CHADEMA mlifanya biashara na Edward Lowassa, mkampiga chini Dkt. Slaa hamkuona usaliti, Ila leo akina Mdee na wenzake mnaona ni usaliti

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,158
1,491
Mwaka 2015 ni mtu kichaa peke yake asiyetambua biashara iliyofanyika kati ya Chadema na Mh Edward Ngoyai Lowassa, aliyekuwa anategemewa kugombea Urais kupitia Chadema alipigwa chini na kijiti kupewa mh Edward Ngoyai Lowassa aliyetoka CCM.

Dkt. Slaa alipoamua kutumia Uhuru wake kikatiba na kuhamia CCM aliitwa majina yote, alitukanwa matusi yote na makamanda wa Chadema.

Leo akina Mdee wako bungeni kwa Mkono wa Chama( Viongozi wanajua) , mabinti hawa wanatukanwa kila aina ya matusi .

Ukisema ukweli akina Lema wanakuombea mpaka kifo as if wao wataishi milele (Wamekuwa Manaibii wa vifoo).

Siasa sio uadui, Fanyeni siasa za ustarabu, enezi sera sio matusi na chuki.

# A law of karma
#Kazi iendelee.
 
Mabinti?Unaelewa ukomo wa mwanamke kuitwa binti?Hiyo biashara ya CDM na Lowassa ilihusisha fedha au mali kwa mali?Thibitisha.Hao waliojipeleka bungeni unaeleza kuna mkono wa viongozi wa CDM,thibitisha vilevile.
 
Waulize viongozi wako walilipwa fedha kiasi gani mpaka kumtosa Dr Slaa
 
CDM hawana mgombea Urais, hata ajaye atatoka CCM, yule mwingine yale mavyuma yatampa shida kutembea nchi nzima, lichuma linaweza kuchomoza nje ya mwili au kukatikia ndani
 
Mwaka 2015 ni mtu kichaa peke yake asiyetambua biashara iliyofanyika kati ya Chadema na Mh Edward Ngoyai Lowassa, aliyekuwa anategemewa kugombea Urais kupitia Chadema alipigwa chini na kijiti kupewa mh Edward Ngoyai Lowassa aliyetoka CCM.

Dkt. Slaa alipoamua kutumia Uhuru wake kikatiba na kuhamia CCM aliitwa majina yote, alitukanwa matusi yote na makamanda wa Chadema.

Leo akina Mdee wako bungeni kwa Mkono wa Chama( Viongozi wanajua) , mabinti hawa wanatukanwa kila aina ya matusi .

Ukisema ukweli akina Lema wanakuombea mpaka kifo as if wao wataishi milele (Wamekuwa Manaibii wa vifoo).

Siasa sio uadui, Fanyeni siasa za ustarabu, enezi sera sio matusi na chuki.

# A law of karma
#Kazi iendelee.
ANZISHA CHAMA CHAKO UWACHUKUE HAO COVID 19

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom