Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti Chadema. Igwe wana JF, Japo wengi hawaelewi hadi siku yawatokee wao kuna haja ya kuweka kumbukumbu sawa. Wengi wanamjua Freeman Mbowe kama...
27 Reactions
285 Replies
77K Views
Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama. Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi...
11 Reactions
174 Replies
11K Views
Kuna faida gani sisi kuwa na wanyama pori ambapo wanasababisha mateso na hata vifo Kwa binadamu wenzetu? Tunaiomba wizara husika, iendelee na mpango wa kuwauza na kusafirisha wanyama wetu kwenda...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mbunge wa Chadema jimbo la Nkasi mh Aida ameitaka serikali kuwasaka watu wote walio nyuma ya pazia wanaoharibu taswira yetu kuhusu hifadhi ya Ngorongoro Mh Aida amesema CHADEMA inaitaka serikali...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu TYCOON wa Kimarekani na Mmiliki wa Luxury Hoteli kule Serengeti amejitolea Bure kabisa Kujenga Uwanja wa Kimataifa Kule Serengeti, Lakini mpaka sasa hivi Serikali haijasema yeye atanufaika...
7 Reactions
204 Replies
20K Views
Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya...
23 Reactions
94 Replies
6K Views
Tunasikia kule Loliondo ndugu wakichomwa moto na Serikali, kisa Serikali inalinda mkataba wa Mwana Mfale wa UAE ambaye ni mwekezaji. Kule Serengeti mkataba wa Grumeti unamfanya mwekezaji...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi, "Sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika. Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa. Ushahidi wa hayo ni kesi za...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera, hapa ni katika ziara yake kwenye Kiwanda cha Sukari Kagera, leo Alhamisi Juni 9, 2022 RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali imekamilisha upembuzi yakinifu wa Daraja la kisasa eneo la Jangwani DSM. Daraja hilo la juu kutoka Fire hadi Magomeni litajengwa kwa ufadhili wa WB na mazungumzo yanaendelea. Chanzo...
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Alitamba sana enzi za Jiwe. Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana. Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu. Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa...
19 Reactions
164 Replies
10K Views
Kashfa hiyo ilianza miaka ya mwisho wa utawala wa Rais Mzee Ali Hassan Mwinyi. Moja kati ya watu waliokuwa wakitajwa-tajwa kuhusika na kashfa hiyo ni Lt.Col. Abdulrahman Kinana. Kashfa hiyo...
2 Reactions
60 Replies
14K Views
Wakuu, Najua mpo na milango yote ya fahamu inafanya KAZI! Mimi ninawaamini nyie Ndio Taasisi pekee kimbilio isiyotiliwa shaka!nyie Ndio tumaini pekee lililobaki hapa nchini! Ujumbe wangu ni...
1 Reactions
6 Replies
857 Views
Nachukizwa sana ninapoona maslahi ya kisiasa yakipofusha viongozi wetu na kuamua kufumbia macho masuala muhimu. Tujifunze kusimamia sheria na kuchukua hatua kali kwa kila anayekwenda kinyume bila...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Huyo ni Samia, Kama hukumdai mfanyabiashara mwaka mmoja nyuma, Basi hakuna kuwasumbua kwa uvivu wenu kuwadai wafanyabiashara miaka zaidi ya mwaka mmoja nyuma. Hili nakupongeza Samia
19 Reactions
82 Replies
6K Views
Nawashauri Serikali wakiweka Siasa kwenye swala hili la Ngorongoro hii mbuga baada ya miaka itakuwa tatizo. Kuwahamisha wamassai kule ni lazima kama wana nia njema. Waziri mkuu ameweka siasa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau. Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kaka yangu Manyerere Jackton, you have the case to answer, ukiwa kama mwandishi maalum wa kampuni ya OBC kwa kushiriki kuwadhalilisha wananchi wa Loliondo, kwamba wanyama na wageni ndiyo wenye...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom