Yuko wapi mwanasiasa nguli Habib Mchange?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Huyu jamaa alikuwa ndio injini ya chama cha ACT wazalendo na alikuwa ndio msaidizi mkuu wa KC Zitto Kabwe. Kwa muda sasa sijamsikia pale Ujiji au ndio aliondoka na Prof Kitila!!
 
habibu mchange nguli wa siasa? huyu alitumwa akatumika ni mchumia tumbo. alianza kujihusisha na siasa mwaka 2008 hivi akiwa udom..baadae akaja kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kibaha. alishinda 2010. bwana koka akampa mpunga mwanana. akanunua fanicha na makorokoro kibao ya ndani kwenda kuanza maisha hko tabata. wenzake chadema wakimpigia hapokei .kumfuata alipo wakakuta uzunguni. lwakuwa kitila alikuwa cdm kwa kazi maalum akawa anamtumia kwenye baadhi ya kazi zake na alimplant ili awe anajua nyendo za zzk. matokeo yake baada ya uchaguzi kapewa jamvi la habar na kuanza kuwagawa watanzania kwa hoja za viroja.
 
Back
Top Bottom