Huyu afisa elimu wa wilaya Songwe awajibishwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

Njaa kali30

Member
Jul 18, 2021
47
28
Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa.

Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa vinagawiwa kwa kuangalia nini?!
Huyu si mwingine bali mtata mmoja anaitwa Bhange kama jina lake lilivyo ni bhange kweli. Nimtata katika mambo yafuatayo.

1. Kukataaa kusaini barua za kuhama waalimu hata kama mwalimu amekuwa akipata wa kubadilishana nae yeye hugoma kwa sababu zake.

Moja akidai huyo unaetaka kubadilisha aje ila wewe hakuna kuhama wa kuondoka nimeshuhudia zaidi ya waaalimu 10 wakikataliwa kuhama na huyu afisa huku wale wengine wa upande wa pili wakija na yeye kuzuia waaalimu wengine wasiende kule wanakotakiwa kuenda. Ina Maaana ameanzisha Tamisemi yake ndani ya wilaya na amejipa mamlaka ya waalimu hakuna kuondoka wala kuhama.

2. Pili kuamisha waalimu kwa nguvu katika shule zinazoanzishwa bila kuwalipa stahiki zao.Amekuwa kazi yake ni kutoa vitisho tuuu kwa waalimu mpaka basi usipoenda kule anakotaka uende atakufuta kazi. Tamisemi na Wizara ya elimu tembeleeni hii wilaya Muone huyu mtu alivyojigeuza mungu mtu katika katika ofisi ya Umma. Yeye rafiki zake ni wafanyakazi wanawake.

3. Kuwa na upendeleo mkubwa kwa watu wanaotoka maeneo ya njombe na Iringa.Amekuwana na upendeleo wa wazi wazi kwa wafanyakazi wanaotoka maeneo hayo. Nitawataja watu ambao snawapebdekea ikibidi.

4. Kufokea waalimu kama watoto wake na kutoa vitisho ambavyo katika hali yeyote umuogopesha mwalimu mjinga. Nilishuhudia mwalimu akifokewa na na kuambiwa hutopata kazi yeyote ambayo ni maalum. Mimi mwenyewe iliwahi kutokea varangati kubwa na yeye baada ya kung'ang'ani nimpe fedha kwa ajili ya kitu fulani. Mwisho kwa heshima na taadhima naomba tamisemi na wizara ya elimu ifike wilayani hapa na iulize baadhi ya watumishi ijue ukweli nabichukue hatua juuu ya mtu ambae ni Untochable
 
Huyu ni mtata hasa anawapendekeza mademu zake ukuu wa shule yaaani sijui walimuogota wapi mimi nilihama huko kipindi cha kabuje yaani inshort katika sehemu zenye ukabila na udini ni kanda hizo
 
Unatimiza majukumu yako?
 
Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa.

Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa vinagawiwa kwa kuangalia nini?!
Huyu si mwingine bali mtata mmoja anaitwa Bhange kama jina lake lilivyo ni bhange kweli. Nimtata katika mambo yafuatayo.

1. Kukataaa kusaini barua za kuhama waalimu hata kama mwalimu amekuwa akipata wa kubadilishana nae yeye hugoma kwa sababu zake.

Moja akidai huyo unaetaka kubadilisha aje ila wewe hakuna kuhama wa kuondoka nimeshuhudia zaidi ya waaalimu 10 wakikataliwa kuhama na huyu afisa huku wale wengine wa upande wa pili wakija na yeye kuzuia waaalimu wengine wasiende kule wanakotakiwa kuenda. Ina Maaana ameanzisha Tamisemi yake ndani ya wilaya na amejipa mamlaka ya waalimu hakuna kuondoka wala kuhama.

2. Pili kuamisha waalimu kwa nguvu katika shule zinazoanzishwa bila kuwalipa stahiki zao.Amekuwa kazi yake ni kutoa vitisho tuuu kwa waalimu mpaka basi usipoenda kule anakotaka uende atakufuta kazi. Tamisemi na Wizara ya elimu tembeleeni hii wilaya Muone huyu mtu alivyojigeuza mungu mtu katika katika ofisi ya Umma. Yeye rafiki zake ni wafanyakazi wanawake.

3. Kuwa na upendeleo mkubwa kwa watu wanaotoka maeneo ya njombe na Iringa.Amekuwana na upendeleo wa wazi wazi kwa wafanyakazi wanaotoka maeneo hayo. Nitawataja watu ambao snawapebdekea ikibidi.

4. Kufokea waalimu kama watoto wake na kutoa vitisho ambavyo katika hali yeyote umuogopesha mwalimu mjinga. Nilishuhudia mwalimu akifokewa na na kuambiwa hutopata kazi yeyote ambayo ni maalum. Mimi mwenyewe iliwahi kutokea varangati kubwa na yeye baada ya kung'ang'ani nimpe fedha kwa ajili ya kitu fulani. Mwisho kwa heshima na taadhima naomba tamisemi na wizara ya elimu ifike wilayani hapa na iulize baadhi ya watumishi ijue ukweli nabichukue hatua juuu ya mtu ambae ni Untochable
Tuhuma bila ushahidi angalau wa kapicha au video ni umbea km umbea mwingine...

Haeleti maana ku discuss taarifa ya upande mmoja or hear says bila concrete evidence.

Ili tutende haki ni vyema mkiwa mnatoa tuhuma km hizi muwe mnaweka na ushahidi au umtag unaemtuhumu tuskie nae upande wake ili tujadili kwa haki.
 
Umemaliza kila kitu.
 
Wanaoongoza sekta ya elimu walio wengi ni ZERO BRAINS, hii sekta nyeti imekuwa dampo la wajinga.Hao maafisa elimu ndio balaa elimu zao za kuungaunga na wamezipata kwa mbinde.Serikali isipokuwa macho kwenye hili tutaendelea kuzalisha wasomi wajinga wanaofundishwa na kutawaliwa na wajinga wajinga
 
Back
Top Bottom