Mnaomshinikiza Rais Samia amuachie huru Sabaya acheni, Mwacheni Sabaya avune alichopanda!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,497
51,090
Zimekuwepo kampeni za wazi mitandaoni za kumblackmail mhehimiwa rais kumtaka amuachie huru Sabaya. Wanaofanya haya wanatumia mbinu ya mashambulizi ya kisaikolojia ili kumfanya mheshimiwa rais ajisikie hatia kwa uwepo wa sababya ndani na hivyo kuchukua uamuzi wa kutumia ushawishi wake kumfutia mashitaka.

Baadhi ya hoja au mbinu wanazotumia wanaotaka Samia aingilie kesi za Sabaya ni hizi zifuatazo

1. Eti kwa kuwa Sabaya alikuwa kijana wa Magufuli basi kumuweka ndani ni kupambana na Magufuli
Hii ni hoja ya kisiasa yenye lengo la kumblackmail mheshimiwa rais Samia aogope mwenendo wa kesi kwa hofu kwamba kundi la waanchi na wanaCCM wanaomkubali Magufuli watachukizwa na hatua hii ya Sabaya kufikishwa katika vyombo vya sheria. Naamini hii hoja haina mashiko kwa sababu zifuatazo
a) Kufanya kazi katika serikali ya Magufuli au kupendwa na Magufuli si kinga ya udhalimu wako au uvunjaji wako wa sheria. Na kwa kuwa jinai haifi basi yeyote yule ambayo Jamhuri itajiridhisha kuwa ana kesi ya kujibu mahakamani atafikihwa mahakamani. Sabaya na watu wake wasijifiche katika ngao ya hayati
b) Hoja ni hii ni dhaifu kwa sababu ni matusi kwa hayati Magufuli, Kumtumia Magufuli kufunika udhalimu na jinai ni sawasawa na kusema kuwa hayati ndiye aliyemtuma Sabaya aonee watu, apore watu, anyanyase wanawake kijinsia na matendo mengine ya kinyama kabisa. Kwa hiyo mimi ninafikiri kwamba ili kulinda heshima ya hayati ni vyema watu wote waliofanya udhalimu chini ya kivuli chake wakashughulikiwa wao kama wao badala ya kuingiza jina la hayati

2. Hoja eti Sabaya ana mazuri yake kaitendea serikali na hivyo serikali isamehe tu mabaya yake
Hii ni hoja dhaifu zaidi, na imejaa ubinafsi mkubwa.

a)Sabaya kuwa mtumishi wa serikali, kutenda mazuri ni wajibu wake, maana hilo ndilo alilotumwa afanye na alikuwa akilipwa mshahara kwa hilo. Hata hivyo Sababya hakutumwa awe jambazi, mporaji, mnyanyasa wanawake kingono na matendo mengine ya kidhalimu. Jamhuri haimshitaki Sabaya kwa mazuri yake aliyoyafanya, bali inamshitaki kwa mabaya yake, na ni vyema haki itendeke
b) Sabaya si tu kwamba ameikosea Jamhuri lakini amewakosea watu ambao ni wahanga wa matendo yake ya kidhalimu, Kama mnataka Sabaya asamehewe, vipi kuhusu watu aliowafanyia kila aina ya uovu, mbona hawa hamuwaonei huruma?, Haki yao itapatkanaje?
d)Sabaya si kiongozi wa kwanza kukamtwa na kuwekwa ndani, Amewahi kukamatwa waziri wa Nyerere mzee Fundikira akatiwa bakora kwa rushwa, na akawekwa ndani. Amewa hikukamatwa waziri kiongozi wa zamani wa Zanzibar Seif Sharif Hamad, na waziri wa zamani wa serikali Juma Duni Haji na walikaa ndani takriban miaka minne, amewahi kukaa Jela mzee Mramba na Yona , SEMBUSE SABAYA?, Sheria ichukue mkondo wake!
c) Ni ubinafsi kumuomba msamaha rais Samia, ila usiombe msamaha kwa wale ambao Sabaya kawatendea unyama. Hii inaonyesha kuwa Sabaya bado hajajuta, na watu wake hawajali hata kidogo hisia za wahanga wa matendo ya Sabaya

3. Drama ya vilio vya akina mama na kauli yao eti Sabaya asamehewe keshajifunza
a) Tangu Sabaya akamatwe, haijafika hata miaka miwili. Huyu ni mtu ambaye mahakama moja nchini iliona anahitaji kukaa Jela kwa miaka 30 ili ajifunze kuachana na udhalimu wake, Japo mahakama ya juu ilitengua hukumu hii kwa "technicalities" lakini ukweli ni kwamba Makosa aliyotenda Sabaya si ya kukaa jela mwaka mmoja na akajifunza akarekebishika, ndiyo maana mahakama ya awali iliona miaka inayomtosha ni 30

b) Wakati Sabaya na watu wake wanaolia ili aachiwe huru wakiendelea na kampeni yao ya kibinafsi ya kumtoa Sabaya ndani, Kuna watu nchii hii wamekaa Jela miaka Lukuki na wakapambana mahakamani, Hatukuona familia zao zikikusanya watu ili walie mbele ya Camera. Kuna Mzee Lugemalira, alikaa ndani zaidi ya miaka Mitatu, Kuna Yusufu Manji alikaa ndani miezi mingi tu, Kuna Masheikh wa uamsho walikaa ndani kwa miaka nane huku kesi yao ikipigwa Kalenda SEMBUSE SABAYA ALIYEKAA GEREZANI KAMWAKA KAMOJA TU NDO WATU WANAMWAGA MCHOZI KUOMBA FAVOR?- Mimi nasema tuhuma Za Sabaya ni kubwa sana Sheria ichukua mkondo wake!

4. Ushauri kwa Rais Samia na Serikali
Tuhuma za Sabaya ni nzito sana, Kapora, Kajeruhi watu, Kabaka wanawake. Huyu mtamuachiaje hivihivi bila kuwa accountable kwa udhalimu wake?, Kama mkiamua kumuachia, mtakuwa mmefanya dhulma kubwa kwa wale aliowafanyia unyama. Msimuangalie Sabaya kama Victim, muangalieni Sabaya kama Perpetrator.
Msiingie katika mkumbo wa kumwachia Sabaya kwa visingizio eti ni mwanaCCM mwenzetu. Katiba ya CCM hakuna sehemu inayosema wananchama wake wavamie biashara za watu wapore fedha, au wabake wanawake, au wajeruhi watu, sasa mtajenga precedent mbaya ya entitlement kwamba ukiwa mwanaCCM na kiongozi kisha ukafanya udhalimu wa kutisha basi chama na serikali vitakulinda.

Ushauri wangu kwa mama Samia ni kuwa, Usione huruma kwa hivi vilio vya akina mama waliojipanga kufanya drama mbele ya Camera. Wanatumia mbinu ya kukushambulia kisaikolojia, kwa kutumia huruma ya mama ili kumwachia huru huyu kijana dhalimu. Ninachosahuri ni kuwa wacha HAKI ITENDEKE, USIMUONEE WALA USIMDHULUMU wacha sheria ichukue mkondo wake.

Mheshimiwa Rais, Siyo Sabaya peke yake mwenye mama mzazi anayemuonea huruma, au mwenye ndugu wenye kujali , au mwenye mchumba anayetegemea kumuoa. Kuna watu kibao wapo jela kwa kesi ya kuiba kuku, au vimakosa vidogovidogo na wanatumikia vifungo vyao, nao hao wanandugu zao, wana wazazi wao. JE NAO WAFANYE DRAMA KWENYE CAMERA YA KULIA ILI KUKUSHAWISHI UWAACHIE?
 
1. Ukiwa kijana wa mtu hata awe na mamlaka gani ukikosea ni lazima uwajibishwe.

2. Hata uwe na mazuri million moja ukifanya fuckup moja tu inakula kwako.

3. Vilio vyao havina tija. Kama nikusamehewa basi Rais awaachie wafungwa wote na mahabusu wote nchini maana nao wanao watu wanaowalilia.

4. Sabaya acha avune alichopanda. Mahakama ifanye kazi yake kama mhimili huru. Akikutwa na hatia kwa ushahidi usio na shaka basi atumikie kifungo chake kama raia wengine.
 
Ndio maana tunahitaji katiba mpya.
Kama tungekuwa na katiba mpya wale wanawake wasingeenda kujiliza pale kwa sababu wangekuwa na imani kubwa Sabaya atapata haki yake na atahukumiwa inavyostahili na mfumo wa kisheria.

