voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Sintaongea mengi humu maana wanajua kabisa kwamba yule mbaya wao wanaepambana ili kumkomoa.
Leo ameruka kiunzi kingine pale haki ilipotolewa kule Mahakamani Arusha.
Sasa tumeelewa kwa nini Naibu DPP Kweka alifanya mbinu ili kumhamisha gereza bila hata mwanasheria wake kuwa na taarifa.
Lengo ikiwa kumsogeza kwenye ngome yao ili watimize malengo yao.
Tena alfajiri alfajiri bila hata kusubiri muda halali wa kufunguliwa shughuli za gereza la Kisongo.
Mungu anaendelea kumsimamia huyu jamaa dhidi ya njama za lile genge la fedha Bandia pale Boma.
Tuna imani Mungu ataendelea kumsimamia mpaka mwisho.
Najua kuna watu wana povu lakini ukweli unaendelea kudhihirika hatua kwa hatua.