Hii picha huwa inanifikirisha sana. Hawa wazee watu wazima walihamasika kufanya kitendo hiki kibaya na kuna uwezekano walisifiwa. Wanajisikiaje waonapo hii picha. Huyu mlengwa alipona kweli.
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya...
Hili jambo lilianza awamu ya tano,kila kitu asante JPM , matokeo yake huyo JPM akafariki (RIP).
Hii ilitosha kutufunza Raisi wetu sio Mungu , ni mwanadamu tu.
Badala ya kujifunza , hivi sasa...
Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika...
Vijana mmeisoma hii ripoti ya benki kuu ya Tanzania Kuna vitu vya maana sana humu. Kuna fursa na indicators za fursa zimeainishwa.
Kwenye Paragraph ya pili toka mwisho inaongelea fursa iliyoletwa...
SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA?
Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa...
RIPOTI za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2014/15 na mkataba tata kati ya Jeshi la Polisi na kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd, ni miongoni mwa mambo...
Salaam Wakuu,
Nilikuwa nafuatilia barabara zilizojengwa na Magufuli nikashangaa. Zote zimeharibika. Zimejaa mashimo n nyingine zimetengeneza matuta kama ya kupandia Viazi.
Huyu Mzee angeongoza...
Tafakuri huru
• Freeman Mbowe Mwenyekiti CHADEMA Taifa yupo kwenye nafasi hiyo kwa miaka 18
• James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Taifa yupo kwenye nafasi hiyo kwa miaka 22
• Prof Ibrahim...
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,
Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.
Filamu hii inatarajia...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Tanzania ni salama na haina tishio lolote la usalama, pia Masauni amesema hakuna sababu ya Mtanzania yeyote ikiwemo viongozi wa CHADEMA waliopo nje...
Rais Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Mzee kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza kuziba nafasi ya Kamishna Jenerali mstaafu Kasike aliyeteuliwa kuwa balozi.
Brigedia Jenerali Mzee ametokea JWTZ...
Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi.
Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo...
Mbowe kaona isiwe tabu tuachane na katiba mpya maisha yaendelee kwa sasa anasifu na kuabudu mama anaupiga mwingi kijana wa chadema ni wakati sasa na wewe kupanua akili siyo kupanua kichwa...
Wana JF,
Kwenye gazeti la Nipashe leo limeripoti kuhusu swala kashfa ya Lugumi kuanza kufutiliwa upya.
Saa zahesabika kishindo kashfa ya Lugumi
- Ni funga kazi baada ya danadana zilizotishia...
Ama kweli kimeumana!
Video nimekuwekea hapo chini na kilichonistaajabisha mwishoni mwa video shuhudia mwenyewe burungutu la minoti akiwahonga waandishi wa habari eti ya nauli.
Madudu mengine yameibuliwa katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknlojia baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serilali (PAC) kupitia taarifa za Manunuzi na za kihasibu za wizara hiyo wakati sakata...
Ni wazi kabisa kwamba Serikali (CCM) imedhamiria kufubaza harakati za kudai katiba mpya Tena kwa nguvu zote, na hii ndio maana ya kumbambika mbowe kesi ya Ugaidi.
Lengo lao kubwa ni kuwatisha Ili...
Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Bongoland na jinsi watawala wa awamu iliyopo wanavyofanya mambo yao, basi utagundua kile kilio cha kina Mama kinaweza kuwa ni tukio la kupangwa ili baadae...
KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.