Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesoma hili Tangazo la TFRA la bei elekezi za mbolea lakini nimeshindwa kuziona. Hizo bei zinapatikana wapi. TAARIFA KWA UMMA: BEI ELEKEZI ZA MBOLEA (DAP, UREA, CAN NA SA) 01st Apr, 2022...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KUPISHA MFUNGO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hapa JF inaonekana ukisema kitu kinyume na CHADEMA wewe hukitakii mapenzi mema, au wewe ni mwana CCM. Wengine sisi hatuna vyama, tunapoona chama kinakosea kosea mambo madogo madogo lazima tuseme...
4 Reactions
11 Replies
717 Views
Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania. Wanafunzi hao na...
10 Reactions
173 Replies
15K Views
Ukiuniliza kwa sasa ni wilaya gani inakua kwa kasi kubwa sana ya maendeleo basi ni wilaya ya Kisarawe chini ya mkuu wa wilaya Nikki wa Pili. Kuna Maendeleo ya kutisha sana Kisarawe, madarasa na...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo...
20 Reactions
293 Replies
23K Views
Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
4 Reactions
98 Replies
8K Views
Ni ushauri tu. Vijana wa CCM kiteteeni chama hapa JF badala ya kugawanyika na kutetea Watu binafsi ndani ya CCM Mtanikumbuka!
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili(genius) ametembelewa na mkurugenzi mkuu wa Plan International Dr.Mona Girgis. Mambo mazuri wamejadiliana na ametoa msaada wa ujenzi wa madarasa...
6 Reactions
26 Replies
46K Views
Kuna clip inatrend baada tu Mhe. RAIS kutoka nchini Uganda ikionyesha kikundi kidogo Cha watu wakipinga uwekezaji kwenye Bomba la mafuta eti Ufaransa Kuna joto Kali kutokana na mabadiliko ya tabia...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amezindua Bodi ya Wakurugenzi ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji leo tarehe 14 Mei, 2022 Jijini Dodoma, na kuitaka kuainisha maeneo mbalimbali ambayo kwa ujumla...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania. Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri...
27 Reactions
95 Replies
6K Views
Mara kadhaa Prof. Hosea alipokuwa anaulizwa kuhusu msimamo wa TLS issue ya akina Halima Mdee alikataa kutoa msimamo wa chama hicho Cha kitaaluma. Ameona uchaguzi umekaribia na wapinzani wake...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakati wa uchaguzi mkuu 2020 aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Kawe kupitia Chadema Halima Mdee aliutangazia umma kuwa amekamata mabegi yenye kura feki akasema hatotambua matokeo yake leo kaungana...
13 Reactions
89 Replies
6K Views
Spika Tulia amemtaka Naibu waziri Katambi kujibu upya swali la Mbunge wa Chadema Mh Sophia Mwakagenda. Katambi alisema waliokosa mikopo ni Wakenya. Tulia amesema kauli ya Katambi imezua tafrani...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu Rais ametangaza Sensa mwaka huu itafanyika mwezi wa nane,mara ya mwisho ilifanyika mwaka 2012 .Je kuna mafanikio gani yaliyotokea Kwa kuhesabu Sensa ya mwaka 2012? Lakini pia mwaka 1988...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana. Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo tarehe 1/4/2022 nimeshinda kesi ya Rufaa Nambari 125 ya Mwaka 2021. Chini ya Judge Amir Mruma. Mahakama imetengua hukumu ya kesi namba 188/2017 iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Bado Kuna reforms inabidi kufanyika haswa kwenye teuzi au chaguzi za watu wa kupewa nyadhifa Serikalini. Teuzi zetu nchini zina-mapungufu sana na mengi. Ukifuatilia vigezo vya teuzi hizo Huwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
John Mnyika Kila jimbo litataka kujifananisha na mafanikio fulani fulani. Dhana ya ushindani na upekee imeshindikana katika mazingira ya sasa ambapo kila halmashauri inaongozwa na maelekezo ya...
16 Reactions
324 Replies
25K Views
Back
Top Bottom