Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema
Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo.
Kwa hiyo kama wakitaka...
"...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..."
"...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza...
Tetesi: - Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO
Niliwahi kuandika huu uzi miaka ya 2020. Watu wakanibeza na kufikiri natania ila nataka mjuwe...
Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa...
Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro huenda akaingia kwenye msuguano mkali na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilayani humo kwa hatua yake ya kushusha bendera zake pindi anapokuta...
Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha.
Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi...
Kipindi cha miaka sita iliyopita mkutano kama huu wa baraza kuu la CHADEMA tungeshudia bendera za CDM zikishushwa na wahuni, vyombo vya habari vikubwa visingekuwepo , Bobi Wine kupata kibali cha...
Taarifa za EA TV ambayo ni Television ya Africa Mashariki , imemuonyesha Mpigania Uhuru kamili wa Uganda , Mh Robert Kyagulani akiteremka kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK NYERERE , akiwa...
Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania?
===========
Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo...
Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania...
Wakati hoja ya Katiba Mpya ikitawala mijadala na hotuba za viongozi mbalimbali katika Baraza Kuu la CHADEMA, mwanasiasa wa upinzani kutoka nchini Uganda ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye baraza...
TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana.
Lile tangazo...
Hiki ni kikao ambacho kimsingi ndimo huandaliwa Ajenda karibu zote za Chama na kuwasilishwa kwenye Baraza Kuu .
Baada ya kamati kuu leo , kesho ajenda hizi zitawasilishwa kwenye Baraza Kuu ...
Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma.
Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania...
Nimemsikia mgombea urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli, kwenye kampeni zake zinazoendelea huku kanda ya ziwa, amekua akitumia kisukuma mara kwa mara.
Hatukuwahi kusikia Rais yoyote waliotangulia...
Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema.
Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili...
Hivi kama nchi tunatumia fikra za nani hasa? Nimesikitika kusikia mamlaka ikitetea uamuzi wa kuwakopesha watoto wa watumishi tu kupata masomo ya vyuo vya kati. Hivi tunafeli wapi kama nchi. Hiyo...
Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli
Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge...
Licha ya kuongea kwa kusisitiza uharamu wa Mdee na wenzake kutotambulika kama wabunge rasmi lakini kuna wengine waliona hayupo sahihi ikiwemo Spika Tulia. Mzee Msekwa katuonesha ni namna gani mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.