Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,634
Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani.

Pia Lissu anayekuja ni Lissu aliyeishi ulaya, sio Lissu wa wakati ule, ni kawaida ya mataifa ya ulaya kupenyeza ajenda zao za kijasusi kwa wanasiasa wa afrika. Mbaya zaidi aliishi ubeleji, ambako ni kijiwe Cha majasusi dunia nzima. Lazima watakuwa wamemtengeneza kimaslahi yao, Hivyo basi, mienendo yake ya kisiasa iangaliwe iwapo haina maslahi kwa Taifa.

Tanganyika ilikuwa koloni la ujerumani, na ujerumani hawakuondoka kwa hiyari Tanganyika, na inasemwa waliacha Mali zao nyingi tu ila tu hawana namna, na wanatafuta namna makampuni yao yazifikie.
Screenshot_20220513-055806.jpg
 
Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake"...
Hii ni nchi nayo ya mtu kutumia jasusi?wakati kila kitu mtu akikitaka ni dakika tu, ana kipata?kwa lipi hasa, tatizo lako bado una endekeza zile fixi za mwendazake, eti mabeberu wanaitamani sana Tz, Wakati hadi chumbani wako miaka mingi tu, na nyie ndio mliowakaribisha!!Zama zimebadirika , sio muda wa siasa zile za kishamba kama za awamu ya 5.MUNGU FUNDI
 
"HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa,
Hatujui fadhila gani."

Nimewaza nje ya box
 
chinembe mbona kama unateseka sana na CDM? Halafu wewe na johnthebaptist ni pacha au ni multiple ID?
Aisee mkuu, binafsi hua naona CDM kama ni genge la wahuni, kila kitu kwao ni kibaya, nyakati za nyuma walicho wahi kushauri Serikali mambo mengi alikuja kuyafanya JPM, ule uthubutu wa kiutawala, kuzuia walafi wa wa fedha za wananchi na kuzuia mianya ya wapigaji ktk sekta nyingi za serikali, watu ambao tuliwahi kuwalalamikia na tulifunguliwa akili hizo na upinzani, lakini tena Kwa yale yote ya JPM wakageuka na kusema ni dikteta, muuaji na mambo kede kede, Kwa hivyo watu wengi ambao ambao wanamponda JPM ni walikua na maslahi yao ktk mambo mengi ambayo hayakua halali kwao, ndiyo maana wakati mwingine hawa wapinzani nawaona ni wahuni tu, sometimes kuwashabikia haina maana, CCM wana shida zao nyingi tu, hawa wapinzani Wana shida zao nyingi tu, wote ni wapigania tumbo
 
Hakuna wakati pesa za umma ziilibwa kama huu, sema walikuwa wanaiba ni watoto pendwa tu wa mzee
 
Huyo mwamba ana roho ya paka, risasi 16 hazikumdondosha, wengine covid 19 tu chali six feet under.
Alichanjwa na mganga wa kigoma chanjo inaitwa vidono, nadhani hili somo Mshana Jr hakuwahi kulitoa hapa, Ile chanjo ukilambwa risasi au panga haikuui.

Wanasiasa wengi wanaijua, pamoja na Polisi na wanajeshi na usalama.

JPM na Lissu walipambana kamati za ufundi, wakatoka droo, baadae naona ndio ikawa vile
 
Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani.

Pia Lissu anayekuja ni Lissu aliyeishi ulaya, sio Lissu wa wakati ule, ni kawaida ya mataifa ya ulaya kupenyeza ajenda zao za kijasusi kwa wanasiasa wa afrika. Mbaya zaidi aliishi ubeleji, ambako ni kijiwe Cha majasusi dunia nzima. Lazima watakuwa wamemtengeneza kimaslahi yao, Hivyo basi, mienendo yake ya kisiasa iangaliwe iwapo haina maslahi kwa Taifa.

Tanganyika ilikuwa koloni la ujerumani, na ujerumani hawakuondoka kwa hiyari Tanganyika, na inasemwa waliacha Mali zao nyingi tu ila tu hawana namna, na wanatafuta namna makampuni yao yazifikie.
View attachment 2222320

Ni kipi hao wazungu wanakosa kwa viongozi hawa wa ccm, mpaka wamsubiri Lisu? Halafu hizo mali mnazohadaa watu kuwa tunazo hadi wazungu wanazitamani ni zipi? Mbona tunakopa zaidi na kuwekeana tozo kwenye miamala ya simu, kwanini hamuuzi hizo mali wanazotamani wazungu? Au hizo propaganda za kizee kuwa sisi tuna mali zimekataa kuwatoka vichwani?
 
Aisee mkuu, binafsi hua naona CDM kama ni genge la wahuni, kila kitu kwao ni kibaya, nyakati za nyuma walicho wahi kushauri Serikali mambo mengi alikuja kuyafanya JPM, ule uthubutu wa kiutawala, kuzuia walafi wa wa fedha za wananchi na kuzuia mianya ya wapigaji ktk sekta nyingi za serikali, watu ambao tuliwahi kuwalalamikia na tulifunguliwa akili hizo na upinzani, lakini tena Kwa yale yote ya JPM wakageuka na kusema ni dikteta, muuaji na mambo kede kede, Kwa hivyo watu wengi ambao ambao wanamponda JPM ni walikua na maslahi yao ktk mambo mengi ambayo hayakua halali kwao, ndiyo maana wakati mwingine hawa wapinzani nawaona ni wahuni tu, sometimes kuwashabikia haina maana, CCM wana shida zao nyingi tu, hawa wapinzani Wana shida zao nyingi tu, wote ni wapigania tumbo
OK mkuu
 
Huyo mwamba ana roho ya paka, risasi 16 hazikumdondosha, wengine covid 19 tu chali six feet under.

Kifo au Uhai ni mapenzi ya Mungu sio ushujaa wa mtu.... wote tulio hai na wote waliokufa huwa mapenzi ya Mungu tu...

Uhai ni Zawadi kutoka kwa Mungu, tuutumie vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom