peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,769
- 21,323
Kwa Hali ya kushangaza na kusikitisha, wenyeviti wa vijiji na vitongoti Jimbo la Hai , Mkoa wa Kilimanjaro, wamesusia uchaguzi wa ndani wa CCM kwa Kile wanachokisema kuwa hawajawahi kulipwa posho zao kwa miaka mitatu sasa tangu wamchahue mbunge wao Saashisha Mafue.
Hali imechafuka zaidi baada ya mbunge Huyo kutoa majibu ya jumla kuwa hausika Wala hataki kujua walishalipwa Wala wamelipwa kwa sababu haijulikani majukumu yao ya kila siku Bali ni kulalamika tu.
Wenyeviti wote hao wametokana na CCM ila mateso wanayoyaata na hawana pa kuzungumzia wala wa kumlalamikia wanakiri kurudi chadema 2024 bila kukosea.
Kuna Kila dalili uchaguzi wa ndani wa ccm jimbo la haikuvurujika kwa ngono uliowekwa na viongozi wa vijiji na vitongoji vyake.
Katika malalamiko hayo tukiwa Silvia na Katibu wa ccm Mkoa wa Kilimanjaro mr Mabiya Hakuwa Tayari kuzungumzia suala hilo.
Tunaomba CCM ifanye ifanyalo wazee hao ambao ni watumishi wa serikali yao walipwe posho zao mapema iwezekanavyo .