Chadema si wamoja tena? Ile live kutoka Ubelgiji haijaonekana, kuna error mahali

Paulsylvester

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
1,467
3,381
Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu

Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k

Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?

Chadema mko salama huko?

Inakuwaje wadau,!!

Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?

Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!
 
Makamu yupo anaaga aga marafiki wa huko ng'ambo anakaaribia kutua JK Nyerere Airport.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu

Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k

Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?

Chadema mko salama huko?

Inakuwaje wadau,!!

Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?

Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!

Lissu akiongea mnadai anaongea Sana. Akikaa kimya mndai amenusa kitu. CHADEMA Ni moja na hakuna mgogoro.
 
Lisu kuongea ndio huluka yake, anapokaa kimya, ni lazima tuulize, hasa kwenye mambo ya msingi ya chama na kitaifa
 
Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu

Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k

Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?

Chadema mko salama huko?

Inakuwaje wadau,!!

Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?

Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!
Lissu juzi alikuwa na Maria Sarungi Maria Spaces Twitter.
 
Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu

Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k

Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?

Chadema mko salama huko?

Inakuwaje wadau,!!

Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?

Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!
Makamu mwenyekiti alikua bize na shughuli za chama amekabiziwa kazi kubwa kukiwakilisha chama kwenye bunge la ujerumani na wabunge wa africa usio na wasi wasi chama kipo imara kamanda vilevile tupo wamoja Ok?
 
Ni vizuri, baadhi ya viongozi wakuu wa Chadema wamepunguza muda wa kushinda mitandaoni, ile ilikuwa inawafanya muda mwingine wajikute wanabishana na ngumbaru wa lumumba.
 
Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu

Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k

Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?

Chadema mko salama huko?

Inakuwaje wadau,!!

Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?

Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!
Utahangaika sana ndugu kwa style yako hii ya maisha.
 
Back
Top Bottom