Pia mama yake Kabendera asingemlilia Rais kama mtoto mdogo ili mtoto wake aachiwe.
Angekuwa na imani tu Kabendera atatendewa haki, tena bila kucheleweshwa.
 
Kwani makosa ya Sabaya ni makosa ya CCM?

Basi twende magerezani tuulize wafungwa na mahabusu wenye kadi za CCM waachiwe huru na waliobaki waendelee na vifungo vyao!

Kama alitenda mazuri huo ulikuwa wajibu wake na ndiyo maana alikuwa akilipwa mshahara. Awajibike kwa makosa yake aliyotenda!
 
Zimekuwepo kampeni za wazi mitandaoni za kumblackmail mhehimiwa rais kumtaka amuachie huru Sabaya. Wanaofanya haya wanatumia mbinu ya mashambulizi ya kisaikolojia ili kumfanya mheshimiwa rais ajisikie hatia kwa uwepo wa sababya ndani na hivyo kuchukua uamuzi wa kutumia ushawishi wake kumfutia mashitaka.

Baadhi ya hoja au mbinu wanazotumia wanaotaka Samia aingilie kesi za Sabaya ni hizi zifuatazo

1. Eti kwa kuwa Sabaya alikuwa kijana wa Magufuli basi kumuweka ndani ni kupambana na Magufuli
Hii ni hoja ya kisiasa yenye lengo la kumblackmail mheshimiwa rais Samia aogope mwenendo wa kesi kwa hofu kwamba kundi la waanchi na wanaCCM wanaomkubali Magufuli watachukizwa na hatua hii ya Sabaya kufikishwa katika vyombo vya sheria. Naamini hii hoja haina mashiko kwa sababu zifuatazo
a) Kufanya kazi katika serikali ya Magufuli au kupendwa na Magufuli si kinga ya udhalimu wako au uvunjaji wako wa sheria. Na kwa kuwa jinai haifi basi yeyote yule ambayo Jamhuri itajiridhisha kuwa ana kesi ya kujibu mahakamani atafikihwa mahakamani. Sabaya na watu wake wasijifiche katika ngao ya hayati
b) Hoja ni hii ni dhaifu kwa sababu ni matusi kwa hayati Magufuli, Kumtumia Magufuli kufunika udhalimu na jinai ni sawasawa na kusema kuwa hayati ndiye aliyemtuma Sabaya aonee watu, apore watu, anyanyase wanawake kijinsia na matendo mengine ya kinyama kabisa. Kwa hiyo mimi ninafikiri kwamba ili kulinda heshima ya hayati ni vyema watu wote waliofanya udhalimu chini ya kivuli chake wakashughulikiwa wao kama wao badala ya kuingiza jina la hayati

2. Hoja eti Sabaya ana mazuri yake kaitendea serikali na hivyo serikali isamehe tu mabaya yake
Hii ni hoja dhaifu zaidi, na imejaa ubinafsi mkubwa.

a)Sabaya kuwa mtumishi wa serikali, kutenda mazuri ni wajibu wake, maana hilo ndilo alilotumwa afanye na alikuwa akilipwa mshahara kwa hilo. Hata hivyo Sababya hakutumwa awe jambazi, mporaji, mnyanyasa wanawake kingono na matendo mengine ya kidhalimu. Jamhuri haimshitaki Sabaya kwa mazuri yake aliyoyafanya, bali inamshitaki kwa mabaya yake, na ni vyema haki itendeke
b) Sabaya si tu kwamba ameikosea Jamhuri lakini amewakosea watu ambao ni wahanga wa matendo yake ya kidhalimu, Kama mnataka Sabaya asamehewe, vipi kuhusu watu aliowafanyia kila aina ya uovu, mbona hawa hamuwaonei huruma?, Haki yao itapatkanaje?
d)Sabaya si kiongozi wa kwanza kukamtwa na kuwekwa ndani, Amewahi kukamatwa waziri wa Nyerere mzee Fundikira akatiwa bakora kwa rushwa, na akawekwa ndani. Amewa hikukamatwa waziri kiongozi wa zamani wa Zanzibar Seif Sharif Hamad, na waziri wa zamani wa serikali Juma Duni Haji na walikaa ndani takriban miaka minne, amewahi kukaa Jela mzee Mramba na Yona , SEMBUSE SABAYA?, Sheria ichukue mkondo wake!
c) Ni ubinafsi kumuomba msamaha rais Samia, ila usiombe msamaha kwa wale ambao Sabaya kawatendea unyama. Hii inaonyesha kuwa Sabaya bado hajajuta, na watu wake hawajali hata kidogo hisia za wahanga wa matendo ya Sabaya

