Kwanini vingozi hawaiheshimu Katiba?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,879
Linalonishangaza Katiba ya nchi iko wazi kuwa mbunge lazima atokane na chama.

Na akifukuzwa uanachama sio mbunge tena.

Ni Tanzania hiyo hiyo ina Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama lakini bado ni wabunge na mpaka leo hii wanalipwa posho na mishahara ambayo ni kodi za masikini.

Hatuwezi kuendelea kama nchi kwa vituko ambayo ni kinyume na Katiba ambayo viongozi wame apa kuilinda lakini kwa maslahi yasiyo na tija kwa wananchi wanaikanyaga.

Ndio maana wananchi wanataka katiba mpya katiba ambayo itakuwa ya wananchi.
 
Taratibu tutaanza kuelewana kwamba tatizo letu kubwa sio katiba mpya.
 
Kuna sheria ndogo ndogo zinaipinga hio hio katiba, na watu wanatembelea humo humo.
 
Naunga mkono hoja. Vyama vya siasa, viko kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Na uanachama wa chama cha siasa nao ni kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Vyama vinaposajiliwa huwasilisha katiba zake kwa msajili na vinapaswa wakati wote vifanye mambo yake kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni zao walizojiwekea na sio kuendeshea mambo yake kihuni huni.

Hivyo hata kwenye kuwafuta wanachama wake uanachama, lazima katiba sheria taratibu na kanuni zifuatwe, huwezi kumfuta uanachama mwanachama kwasababu ambazo sio za msingi. Na ukiwa na sababu za msingi za kumfuta uanachama, fuata katiba sheria taratibu na kanuni. Katika hili sakata la wabunge 19 wa Chadema, jee katiba sheria taratibu na kanuni za Chadema zimefuatwa?
 
Waafrica ni vigumu mno kufuata hata yale waliyokubaliana kuwa sheria, hii inanzia ngazi ya kaya na inapanda hadi ngazi ya Taifa. Ngozi nyeusi sisi tuna matatizo kwa ujumla wetu, tukubali tu na ndiyo maana weupe wanazidi kutuacha.
 
Biashara ya kuuza na kununua watu ilishapigwa marufuku dunia nzima. Inakuwaje wewe Mtu mzima kununuliwa Kwa bei rahisi kiasi hiki?
 
Naunga mkono hoja. Vyama vya siasa, viko kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Na uanachama wa chama cha siasa nao ni kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Vyama vinaposajiliwa huwasilisha katiba zake kwa msajili na vinapaswa wakati wote vifanye mambo yake kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni zao walizojiwekea na sio kuendeshea mambo yake kihuni huni.

Hivyo hata kwenye kuwafuta wanachama wake uanachama, lazima katiba sheria taratibu na kanuni zifuatwe, huwezi kumfuta uanachama mwanachama kwasababu ambazo sio za msingi. Na ukiwa na sababu za msingi za kumfuta uanachama, fuata katiba sheria taratibu na kanuni. Katika hili sakata la wabunge 19 wa Chadema, jee katiba sheria taratibu na kanuni za Chadema zimefuatwa?.
P
Taja kifungu cha katiba cha CHADEMA ambacho kilivunjwa? unashabikia watu wavunje sheria za nchi kufoji kisa wamekupa kitu kdg uwatete JF?
 
Naunga mkono hoja. Vyama vya siasa, viko kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Na uanachama wa chama cha siasa nao ni kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Vyama vinaposajiliwa huwasilisha katiba zake kwa msajili na vinapaswa wakati wote vifanye mambo yake kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni zao walizojiwekea na sio kuendeshea mambo yake kihuni huni.

Hivyo hata kwenye kuwafuta wanachama wake uanachama, lazima katiba sheria taratibu na kanuni zifuatwe, huwezi kumfuta uanachama mwanachama kwasababu ambazo sio za msingi. Na ukiwa na sababu za msingi za kumfuta uanachama, fuata katiba sheria taratibu na kanuni. Katika hili sakata la wabunge 19 wa Chadema, jee katiba sheria taratibu na kanuni za Chadema zimefuatwa?.
P
Aliyekuita njaa hakukosea aliona mbali sn sisi ndiyo tulikuwa hatumuelewi tulikuwa tunakutetea kumbe sisi ndiyo tulikuwa wajinga alijua baada ya muda njaa itapanda kichwani utakatwa mkia.
 
Naunga mkono hoja. Vyama vya siasa, viko kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Na uanachama wa chama cha siasa nao ni kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Vyama vinaposajiliwa huwasilisha katiba zake kwa msajili na vinapaswa wakati wote vifanye mambo yake kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni zao walizojiwekea na sio kuendeshea mambo yake kihuni huni.

Hivyo hata kwenye kuwafuta wanachama wake uanachama, lazima katiba sheria taratibu na kanuni zifuatwe, huwezi kumfuta uanachama mwanachama kwasababu ambazo sio za msingi. Na ukiwa na sababu za msingi za kumfuta uanachama, fuata katiba sheria taratibu na kanuni. Katika hili sakata la wabunge 19 wa Chadema, jee katiba sheria taratibu na kanuni za Chadema zimefuatwa?
Acha kutetea Ujinga wa kuvunja KATIBA ya Nchi Katiba ambayo Viongozi WALIAPA KUILINDA kwanini Bunge lisitimize Takwa lake la KIKATIBA kuwafukuza Bungeni na kama Chadema haikuwafukuza kihalali Waliofukuzwa Waende Mahakamani Wakapinge KUFUKUZWA kwao na Wakishinda watarudishwa Bungeni

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ili mwanachama afukuzwe ni lazima mambo 3 haya yatokee.
  1. Awe ametendo kosa la kustahili kufukuzwa. Hao 19 kosa lao ni lipi?
  2. Kosa hilo liwe limethibishwa kwa ushahidi usiotia shaka. Jee kuna yeyote humu anaijua barua ya uteuzi toka Chadema kwenda NEC iliyopitisha majina yao imesainiwa na nani?. Hakuna forgery yoyote!. Kwanini kikao cha CC kilichosikiliza shauri lao hakikufanya a due process?.
  3. Na baada ya kujiridhisha na ushahidi, then process ya kuwatimua ndio ingefuata kwa kufuata Katiba sheria taratibu na kanuni, kwanini hili halikufanyika?.
Kilichofanyika ni uhuni mtupu, ubatili na Ukangaroo!.
P
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom