Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,343
- 217,381
Imeelezwa kwamba Wakuu hawa wa Mikoa na Wilaya enzi za awamu ya 5 walimsifia sana Mh Rais wa Wakati huo na kumpamba sana , Lakini jambo hilo halifanyiki kwenye awamu ya 6 , ambako Rais wa sasa hasifiwi wala kupambwa na viongozi hao kulinganisha na awamu ya 5 , Jambo linalotafsiriwa kama USALITI .
Kauli hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CCM , Mh Chongolo , na kwamba uchunguzi huo unaanza mara moja .
Kauli hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CCM , Mh Chongolo , na kwamba uchunguzi huo unaanza mara moja .