Kauli tata za Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi hizi hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli tata za Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi hizi hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Dec 29, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Naanza na ya kwanza na ya pili:-

  (1) Mpaka sasa sijui ni kwa nini nchi yangu ni maskini.
  (2) Watoto wa shule mnapata mimba kwa sababu ya vihelehele vyenu.
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Dowans siwajui....sijawai kukutana nao ...maana hawanihitaji
   
 3. I

  Imurumunyungu Senior Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kula lazina na wewe ukubali kuliwa.
   
 4. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wananchi wa Mbeya nichagueni kwa kishindo ili niendelee na programu yangu ya KUHEMEA kwa wenzetu nchi za nje na kuwaletea maendeleo ya kiuchumi.
   
 5. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  .."I may have a smile on my face, but firm on Issues" - JK.
   
 6. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Maisha bora kwa kila mtanzania
   
 7. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uchumi unapaa
   
 8. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  kwa Ungo!
   
 9. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna mwanafunzi wa chuo kikuu atakayefukuzwa chuo kwa kukosa ada!
   
 10. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tumejaribu,tumeweza na tunazidi kusonga mbele.
   
 11. J

  Jadi JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  sizihitaji kura za TUCTA
   
 12. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Hii siyo ya EDO kweli?
   
 14. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Hakuna namna lazima DOWANS walipwe, baada ya miezi 2 akasema hawajui DOWANS wala hana haja ya kuwajua. Source hutuba (pumba)za kila mwisho wa mwezi
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Mimi na mwanangu tunasonga mbele..

  Ww unafikiri jenereta ni sawa na hlo koti ulilovaa.
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanaosema mimi ni dicteta nianze kufanya udicteta muone?
   
 17. AMAFUMU

  AMAFUMU JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  3) miaka mitano ya mwanzo nilikuwa najifunza sasa nipeni tena awamu ya pili.
  4) mwenye kuleta mvua ni mungu na maji ni mungu pekee!
  5) serikali haiwezi kuongeza mishahara hata mkigoma miaka nane (8)
  mkuu zipo nyingi sana kauli mbovu kwa huyu jamaa lakini ndo hivyo tena anaongoza taifa la kusadikika!
   
 18. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Vyama vya upinzani ni vyama vya msimu! - Kikwete
   
 19. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  mchagueni BP Mramba ,ni kiongozi bora kwa maendeleo yenu.
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tumerudisha shangingi la mkuu wa kambi ya upinzani bungeni lakini bado Tunatembelea Range Rove - Voge nyeupe. tunataka kuonyesha unyonge wetu
   
Loading...