Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uongozi wowote unaojinadi unakubalika na raia walio wengi hupimwa kwa uchaguzi huru na wa haki. Kudai kiongozi anapendwa na wengi bila kipimo hiki ni ujuha. Huwezi kusema kiongozi anakubalika na...
3 Reactions
4 Replies
629 Views
Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi. Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye...
5 Reactions
7 Replies
836 Views
ROYAL TOUR: Tuzinguane kwa Hoja Mjadala mkali unaendelea mitandaoni, maofisini na vijiweni juu ya filamu ya Royal Tour. Tumegawanyika na tunazinguana kuhusu filamu hii. 1. Wapo wanaomjadili...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam ndg zangu wanajamii forums Napenda kushiriki nanyi katika hili Ivi sisi watanzania hadi sasa tumeweza kuelewa nini hata tatizo la nchi yetu hasa vijana wa nchi hii. 1. Kwanzaa kabisa...
1 Reactions
3 Replies
540 Views
Kama itakuwa ni lazima Halima Mdee na wenzake wateme ubunge basi Chadema itabidi ipeleke wabunge wengine 19 ili kukidhi masharti ya Wafadhili wa miradi yetu Je, Chadema watautambua rasmi uchaguzi...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Magufuli hajasafiri nje ya Africa na wala hakupandisha ghalama za maisha lakini................[emoji116][emoji116][emoji116] 1. JPM anajenga Reli ya Mwendo kasi – SGR. 2. JPM anajenga Bwawa la...
14 Reactions
37 Replies
2K Views
TRA Arusha mnakumbuka kesi hii Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari ...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Limeibuka kundi la wakosoaji na wasakamaji wasio na nyuzi za mashiko za hoja wanaobeza na kubagaza kila tendo jema ambalo Mh.Rais analivujia jasho kwa ajili ya Watanzania. Wanafanya upotoshaji wa...
1 Reactions
6 Replies
656 Views
Tangu aingie madarakani kuna mageuzi ameyafanya kuirudisha nchi katika ya hali iliyokuwa kabla ya mwaka 2016. Kelele kubwa ya mwanzo katika utawala wake ilikuwa kesi ya ugaidi ya Mbowe, DPP...
0 Reactions
1 Replies
545 Views
Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema...
2 Reactions
9 Replies
978 Views
Nimeona na mimi niweke neno kwenye haya masuala ya kuhusu Magufuli na mambo yake na jinsi serikali ilivyokuwa. Lakini naona kama jamii imegoma kabisa kuhusu Magufuli chochote kinachosemwa kuhusu...
106 Reactions
441 Replies
21K Views
Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki...
6 Reactions
120 Replies
9K Views
Ndugu wananchi wenzangu habari za mda huu.!? . Kumekuwa na sakata la kufutwa uanachama Wabunge 19 walio kuwa wanachama wa chama cha Upinzani Tanzania CHADEMA tangu mwaka juzi 2020 ,baada ya...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu"...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina kamati mbalimbali huwa wanazunguka kila mkoa,Ila sijawahisikia wakikagua miradi ya Zanzibar. Hili ni Bunge la Tanganyika? Kichwa kinauma sana kufanya...
2 Reactions
5 Replies
784 Views
Time will tell, Spika Tulia atakuja na story nyingine ya kuwaweka akina Halima Bungeni. Nina wasiwasi kuna mkomo wa Mamlaka Kuu, short of that angelikuwa amewashinikiza Akina Ndugai/ Tulia...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo napenda niwaambie vijana wenzangu kua tunapo lipeleka ili taifa ni pabaya sana kizazi chetu kitakua kizaz cha hovyo Sana kukumbukwa kwani huu ujinga tunao usaport ni wa kiwango cha hali ya juu...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Shaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM...
16 Reactions
167 Replies
12K Views
Back
Top Bottom