bado haijawekwa katika mtandao. . Lakini...
1 Reactions
1 Replies
712 Views
Miaka miwili hii ya posho sio midogo bila shaka mmetibu majeraha mengi ya uchaguzi. Chama/Taasis imeibuka mshindi kama kawaida na matarajio ya wengi. Mimi nawashauri msipoteze muda wala fedha...
14 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom