Wapinzani Bado Wako kwenye Ndoto ya Kuingia Ikulu wakaamshwe

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka .
Kuna sababu mbili tu :-

1.Vyama vyao vinaongozwa na Mamluki na wachumia Tumbo ,Ni either na wana CCM walio vaa mavazi ya Upinzani au Watu walio feli na kufukuzwa vyama vingine kwa Usaliti na makosa mengine .
Mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi unaanza ni kwamba watu walitoka CCM kwenye kuanzisha vyama ili mfumo huo uonekane umeanza na bado ni wana CCM .hivyo wanajua fika hawapo pale kwa ajili ya kuchukua Nchi .

2.CCM ina mizizi kila Muhimili au sehemu Muhimu hivyo ni Ngumu kwa upinzani ku bypass hiyo system lakini Pia ina wenyewe ambao bado wapo na watoto wao wapo .
Hivyo kwa Upinzani kuingia Madarakani ni lazima hizo chain zife ,Maana kwa hao viongozi hawawezi hata Pambania Katiba Mpya au Kiundwe Chama ambacho hakina hizo sifa mbovu .Na kama bado kuna Wapinzania wanaamini soon watachukua Nchi basi waamsheni.
 
Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka .
Kuna sababu mbili tu :-

1.Vyama vyao vinaongozwa na Mamluki na wachumia Tumbo ,Ni either na wana CCM walio vaa mavazi ya Upinzani au Watu walio feli na kufukuzwa vyama vingine kwa Usaliti na makosa mengine .
Mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi unaanza ni kwamba watu walitoka CCM kwenye kuanzisha vyama ili mfumo huo uonekane umeanza na bado ni wana CCM .hivyo wanajua fika hawapo pale kwa ajili ya kuchukua Nchi .

2.CCM ina mizizi kila Muhimili au sehemu Muhimu hivyo ni Ngumu kwa upinzani ku bypass hiyo system lakini Pia ina wenyewe ambao bado wapo na watoto wao wapo .
Hivyo kwa Upinzani kuingia Madarakani ni lazima hizo chain zife ,Maana kwa hao viongozi hawawezi hata Pambania Katiba Mpya au Kiundwe Chama ambacho hakina hizo sifa mbovu .Na kama bado kuna Wapinzania wanaamini soon watachukua Nchi basi waamsheni .
Dogo kafanye kibalua ili usaifie familia yako,kupanda kwa ghalama za maisha na mfumko wa bei vinawahusu Chadema peke yao?

Ungekua huishi kwa shemeji yako,ungeuona ugumu wa maisha.
 
Kuamini kuwa CCM bado ni chama cha siasa yaweza kuwa sifa kuu ya mwenda wazimu,na kuamini kuwa CCM ipo madarakani kihalali ni uwenda wazimu ila kuamini kuwa CCM itakuwepo kwa hata siku moja Haki ikitendeka ni Ukichaa full(Sorry-Ugonjwa Wa Akili na siyo ukichaa).
Unawezaje kukisifia chama ambacho sote tunafahamu jinsi walivyopora uchaguzi na kufanya uchafuzi kama Wa 2020?Hata watoto wa primary schools wanafahamu wizi uliofanywa,najiuliza kuwa hivi sisi Watanzania tupo serious kwenye mambo gani?Kama jambo kama la wizi Wa kura tu linakosa watu Wa kulikemea?
 
Aliyeporwa 2015 alifanya nini ?na 2020 alifanya nini ?
 
Dogo kafanye kibalua ili usaifie familia yako,kupanda kwa ghalama za maisha na mfumko wa bei vinawahusu Chadema peke yao?

Ungekua huishi kwa shemeji yako,ungeuona ugumu wa maisha.
Sawa mkuu
 
Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka .
Kuna sababu mbili tu :-

1.Vyama vyao vinaongozwa na Mamluki na wachumia Tumbo ,Ni either na wana CCM walio vaa mavazi ya Upinzani au Watu walio feli na kufukuzwa vyama vingine kwa Usaliti na makosa mengine .
Mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi unaanza ni kwamba watu walitoka CCM kwenye kuanzisha vyama ili mfumo huo uonekane umeanza na bado ni wana CCM .hivyo wanajua fika hawapo pale kwa ajili ya kuchukua Nchi .

2.CCM ina mizizi kila Muhimili au sehemu Muhimu hivyo ni Ngumu kwa upinzani ku bypass hiyo system lakini Pia ina wenyewe ambao bado wapo na watoto wao wapo .
Hivyo kwa Upinzani kuingia Madarakani ni lazima hizo chain zife ,Maana kwa hao viongozi hawawezi hata Pambania Katiba Mpya au Kiundwe Chama ambacho hakina hizo sifa mbovu .Na kama bado kuna Wapinzania wanaamini soon watachukua Nchi basi waamsheni .

Ww lazima utakuwa ni mzee, haya ni mawazo ya wazee wanaoogopa mabadiliko maana wanajua itakuwa ni muda wa wao kudhalilika na familia zao tegemezi.
 
Nakuelewa mkuu hatuwezi kuwa na mawazo sawa
 
Dogo kafanye kibalua ili usaifie familia yako,kupanda kwa ghalama za maisha na mfumko wa bei vinawahusu Chadema peke yao?

Ungekua huishi kwa shemeji yako,ungeuona ugumu wa maisha.
Lakini mkuu Chadema yetu Rufaa tu kusikilizwa ni zaidi ya 18 month huoni kama chama hakiko serious ?
 
