Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na...
14 Reactions
60 Replies
5K Views
Kwa wanaoelewa maana ya kifua,Halima kaonyesha ana kifua zaidi ya Wanaume wengi. Na nimempenda kwasababu anajiepusha sana kuropokaropoka ambako nimetafsiri kama anawaheshimu Viongozi wake...
1 Reactions
4 Replies
611 Views
Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo...
6 Reactions
79 Replies
6K Views
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa...
62 Reactions
435 Replies
30K Views
Kamanda Nancy Asenga achaguliwa kuwa mwenyekiti CHADEMA California. Tunampongeza na tupo nyuma yako. Peopleeeeeeeeeeeeees! Poweeeeeer!
8 Reactions
93 Replies
15K Views
WAKANDARASI WA MIFUKONI CHANZO MIRADI YA MAJI KUKWAMA - WAZIRI AWESO Waziri wa Maji Jumaa aweso amewaagiza maafisa manunuzi na ugavi wa wizara hiyo kuacha kutoa kazi kwa wakandarasi wa mifukoni...
0 Reactions
3 Replies
842 Views
Mshirikishe Rais Samia to block any attempt by Tulia to accommodate Halima and colleagues to continue attending the Parliament. Jibu utakalo lipata huko ndio utamwelewa Mama na mazungumzo...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye point. Huu msamiati wa 'Sukuma Gang' waanzilishi wake ni wapinzani. Lengo ni kuchochea makundi ndani ya CCM ili kuwagawa wanachama kwa lengo la kufanikisha malengo yao...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza...
8 Reactions
47 Replies
4K Views
Najua Waafrica wengi tumekuwa tukiamini sababu ya sisi kutokuendelea imesababishwa na wazungu nimeona chapisho mtandaoni kuhusu maadhimisho ya kitabu cha How Europe underdeveloped Africa by Walter...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia. Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu nchini (THRDC) umemtunuku Tuzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutokana na mchango wake wa kulinda na kusimamia haki...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili. Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa. Mambo kama...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Tembea uone mambo usingoje kuambiwa. Hii nchi wengi wakipenda kusema ni ngumu, kwa kweli ni ngumu sana. Ama kwa hakika huenda hata sheria zinazotumika kunakoitwa mjini ni tofauti mno na za huko...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA. watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo. Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
SHAKA H SHAKA, KATIBU KATIBU WA ITIKADI AMEZUNGUMZA HOJA NZURI SANA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nikiwa nimekaa mahali ninapumzika lilinijia wazo moja. Wazo langu lilifanana Kwa kiasi na...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Kitendo cha Chadema kuwafukuza rasmi wanachama wao 19 kwa kuwafutia uanachama rasmi. Sasa Mitandaoni habari kubwa inayotawala ni malumbano ya wana chadema wao kwa wao. Hivyo kumpatia ahueni...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi...
0 Reactions
182 Replies
36K Views
Natarajia lile SAKATA la WABUNGE 19 Waliokuwa Wamefukuzwa na KAMATI KUU ya CHADEMA limepata BARAKA tena ya Kufukuzwa na BARAZA KUU la CHADEMA na kuhitimisha UANACHAMA wao ndani ya Chama Hicho...
2 Reactions
6 Replies
865 Views
Back
Top Bottom