3. Drama ya vilio vya akina mama na kauli yao eti Sabaya asamehewe keshajifunza
a) Tangu Sabaya akamatwe, haijafika hata miaka miwili. Huyu ni mtu ambaye mahakama moja nchini iliona anahitaji kukaa Jela kwa miaka 30 ili ajifunze kuachana na udhalimu wake, Japo mahakama ya juu ilitengua hukumu hii kwa "technicalities" lakini ukweli ni kwamba Makosa aliyotenda Sabaya si ya kukaa jela mwaka mmoja na akajifunza akarekebishika, ndiyo maana mahakama ya awali iliona miaka inayomtosha ni 30

b) Wakati Sabaya na watu wake wanaolia ili aachiwe huru wakiendelea na kampeni yao ya kibinafsi ya kumtoa Sabaya ndani, Kuna watu nchii hii wamekaa Jela miaka Lukuki na wakapambana mahakamani, Hatukuona familia zao zikikusanya watu ili walie mbele ya Camera. Kuna Mzee Lugemalira, alikaa ndani zaidi ya miaka Mitatu, Kuna Yusufu Manji alikaa ndani miezi mingi tu, Kuna Masheikh wa uamsho walikaa ndani kwa miaka nane huku kesi yao ikipigwa Kalenda SEMBUSE SABAYA ALIYEKAA GEREZANI KAMWAKA KAMOJA TU NDO WATU WANAMWAGA MCHOZI KUOMBA FAVOR?- Mimi nasema tuhuma Za Sabaya ni kubwa sana Sheria ichukua mkondo wake!

4. Ushauri kwa Rais Samia na Serikali
Tuhuma za Sabaya ni nzito sana, Kapora, Kajeruhi watu, Kabaka wanawake. Huyu mtamuachiaje hivihivi bila kuwa accountable kwa udhalimu wake?, Kama mkiamua kumuachia, mtakuwa mmefanya dhulma kubwa kwa wale aliowafanyia unyama. Msimuangalie Sabaya kama Victim, muangalieni Sabaya kama Perpetrator.
Msiingie katika mkumbo wa kumwachia Sabaya kwa visingizio eti ni mwanaCCM mwenzetu. Katiba ya CCM hakuna sehemu inayosema wananchama wake wavamie biashara za watu wapore fedha, au wabake wanawake, au wajeruhi watu, sasa mtajenga precedent mbaya ya entitlement kwamba ukiwa mwanaCCM na kiongozi kisha ukafanya udhalimu wa kutisha basi chama na serikali vitakulinda.

Ushauri wangu kwa mama Samia ni kuwa, Usione huruma kwa hivi vilio vya akina mama waliojipanga kufanya drama mbele ya Camera. Wanatumia mbinu ya kukushambulia kisaikolojia, kwa kutumia huruma ya mama ili kumwachia huru huyu kijana dhalimu. Ninachosahuri ni kuwa wacha HAKI ITENDEKE, USIMUONEE WALA USIMDHULUMU wacha sheria ichukue mkondo wake.

Mheshimiwa Rais, Siyo Sabaya peke yake mwenye mama mzazi anayemuonea huruma, au mwenye ndugu wenye kujali , au mwenye mchumba anayetegemea kumuoa. Kuna watu kibao wapo jela kwa kesi ya kuiba kuku, au vimakosa vidogovidogo na wanatumikia vifungo vyao, nao hao wanandugu zao, wana wazazi wao. JE NAO WAFANYE DRAMA KWENYE CAMERA YA KULIA ILI KUKUSHAWISHI UWAACHIE?
Waache mchuma janga ale na wakwao
 
Sooner or later atafutiwa mashataka yote na kuachwa huru......

Mshukuru Mungu uko uraiani inatosha.!!!
 
Wale wakina mama waliokua wanalia wakapimwe kama akili zao zipo sawa
Hata wasipopimwa, Lengai atakuwa huru sooner or later, sie tulio uraiani na Uhuru huu Basi hatuna budi kumshukuru Mungu hata kwa hilo.
Kama hujui kufa wahenga wanasema kachungulie kaburi.
 
