The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,502
- 2,046
Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea kwenye nchi yetu
Naomba wenye kujua nini kimewapata hawa jamaa. Je wamebadili sera? Hakuna maovu tena?
Wameondokewa na waandishi mahiri? Wamenunuliwa na serikali? Au uoga tu.?