Hakuna upinzani, Chadema wanataka Luhaga Mpina au ndugai eti wawe wagombea wao, bhamuraa
 
Aliyeporwa 2015 alifanya nini ?na 2020 alifanya nini ?
Ulitaka waanzishe vurugu au?Hapo so ndiyo mngewaua kabisa?Hawakufanya chochote siyo kwamba hawakuwa na cha kufanya ila busara za CDM ni za level ya juu kuliko waporaji na imefanya nchi kuwa shwari hadi sasa,upo?Nguvu ya Umma ilishinda udhalimu bila kujali matokeo yake.Waporaji walitaka vurugu zitokee wapate kisingizio cha kuwaponda ponda walioporwa,upo?
Sisi wananchi wa Tanzania ya Tanganyika na Zanzibar tunataka kukamilisha kazi ya kuandika Katiba Mpya ili nchi iendelee kubaki moja.CCM mmeiharibu mno Tanzania, inatosha!
 
Mimi siko CCM mkuu nimeweka ukweli tu
 
Kama haupo CCM au umo haijalishi sana maana hizo kauli ulizotoa tunazifahamu ndiyo turufu ya wana CCM. Unapambana ukiwa wapi?ccms Divide &Rule propaganda has proven failure before CHADEMA.
Tunahitaji Katiba tuache masuala yasiyo na tija.Amen!
Mimi siko CCM mkuu nimeweka ukweli tu
 
Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko

Wewe kufikikiria hio miaka hio 50 hujidanganyi kama wao..?
 
Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka .
Kuna sababu mbili tu :-

1.Vyama vyao vinaongozwa na Mamluki na wachumia Tumbo ,Ni either na wana CCM walio vaa mavazi ya Upinzani au Watu walio feli na kufukuzwa vyama vingine kwa Usaliti na makosa mengine .
Mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi unaanza ni kwamba watu walitoka CCM kwenye kuanzisha vyama ili mfumo huo uonekane umeanza na bado ni wana CCM .hivyo wanajua fika hawapo pale kwa ajili ya kuchukua Nchi .

2.CCM ina mizizi kila Muhimili au sehemu Muhimu hivyo ni Ngumu kwa upinzani ku bypass hiyo system lakini Pia ina wenyewe ambao bado wapo na watoto wao wapo .
Hivyo kwa Upinzani kuingia Madarakani ni lazima hizo chain zife ,Maana kwa hao viongozi hawawezi hata Pambania Katiba Mpya au Kiundwe Chama ambacho hakina hizo sifa mbovu .Na kama bado kuna Wapinzania wanaamini soon watachukua Nchi basi waamsheni .
Upinzani wa Kweli utatoka ndani ya CCM yenyewe-Nyerere said.

Ni Rahisi KUUA wapinzani lakini haiwezekani kuua UPINZANI sababu Upinzani uko ndani ya nafsi ya kila mwanadamu, ni Ile Hal ya kuwa na mawazo mbadala juu ya mawazo yaliyopo Kwa Nia ya kujenga ufanisi.

Kifo Cha CCM ni dhahiri kutimia sababu makundi yaliyopo ndani ya CCM Kwa sasa hayupo wa kiongozi neutral wa kuyadhibiti.

Watatoka ndani ya CCM watakaokiua Ili warejeshe MSINGI Ule wa KWANZA Kwa kuunda kipya.

Ni hivi, CHAMA chochote kilichoanzishwa, kikitoka nje ya Katiba na misingi ya uanzishwaji wake KIFO ni guaranteed Wala huitaj Kubashiri.

Na KIFO Cha CCM kitaendana na KIFO CHA KATIBA hii ya sasa maana walizaliwa pamoja.
 
  • Thanks
Reactions: RNA

Mkuu
Unamaaanisha umoja party!!?
TUSUBIRI
 
Mkuu
Unamaaanisha umoja party!!?
TUSUBIRI
Inazaliwa Bendera ya RANGI ya GREEN,YELLOW na BLACK Kutoka kwenye KATIBA MPYA,bendera Ilorudishwa TUMBONI na waasisi.

Kuzaliwa Kwa mtoto anaeitwa KATIBA mpya itazaa CHAMA kipya, SERIKALI mpya 1 yenye watoto wawili watakaokula Kwa JASHO lao Kwa kufanya kazi na Si MBELEKO. Amen
 
Mkuu
Unamaaanisha umoja party!!?
TUSUBIRI
Kuzaliwa Kwa KATIBA mpya ni Kuua CCM na SERIKALI 2 Automatically. So makundi ndani ya CCM k.m S.gang n.k watakumbwa na Upepo wa KATIBA mpya.

Habari ya kuanzisha vyama km UMOJA nk watapitiwa na wimbi la Katiba. Baada ya hapo, patakuwa na VYAMA vyenye Dira ya kitaifa zaidi.

Na KATIBA mpya itazaliwa before any Secular Election. Ukitaka kuona na kuamini kuwa CDM watalianzisha na kugomea uchaguzi, ni wakae CCM na wakane maridhiano na reconciliation.

Maneno YA KINYWA YANAUMBA. Amen.
 
Inazaliwa Bendera ya RANGI ya GREEN,YELLOW na BLACK Kutoka kwenye KATIBA MPYA,bendera Ilorudishwa TUMBONI na waasisi.

Kuzaliwa Kwa mtoto anaeitwa KATIBA mpya itazaa CHAMA kipya, SERIKALI mpya 1 yenye watoto wawili watakaokula Kwa JASHO lao Kwa kufanya kazi na Si MBELEKO. Amen
Una komenti KWA kujiamini MNO!!?ndio kusema waonaji/manabii wa Zama hizi hupewa unabii na the state na kuusema Ili kuwaandaa watu kisaikolojia juu ya mabadiliko yajayo!!!?mfano Tumia akili hutoa ujumbe wa State lakini hujiita muonaji tu!!!!Labda waonaji ni Member wa mhimili ule KWENYE nchi hii!!?
 
Back
Top Bottom