Nikikumbuka dharau aliyomfanyia the late mama Anna Mghwira kipindi bado ni DC wa hai kabla hajaenda kujikaanga clouds fm huwa nacheka sana. Ndani sio kuzuri, aliona raha kuwasweka wenzie sahizi aonje ladha ya damu yake mwenyewe sasa.

Kwa criminal offences za Sabaya kumuachia ni kuitukanisha mahakama.
 
Zimekuwepo kampeni za wazi mitandaoni za kumblackmail mhehimiwa rais kumtaka amuachie huru Sabaya. Wanaofanya haya wanatumia mbinu ya mashambulizi ya kisaikolojia ili kumfanya mheshimiwa rais ajisikie hatia kwa uwepo wa sababya ndani na hivyo kuchukua uamuzi wa kutumia ushawishi wake kumfutia mashitaka.

Baadhi ya hoja au mbinu wanazotumia wanaotaka Samia aingilie kesi za Sabaya ni hizi zifuatazo

1. Eti kwa kuwa Sabaya alikuwa kijana wa Magufuli basi kumuweka ndani ni kupambana na Magufuli
Hii ni hoja ya kisiasa yenye lengo la kumblackmail mheshimiwa rais Samia aogope mwenendo wa kesi kwa hofu kwamba kundi la waanchi na wanaCCM wanaomkubali Magufuli watachukizwa na hatua hii ya Sabaya kufikishwa katika vyombo vya sheria. Naamini hii hoja haina mashiko kwa sababu zifuatazo
a) Kufanya kazi katika serikali ya Magufuli au kupendwa na Magufuli si kinga ya udhalimu wako au uvunjaji wako wa sheria. Na kwa kuwa jinai haifi basi yeyote yule ambayo Jamhuri itajiridhisha kuwa ana kesi ya kujibu mahakamani atafikihwa mahakamani. Sabaya na watu wake wasijifiche katika ngao ya hayati
b) Hoja ni hii ni dhaifu kwa sababu ni matusi kwa hayati Magufuli, Kumtumia Magufuli kufunika udhalimu na jinai ni sawasawa na kusema kuwa hayati ndiye aliyemtuma Sabaya aonee watu, apore watu, anyanyase wanawake kijinsia na matendo mengine ya kinyama kabisa. Kwa hiyo mimi ninafikiri kwamba ili kulinda heshima ya hayati ni vyema watu wote waliofanya udhalimu chini ya kivuli chake wakashughulikiwa wao kama wao badala ya kuingiza jina la hayati

2. Hoja eti Sabaya ana mazuri yake kaitendea serikali na hivyo serikali isamehe tu mabaya yake
Hii ni hoja dhaifu zaidi, na imejaa ubinafsi mkubwa.

a)Sabaya kuwa mtumishi wa serikali, kutenda mazuri ni wajibu wake, maana hilo ndilo alilotumwa afanye na alikuwa akilipwa mshahara kwa hilo. Hata hivyo Sababya hakutumwa awe jambazi, mporaji, mnyanyasa wanawake kingono na matendo mengine ya kidhalimu. Jamhuri haimshitaki Sabaya kwa mazuri yake aliyoyafanya, bali inamshitaki kwa mabaya yake, na ni vyema haki itendeke
b) Sabaya si tu kwamba ameikosea Jamhuri lakini amewakosea watu ambao ni wahanga wa matendo yake ya kidhalimu, Kama mnataka Sabaya asamehewe, vipi kuhusu watu aliowafanyia kila aina ya uovu, mbona hawa hamuwaonei huruma?, Haki yao itapatkanaje?
d)Sabaya si kiongozi wa kwanza kukamtwa na kuwekwa ndani, Amewahi kukamatwa waziri wa Nyerere mzee Fundikira akatiwa bakora kwa rushwa, na akawekwa ndani. Amewa hikukamatwa waziri kiongozi wa zamani wa Zanzibar Seif Sharif Hamad, na waziri wa zamani wa serikali Juma Duni Haji na walikaa ndani takriban miaka minne, amewahi kukaa Jela mzee Mramba na Yona , SEMBUSE SABAYA?, Sheria ichukue mkondo wake!
c) Ni ubinafsi kumuomba msamaha rais Samia, ila usiombe msamaha kwa wale ambao Sabaya kawatendea unyama. Hii inaonyesha kuwa Sabaya bado hajajuta, na watu wake hawajali hata kidogo hisia za wahanga wa matendo ya Sabaya

