Assalamualaikum wana JF!
Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu hapo juu:
Kwa mujibu wa taarifa toka Serikalini ongezeko la idadi ya binadamu (Wamaasai) na ujenzi wa makazi yao katika Hifadhi ya...
Tulipokuwa wadogo yaani tukiwa mashuleni tuliambiwa kuwa anayevaa mitumba ni masikini.
Leo hii kuna magazeti yamefichua kuwa treni ya SGR na vifaa vyake ni mitumba.
Kwetu sisi walaji hatuna...
Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa.
Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara...
Moja kwa moja kwenye mada.
Na declare interest mapema,mimi Niko kwenye industry ya construction hususani civil works, na naishukiru Serikali walau kwa kuongeza bajeti ya Tarura kutoka Bil.272 kwa...
Waziri wa Fedha amesema kuna matato ya Serikali yanaingia kwenye mifuko binafsi ya watu badala ya kwenda Serikalini.
Amesema kuwa hali hiyo hutokea kwenye ukadiriaji wa kodi au uuzaji wa bidhaa...
11 Juni 2022
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya...
Linalonishangaza Katiba ya nchi iko wazi kuwa mbunge lazima atokane na chama.
Na akifukuzwa uanachama sio mbunge tena.
Ni Tanzania hiyo hiyo ina Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama lakini bado ni...
Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha...
Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho.
Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama...
Kama ulimsikiliza Mbunge wa Tarime hapo awali akitoa taarifa ya vifo na mauaji na jinsi Spika alivyokataa taarifa hiyo utadhani anaishi Tarime na ukisikia maelezo haya ya kibabe ya Spika...
Bajeti inayoishia 30/06/2022 Ilikuwa imeanza kuandaliwa na serikali ya Awamu ya 5 kabla Rais Magufuli hajatwaliwa na Mungu wa mbinguni
Bajeti itakayosomwa Leo na Waziri Mwigullu imeandaliwa kwa...
Nimeuona utofauti wa Rais Samia kwenye suala la Uwekezaji hana mchezo nalo kabisa.
Hapa Oman amekuja na documentary kabisa yenye full presentation ya maeneo ya kuwekeza ana Profile kabisa ya...
Akihojiwa na BBC leo kuhusu uwezekano wa Tanzania kuchukua fursa hii ya vita baina ya Russia na Ukraine kuuza gesi yake nje ya nchi Waziri wa Nishati Mhe. Makamba amesema uwezekano huo haupo labda...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Ni hivi ,katika kile kinachoonekana kuna harufu ya uwepo wa ten percent,Halima Mdee ameishukia Serikali ya awamu ya 5 kwa kumpa Kazi...
Spika Tulia amesema kesho kutakuwa na Semina maalumu kwa Wabunge wote kuhusu Bajeti itakayosomwa Leo na Dr Mwigullu Mchechu
Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha na wa bunge wote Wametakiwa...
Bado nasema na nitasema daima , kati ya jambo ambalo bado serikali imefeli kupambana nalo ni ujinga na ushamba na ukitaka kuona nchi hii wajinga ni wengi sana basi fuatilia mijadala ya humu JF...
Royal Tour itatupa faida gani ile movie ya kazi gani? Haya ndiyo maneno yaliyojaa kinywani kwa wanaharakati wa Tanzanaia kujaribu kufifisha Juhudi za Rais Samia suluhu Hassan.
Sisi tuliozaliwa...
Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote...
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo.
Mwakapala amesema deni...
Waswahili wana msemo Tabia hushawishi kwenye kundi mkitembea wacha Mungu na wewe utakuwa mwenye kumcha Allah, mkitembea Wezi pamoja na wewe utakuwa miongoni mwa wezi, Ukitembea na viongozi bora na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.