Sijui kama mnanisoma....!
Vyombo vya Usalama kwa sasa ni Dhaifu
Rais wa sasa ni Dhaifu
Bunge Dhaifu kabisa!
Watanzania ni Dhaifu.
Nchi kama haina Amiri Jeshi Mkuu.
Kuna wengi wanaolalamika kwamba walipatwa kuumizwa na utawala wa magufuli. Kuumizwa huko kunahusishwa kibinafsi na utawala wa Magufuli, ikimaanisha walipitia waliyoyapitia tu kwa kuwa Magufuli...
Naona mnapenda sana huku na huku. Boss wenu ameshalamba asali na ninyi mmeshalamba kwa ujumla maana yeye ndo Alfa na Omega.
Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini?
Au ndio mmezoea...
Naanza na ya kwanza na ya pili:-
(1) Mpaka sasa sijui ni kwa nini nchi yangu ni maskini.
(2) Watoto wa shule mnapata mimba kwa sababu ya vihelehele vyenu.
Contents za Rais
1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama...
Huyu jamaa alikuwa ndio injini ya chama cha ACT wazalendo na alikuwa ndio msaidizi mkuu wa KC Zitto Kabwe. Kwa muda sasa sijamsikia pale Ujiji au ndio aliondoka na Prof Kitila!!
Waziri akiwasili kwa ajili ya kuongea na wawakilishi wa Tanzania walioshiriki Zoezi la Ushirikiano Imara.
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki...
Mtu anaweza kukishangaa sana kichwa cha habari hapo juu. Lakini niliguswa sana na hotuba ya Nyerere jana kipindi cha Wosia wa baba utadhani alikuwa anamponda JK. Nilitokwa na machozi baada ya...
NI YUPI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII YA KIMASAI
Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua adui yako...
Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana.
Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta...
Kwa Hali ya kushangaza na kusikitisha, wenyeviti wa vijiji na vitongoti Jimbo la Hai , Mkoa wa Kilimanjaro, wamesusia uchaguzi wa ndani wa CCM kwa Kile wanachokisema kuwa hawajawahi kulipwa posho...
Akijibu swali bungeni hivi leo asubuhi amesema taarifa zinazo zagaa mitandaoni kuhusu kupanda gharama za umeme ni potofu na zina faa kupuuzwa.
====
Serikali imewataka wananchi kupuuza taarifa za...
Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua adui yako.
Theory hii sio tu unaweza kuitumia wakati wa...
Afrika iko kwenye kipindi cha mpito kutoka kuwa na marais wanaume kwenda Marais wanawake. Baada ya Mama Sarif wa Liberia sasa ni Mama Samia wa Tanzania. Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test...
- Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa ni kiongozi aliyepiga vita vikali kuhusu ubaguzi wa kidini au kikabila ndani ya taifa letu la Tanzania.
- Baba wa Taifa alihimiza siku...
Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa.
Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii...
Sintaongea mengi humu maana wanajua kabisa kwamba yule mbaya wao wanaepambana ili kumkomoa.
Leo ameruka kiunzi kingine pale haki ilipotolewa kule Mahakamani Arusha.
Sasa tumeelewa kwa nini...
Mradi huu ulibuniwa na serikali chini ya ‘Bagamoyo Special Economic Zone Project’ mwaka 2004; mpango kabambe wa ujenzi wa sekta mpya ya viwanda. Japan ndiyo ilitusaidia kwenye hili. Mradi huu...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe amewathibitishia wakazi wa Bagamoyo kuwa wale wote watakaoguswa na mradi wa ujenzi wa bandari mpya watalipwa fidia na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.