3. Drama ya vilio vya akina mama na kauli yao eti Sabaya asamehewe keshajifunza
a) Tangu Sabaya akamatwe, haijafika hata miaka miwili. Huyu ni mtu ambaye mahakama moja nchini iliona anahitaji kukaa Jela kwa miaka 30 ili ajifunze kuachana na udhalimu wake, Japo mahakama ya juu ilitengua hukumu hii kwa "technicalities" lakini ukweli ni kwamba Makosa aliyotenda Sabaya si ya kukaa jela mwaka mmoja na akajifunza akarekebishika, ndiyo maana mahakama ya awali iliona miaka inayomtosha ni 30

b) Wakati Sabaya na watu wake wanaolia ili aachiwe huru wakiendelea na kampeni yao ya kibinafsi ya kumtoa Sabaya ndani, Kuna watu nchii hii wamekaa Jela miaka Lukuki na wakapambana mahakamani, Hatukuona familia zao zikikusanya watu ili walie mbele ya Camera. Kuna Mzee Lugemalira, alikaa ndani zaidi ya miaka Mitatu, Kuna Yusufu Manji alikaa ndani miezi mingi tu, Kuna Masheikh wa uamsho walikaa ndani kwa miaka nane huku kesi yao ikipigwa Kalenda SEMBUSE SABAYA ALIYEKAA GEREZANI KAMWAKA KAMOJA TU NDO WATU WANAMWAGA MCHOZI KUOMBA FAVOR?- Mimi nasema tuhuma Za Sabaya ni kubwa sana Sheria ichukua mkondo wake!

4. Ushauri kwa Rais Samia na Serikali
Tuhuma za Sabaya ni nzito sana, Kapora, Kajeruhi watu, Kabaka wanawake. Huyu mtamuachiaje hivihivi bila kuwa accountable kwa udhalimu wake?, Kama mkiamua kumuachia, mtakuwa mmefanya dhulma kubwa kwa wale aliowafanyia unyama. Msimuangalie Sabaya kama Victim, muangalieni Sabaya kama Perpetrator.
Msiingie katika mkumbo wa kumwachia Sabaya kwa visingizio eti ni mwanaCCM mwenzetu. Katiba ya CCM hakuna sehemu inayosema wananchama wake wavamie biashara za watu wapore fedha, au wabake wanawake, au wajeruhi watu, sasa mtajenga precedent mbaya ya entitlement kwamba ukiwa mwanaCCM na kiongozi kisha ukafanya udhalimu wa kutisha basi chama na serikali vitakulinda.

Ushauri wangu kwa mama Samia ni kuwa, Usione huruma kwa hivi vilio vya akina mama waliojipanga kufanya drama mbele ya Camera. Wanatumia mbinu ya kukushambulia kisaikolojia, kwa kutumia huruma ya mama ili kumwachia huru huyu kijana dhalimu. Ninachosahuri ni kuwa wacha HAKI ITENDEKE, USIMUONEE WALA USIMDHULUMU wacha sheria ichukue mkondo wake.

Mheshimiwa Rais, Siyo Sabaya peke yake mwenye mama mzazi anayemuonea huruma, au mwenye ndugu wenye kujali , au mwenye mchumba anayetegemea kumuoa. Kuna watu kibao wapo jela kwa kesi ya kuiba kuku, au vimakosa vidogovidogo na wanatumikia vifungo vyao, nao hao wanandugu zao, wana wazazi wao. JE NAO WAFANYE DRAMA KWENYE CAMERA YA KULIA ILI KUKUSHAWISHI UWAACHIE?
Bahati nzuru HAMDUN by then alijuwa RPC Arusha na alikuwa hawezi kumfanya lolote sabaya pamoja na kuingia kibabe ktk eneo lake la kazi bali ali mre serve, na ana taarifa nyingi sana za sabaya.
Kumbuka hamduni sasa ni mkurugenzi TAKUKURU na probably next IGP
 
Alimfukuzisha Kilimanjaro kisa alikataa kuwapa kesi wenye ma basi huko Hai kwamba wamehujumu reli.....RPC akarudishwa Dar haraka.....Hamduni anayajua yote...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom